Wednesday, 29 July 2015

Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU

Mollel kama sikosei ulituambia unataka kugombea ubunge  kwa tiketi ya ccm sasa vipi unaendelea na mipango ya ubunge au nawe unamfata lowasa chadema

On Jul 27, 2015 2:19 AM, "'Lesian Mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Elisa muhingo,siasa hujui na hutakaa ujue coz unalazimisha ubongo wako kwenda kusikotakiwa mzee,read here carefully' in politics we dont have a permeernent enemy' elewa bro au niweke kwa kiswahiki sanifu....kwenye siasa hakunaga uadui wa kudumu ,,,,,,,
Remeber slaa katoka ccm'sasa lowasa kuingia chadema ni shida mzee,kwann asiingie ilhali ni mtanzani na hana hatia yeyote na ana mengi ambayo anayo sirini na kibaya zaidi anungwa na watu wengi ambao nyinyi hamuwaoni kabisaaaaa,ila wao wanojua siasa wanaona'stop your eneminity bropeace and love...usije ufe na dhambi ya chuki
Lesian

Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

Tuwe na subira, ccm wameshatangaza wa kwao, tusubiri na wengine ukawa chadema cuf adc act, na tuone sera na ilani ya kila mmoja, hatuwezi kufanya maamuzi kwa mwali mmoja aliyechezwa ngoma wakati wengine bado wako kwa shangazi na kungwi.

Hatujazijua sera za ccm na ilani yao ya uchaguzi, hivyo hivyo kwa ukawa na wengine, kipenga kikishapulizwa na kila mmoja akaanza kujinadi ndipo tutafanya maamuzi. Tukizidisha makelele tutawachanganya wazee wetu, tutulie kwanza.

2015-07-26 22:51 GMT+03:00 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mtalika.

Una mapenzi ya kupitiliza kwa CCM. kwani ni lazima UKAWA kuweka mgombea? Usituchoshe na ngonjera zako.

W
Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU

Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi tangu chama tawala kutangaza mgombea wake wa Urais, Mh. John Pombe Magufuli.

Hapo nyuma UKAWA walisikika wakitamba kuwa wanamsubiri kwa umakini mkubwa mgombea wa CCM, ili wajipange kumsambaratisha. Baada ya uteuzi wa mgombea wa CCM, UKAWA ni kama wameingia kizunguzungu na kigugumizi, maana mahesabu yao yamegota vibaya.

Kinachoonejana dhahiri ni kwamba uhai wa UKAWA unapewa uhalali tu na makosa ya chama tawala. Chama tawala kinapo weka mambo yao safi na kwa umakini, UKAWA wanaishiwa hoja na uhalali wa kisiasa, kwa vile wao wenyewe hawana unifying ideology, apart from being reactionary!

Tunachoshudia hivi sasa katika UKAWA, kushindwa vibaya kukubaliana juu ya mgombea wao urais ni kiekelezo tosha kuwa UKAWA ni utapeli wa kisiasa kati ya mambumbumbu wanao wania urais.

Hawajui nni awawakilishe na hawajui huko wanaenda kufanya nini.Hii ni hatari kubwa!

Watu wanaonadiwa na mamluki wa kibiashara inaelekea watainunua UKAWA wakati wowote ule na ni kwa nia moja tu, kukamata dili zote za dola ili wanufaike kiuchumi. Lakini wananchi makini wanaendekea kugutuka.

Tunajua kuwa hata wapinzani ni watanzania na huko kuna watu makini kitaifa.
Simpigii debe Dr Skaa lakini haingii akilini Dr Slaa kumtangaza Lowassa kuwa fisadi, halafu kula matapishi yake bila maelezo na kumkaribisha fisadi huyo huyo kukipigia debe chama chao.

Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani makini utakao sahihisha kama sio kupiku chama tawala.Kwa ujinga huu wa kukumbatia ufisadi ulio temwa na chama tawala, UKAWA unawakaribisha kina Rosta na Karamaga and co. iliwagawane rasilmali za nchi hii.

Mungu bariki, mpaka hivi sasa ndani ya UKAWA ni mtafaruku wa kukaribia kusambaratika kwani hawajui wanaenda Ikulu kufanya nini na kwa madhumuni gani kwa mwananchi wa kawaida.

Sumu haionjwi

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

1 comments:

  1. nani mgombra huko sikonge jamani kwa ukawa maana nasikia saidi nkumba kachomoa au uzushi wa nduu

    ReplyDelete