Thursday 30 July 2015

RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Ngugu John ee !!
huo  usafi  wa  Kikwete  unauzungumza  wewe,  alafu  unajaribu  kufanya  taasisis  ya  Urais  kama  ya  kikundi  fulani  hivi  eti  kama  alimweka  kua  waziri  mkuu  kwani  hakujua  ni  fisadi.

unafahamu  kuhusu  CCM  mtandao??  ambao  ulifanya mapinduzi  baridi  2005  na kumwingiza Kikwete.  na  huo  ndio ulijaribu tena  kumwingiza  huyu  mtu  wenu Lowassa kwa  njia  zilezile,  sasa imeshindikana  ,  amepata  mwanya  wa  walafi  wengine   eti  apitie  CDM   mradi tu  awe  rais,  na  mtandao  wake  uendeleee  kutawala  nchi  ukiongeza  na  wapya toka  CDM  doo!!!  mnataka  wafanya  watanzania  milioni  zaidi  ya 45   mali yenu  au  mazezeta?? 

binafsi  sikuwahi  kupiga  kura  kumchagua  Kikwetea.  na  hii ni  sababu  jinsi  alivyoupata  urai  kupitia  Mtandao.  safari  hii  nampongeza  kwa  kutusaidia  ku- block  Mtandao  usiteke tena  nchi, kupitia CCM

sasa  wanajaribu  kupitia   CDM  ambao   nao wametushtua na kutushangaza , hee!!  kumbe  yote ilikua  ghilia  tu , hata  fisadi  kwao  ni  mali  mradi  aje  na wafuasi  kuongeza  kura. nitamshangaa  mno  Dr. Slaa  akibaki  huko  , naamini  pia   wengi  wa waelewa  ktk chama  hicho  CDM hawatakubali.

najua  mtapata  watu  wachache waliokua  mtandao  kuhamia CDM  kuendeleza  usanii  wake  kua  anakubalika na  wananchi  na  hata  atapokelewa  kwa shangwe hasa akienda  Arusha  ambao  wengi  ni wafuasi wa CDM .

  lakini  watanzania  makini  na  wanaoipenda  nchi  yao wakisaidiwa  na  mwenyezi  Mungu,hawata kubali  ghiliba  hizo, 

tuna taka  mtu  safi  asie  na  kashfa kama zake  na wako  wengi  tu, huyo  wenu  kaeni  nae  mkimshangilia  lakini  uraisi  atausikia  kwa TB  jushua alikokimbiliaga  nanyi  wapambe   mtabaki  na  aibu  yenu  tu.

"time  will tell"

Ernest

2015-07-30 11:59 GMT+03:00 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ila pia huyo mtu safi aliyeambiwa mda wake haujafika badae alimteua kuwa waziri mkuu huyo aliyeambiwa fisadi. Sasa leo nongwa inatoka wapi?. huu sio unafiki? Tubadilishe mitazamo yetu na kufikiri kwa upana zaidi. Hapo ndipo tutaujua ukweli.
John

On Thursday, July 30, 2015 8:06 AM, emmbaga <emmbaga@hotmail.com> wrote:

Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake bado. lakini alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe labda angejitetea kipindi kile tungemwelewa labda lkin sasa anatumia advantage ya Baba wa Taifa hatunae tena!!!   mizimu itazungumza.
Ernest

Sent from Samsung mobile

fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ernest

Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona mlimtakasa Kikwete mnamkataa Lowassa?

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
Date: Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000
Subject: RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Tuache  unafiki,  Baba  wa  taifa  alimkataa  Lowassa   hata  mambo  ya  Richmond  hayakuwepo,  nae  Lowassa  hajawahi  kanusha chochote  alichosema  baba  wa   taifa  marehemu Mwalimu Julius  Nyerere,   leo  hii  we  Mama  unasema  aombwe  radhi  !!!! duuu  kweli  hizi  njaa    zinapoteza  hata  utu  wa  mtu. 

ernest

Date: Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Kila anayetubu kwa dhati husamehewa Nkya. Lakini uwe mwangalifu na siasa. Umesikiliza upande mmoja tu kwamba EL alipewa amri ya simu, kutoka juu, kupitia kwa Katibu Mkuu kwamba mkataba usivunjwe. Haingii akilini katika taratibu za utawala kupokea maagizo na kutekeleza katika mtiririko huu! Agizo haliendi hivyo, na mimi binafsi siwezi kutekeleza agizo la jinsi hii. Je anayesemekana alitoa agizo akisema hajawahi kupiga simu kuzuia kuvunja mkataba? Na hii inawezekana sana katika hali ya mambo sasa hivi - kurukana! Nani atakuwa mkweli? Ni kupakana matope, tupate upande mwingine wa shilingi, kwamba ni kweli lilikuwa agizo? Kwa nini EL haku test authenticity ya agizo hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya subordinate wako? 

Please

From: 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: WANA BIDII <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, July 29, 2015 4:43 PM
Subject: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Nimemsikiliza Edward  Lowassa  kwenye you tube tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa maswali na wanahabari kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu miaka minane iliyopita. Kulingana na  majibu aliyoyatoa hata mimi kama mwanahabari niliwahi kumwita fisadi kwa sababu ya  kashfa hiyo. Lakini kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri nilifanya dhambi maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya kusikia upande wake mimi kwa upande wangu namuomba radhi.
 
Kumbe kinara wa  kashfa ya Richmond alikuwa bosi wake. Lo!  Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za Mwakyembe hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa kashfa ya Richmond ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu Lowassa alijiuzulu kuinusuru serikali nzima  isianguke. Mungu mwema miaka minane  baadaye ukweli kamili wa Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli Lowassa, Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe  na Mzee Mwinyi peke yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji kutokana na nafasi zenu na siyo kosa mlilolitenda  ninyi wenyewe. Viongozi wengine mpaka umma upige kelele sana ndipo wajibaraguze kujiuzulu mfano kashfa ya escrow 2014. Sasa ninaelewa ni kwa nini baadhi ya watu wana hofu baada ya LOwassa  kukubaliwa na UKAWA kuwa mgombea Urais.

Namshukuru sana aliyetuwekea hii you-tube huku jukwaani maana baadhi yetu ambao hatuko site tungeweza kuendelea kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia habari nusu nusu tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya Richmond.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment