Wednesday, 29 July 2015

Re: [wanabidii] Mbowe akili ujio wa Lowasa umeleta khofu Chadema, Tuambie khofu gani hiyo

Kwa maneno haya ya Mbowe basi ana matatizo ya elimu ya msingi. Kwa mawazo ya mbowe hakuna mwanaCCM anayekipenda CHADEMA. Huu ni upuuzi usioweza kutoka kwa mtu makini (sijatukana). Mimi nimeacha kadi yangun ya CCM nyumbani ningemtajia namba tena na ya TANU. nimesema mara kadhaa kuwa natamani Chadema iingie madarakani CCM iende kukarabatiwa. Watu kama mimi walimpigia simu na yeye anauliza wana mapenzi gani na Chadema. nakubaliana sasa na mtoto wangu mmoja anayewsema CHADEMA ni chama makini tatizo lake ni Mbowe. Mtu akisema maneno hayo hakuyasema nitafurahi maana hayaonekani kumuwakilisha mtu makini.
--------------------------------------------
On Wed, 7/29/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Mbowe akili ujio wa Lowasa umeleta khofu Chadema, Tuambie khofu gani hiyo
To: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 29, 2015, 9:58 AM

Mbowe: Leo kwa niaba
yangu, viongozi na wanachama wote
wa CHADEMA, tumependa kwa dhati kukukaribisha Lowassa na
familia yako. Ujio
wako umezua hofu kwani hili ni taifa la hofu. Nimesema hofu
kwani imeanzia
katika chama chako, wamekuwa wakinipigia simu kwa muda mrefu
kuwa mnampokea
huyo, atawaharibia chama na mimi nikawahahakishia kwa nguvu
zote kuwa Lowassa
hawezi kuhamia CHADEMA tena nikasema kwa kizungu 'over
my dead body'. Nikajiuliza
tangu lini wanaitakia mema CHADEMA, nikajua ni urafiki wa
mashaka.



Hofu hii haijaishia kwa CCM bali imeingia hadi CHADEMA,
chama hiki ni chetu
sote. Chama hiki sio mahakama, simsemi Lowassa ni mtakatifu,
nani mmoja wetu
humu ndani ni mtakatifu achukue mawe amrushie mwenzake.
Taifa hili haliwezi
zaidi ya miaka 20, kulipa visasi, kumleta Lowassa katika
meza hii haikuwa
shughuli nyepesi, tumefanya mashauriano mengi. Eti kwa kuwa
tuliwahi kumuita
Lowassa mtu mchafu hatuwezi kumkarisha hasa bila ushahidi wa
wazi.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment