Wednesday, 29 July 2015

Re: [wanabidii] UKAWA mmedondosha kete muhimu ya "kupinga ufisadi" Zitto ataiokota na kuitumia

Hakika sasa naiogopa siasa na wanasiasa.
Sikitegemea kabisa Lowasa kwenda CHADEMA.
Kama naota vile.
Ukisikiliza alicho kisema Prof Lipumba wakati anatangaza nia na alichokisema jana mbele ya Lowasa.
Kweli ni Sio Hasa.

Walewale

On Jul 29, 2015 11:42 AM, "fatma_elia via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hata hiyo clip ya kuwashawishi watu wake wampeleke Lowassa niliisikia

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Date: Wed, 29 Jul 2015 04:21:12 -0400
Subject: Re: [wanabidii] UKAWA mmedondosha kete muhimu ya "kupinga ufisadi" Zitto ataiokota na kuitumia

Zitto huyu huyu aliyemkaribisha Lowassa kujiunga na ACT au unamzungumzia Zitto mwingine?
em

Sent from my iPhone

On Jul 29, 2015, at 3:00 AM, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Kitendo cha kumtawaza mtuhumiwa mkuu wa ufisadi ni dhahiri hamtaitumia tena hiyo kete kwani mtuhumiwa mnae meza moja itakuwa ngumu kumeza na ameshasema mpeleke ushahidi wakati mwenye hiyo hoja ni bosi wake mpya, bahati mbaya hakuwepo nilitaka nione "body language" yake.

Kwa mtaji huu Zitto kabaki na hoja yake nzima nzima, sasa tutaamini mpinga ufisadi wa kweli ni Zitto, Tundu Lissu msigwa Sugu Wenje hawakuwa na hoja nyingine zaidi ya kushupalia ufisadi sasa team nzima ya mafisadi imeshatia team itakuwaje? automatically hakuna tena hoja ya kusimamia.

Lakini JP hoja yake iko palepale, sasa atasema amepumua waliokuwa wanambana wametoka wameenda ukawa anaanza kujenga nchi sasa na wananchi watamwelewa, nyie mtaleta hoja gani labda mfanye kituko kama cha kahama kubeba mtu kwenye machela ndo wananchi wawasikilize.

Kafulila sijui atapigaje kampeni akiwa pamoja na Lowasa, nakwambia watatemeana makohozi jukwaani.

Hoja pekee aliyonayo huyu mtu ni kuondoa umasikini, kashindwa kuwaondoa kwenye umasikini wamasai kwa miaka arobaini aliyokaa serikalini, leo aje kuondoa umasikini akiwa ikulu? acheni mzaha.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment