Wednesday, 29 July 2015

Re: [wanabidii] Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

On the contrary Mr. MugandaI will be supprised if UKAWA wins the October election. People will support any type of win, because the opponent have to loose 'at any cost'
--------------------------------------------
On Wed, 7/29/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 29, 2015, 12:48 PM

I think it is a bit
wishful thinking that Magufuli will have an easier time
winning this election. There are still many imponderables
and I for one will not be surprised if CCM under Magufuli
loses this election.
em

Sent from my iPhone

> On Jul 29, 2015, at 5:28 AM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
>
Mtalika.
> Hyu ndiye mgombea makini
ambaye chama makini kilimuona hafai kuwa mgombea urais
kupitia kwake. Tunakumbuka alivyotaka kuwabambikiza wana
Monduli nani awe mbunge wao yeye 'atakapokuwa rais'.
Naamini watu makini ndani ya Chadema akiwamo Dr. Slaa, Tundu
lisu, Mnyika na wengine watakaa kimya wakisubiri uchaguzi
uishe waanze kukijenga upya chama chao. Naamini wanaweza
kupiga kampein za ubunge majimboni bila kumpigia Rais
ikitokea akatangazwa huyo. lakini kingine ninachokitarajia
ni Magufuli kukosa mpinzani wa Maana. Hii inawezekana kwa
sababu nakumbuka kusikia kuwa Katiba ya Chadema inahitaji
mtu kukaa miezi sita ili aweze kugombea uongozi wowote. Sasa
hawa wanaohamia ikitokea mtu akaweka pingamizi likakubaliwa
si hatari? Hata hivyo ushindi wa CCM juu ya CDM kama Lowasa
anasimama ni dhahili
>
--------------------------------------------
> On Wed, 7/29/15, 'mpombe mtalika'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject:
[wanabidii] Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la
Msingi
> To: "ELISA MUHINGO' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, July 29, 2015, 10:22
AM
>

>

   Wadau Habari; jana
>
ilikuwa siku ya kipekee sana kwa historia ya Tanzania
ambayo
> tuliahidiwa na
> tuliisikia minong'ono mingi na tetesi
za kila leo juu ya
> kuhama chama kwa
> aliyekuwa mgombea urais kwa tiket ya CCM
ndugu, EL.
>

   Binafsi nampongeza
> kwa
kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya maamuzi
> magumu; kama
>
mtanzania nisiyefungamana na upande wowote
nimestaajabishwa
> sana na mambo
> mawili makubwa.
>
>
>     Mosi
ni juu ya
> umiliki wake wa card ya CCM,
EL inasemekana ana miliki card
> namba 15
ya
> Uwanachama ndani ya CCM, lakini siku
ya jana alijivua
> uwanachama na
kupewa
> rasmi card ya CDM, sasa bado
najiuliza imekuaje kamanda huyu
>
amejiondoa CCM na
> kwenda CDM lkn bado
anamiliki card ya chama hicho? Maana
>
jana sikuona akiirudisha
> card ya CCM
ili ichanwe chanwe pale mbele ya macho
>
yetu.
>
>
>     Lakini kama hiyo
> haitoshi bado najiuliza inawezekanaje
Kiongozi mkubwa kama
> yeye anathubutu
> kutoa majibu ya hasira mbele ya Taifa hili
juu ya swali la
> msingi ambalo
> lilimchafua yeye na baadhi ya Viongozi wa
wizara
> husika.
>
>
>     Kwa
kusema kwamba
> NANUKUU;
"Nilipoitisha kikao cha "Government
> negotiation team"
> nikawauliza mbona nasikia huu mkataba una
matatizo? mimi
> nina uzoefu wa
kuvunja
> mikataba na huu tuuvunje!
wakaomba ruhusa watoke nje kwa saa
>
moja, baada ya
> hapo waliporudi wakasema
wamepigiwa simu toka mamlaka ya juu
>
mkataba usivunjwe
> "what else could
I have done?" Mwisho wa KUNUKUU,
>
Sasa najiuliza hapa
> inawezekanaje PM
umeitisha kikao cha subordinates wako alafu
> anatokea wa
> kukuambia
kuwa et nimewasiliana na wakuu wamekataa hilo,
> nani basi mwenye
>
kupaswa kufanya consultation na Wakuu wenzake kati ya
watu
> hawa wawili EL kama
> PM au Subordinates?
>

>

   Lakini pia napata
> shaka
pale namna ambavyo swali la msingi lilivyojibiwa kwa
> kusema kwamba,
>
NANUKUU; "Am sick of Richmond, mtu yoyote mwenye
> ushahidi wa mimi kuhusika
> na Richmond aende mahakamani, kama huna
just shut up.
> Nilichukua uamuzi kwa
> niaba ya serikali.
>

>     Nimeondoka
> madarakani miaka nane iliopita, mambo haya
yameongezeka
> yamepungua, mikono
yangu
> ni misafi na mtu mwenye ushahidi
acha kupigapiga kelele,
> peleka
> mahakamani" mwisho wa KUNUKUU; Kwa
uelewa wangu wa
> kawaida kabisa
unyeti
> wa jambo hili haukutaka jibu la
namna hii bali watanzania
>
tungeridhishwa zaidi
> endapo tungepata
majibu mazuri kwa kina na yenye
>
kujitosheleza badala ya kuwa
> mkali
kiasi ambacho inatuacha na maswali mengi kwamba ile ni
> namna ya kututisha
> na
kutuziba midomo kama ambavyo ilitokea pale kwa wana
> habari wenzangu au ni
>
nini hasa?
>
>
>     Kama hii haitoshi
> bado najiuliza, Je na ile hoja ya Dr.Slaa
kwamba ushahidi wa
> jambo hili anao
na
> yupo tayari kwenda kuthibitisha
mahakamani leo hii sisi
> watanzania
tunaibebaje
> hii statement kuwa naye
alikuwa anabwabwaja tu au namna
>
gani?
>

   Lakini nathubutu
> kwenda
mbali zaidi kwa kujiuliza Dr.Slaa na wenzake
> wanasimama vipi Jukwaani
> kumnadi kwa kumtakasa mtu huyu ambaye wao
walikuwa
> wanachangia kumchafua?
>

   Mambo haya
> yananipa shida
kuyapatia majibu basi nabaki kujiuliza bila
> mafanikio naombeni
>
wadau mnisaidie kung'amua.
>
>   
> "Majibu ya
hasira kwa swali la
> Msingi"
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha
ukishatuma
>

>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her
postings, and hence
> statements and
facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
agree to this
> disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are
subscribed to the
> Google Groups
"Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
> from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
>

>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
> To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment