Kutopelekwa Mahakamani siyo kuwa mtu hana makosa. . . . Kashfa ya Richmond na nyingine nyingi bado hata mtuhumiwa mmola hajafikishwa mahakamani. Hawa CCM wakuwa na kigugumizi kila panapo tokeakashfa za Ufisadi na ieleweke wazi kuwa hawa Mafisadi wana mtandao wa kutumia fedha nyingi ktk kuchelewesha na kuzuia mkondo wa sheria.
Nadhani wote tunakumbuka kuwa ktk kashfa ya Mramba na Yona hata mwanasheria alikuwa ni mzee Chenge! Ambaye ana tahwa ktk maeneo mengi ya ufisadi.
Hawa mafisadi wasitumie kabisa kigezo cha kutopelekwa mahakamani kama ndio kigezo cha usafi wa vitendo vyao.
Hata Wazee Mramba na Yona walifikishwa mahakamani baada ya kipindi kirefu kupita
------ Original message------
From: 'ananilea nkya' via Wanabidii
Date: Fri, 31 Jul 2015 1:59 PM
To: wanabidii@googlegroups.com;
Subject:Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
Mwalimu wangu Kitila sijakuelewa unanilaumu kwa lipi. Maana kwenye hitimisho lako umeungana na mawazo yangu--kwamba kama ukweli wa kashfa ya Richmond ndio huo alioutoa Lowassa maana hakuna aliyejitokeza hadi sasa kukanusha alichokisema Lowassa, inabidi baadhi yetu tuliompaka kwamba ni fisadi wa Richmond kwa kutumia taarifa nunu nusu tulizopewa na ripoti ya Mwakyembe ambayo haikumhoji Luwassa, basi inapaswa tumuombe radhi. Kumbuka ukweli wa kashfa ya Richmond tumeupata miaka minane baadaye--baada ya Lowassa kuchomoka kwenye mfumo wa utawala unaonufaisha wachache huku ukifukarisha wananchi walio wengi. Mimi naendelea kuomba Mungu mfumo uendelee kupasuka ili watawala watambue ni kwa nini wananchi walipendekeza ile Rasimu ya Katiba ambayo CCM iliizika kisanii pale Dodoma. Laana ile ya kudharau wananchi haitaicha CCM salama. Tusubiri. Ananilea Nkya E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com--------------------------------------------On Fri, 7/31/15, Emmanuel Mugandawrote: Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI To: "wanabidii@googlegroups.com" Date: Friday, July 31, 2015, 9:35 AM Kitila,Hivi kutubu maana yake nini? Zitto alimaanisha nini alipomkaribisha Lowassa ACT ili mradi ataje mali zake? Unafiki ni part and parcel of politics.em Sent from my iPhone On Jul 31, 2015, at 2:37 AM, Kitila Mkumbo wrote: This is what we call flip flopping or dithering au kwa Kiswahili rahisi UNAFIKI! Eti vyama vya siasa siku hizi ni sehemu ya watu kutubu? Hii nayo anaunga mkono dada Nkya? Yaani dada nilijua ushabiki umekukaba lakini sikujua kama utashuka kwa kiwango hiki! Hata hivyo, lazima nikuhurumie angalau kidogo, lazima useme hivyo utafanyeje tena kwa sababu wewe ni moja ya watu mlioaminishwa kwamba hawa watu ni malaika na kila mtu asiyekubaliana nao ni shetani!! Mkakubali na kukumbatia kika upuuzi waliwaletea na kuutembeza barabarani. Lazima sasa mle matamishi yenu, hakuna namna! Hii itukumbushe kwamba Siasa za maji taka hazina mwisho mzuri. Watu badala kuhubiri sera mchana - usiku kutwa wanatukana watu na kujivika umalaika. Liwe fundisho kwetu sote. Chuki na siasa za maji taka mbaya. Nasi tunaojiita 'neutral' tujifunze kuona uzuri na ubaya wa pande zote. Haiwezekani ubaya ukawa sehemu A lakini ukihamia upande B ghafla unakuwa mzuri. Mantiki inakataa. Again, hakuna namna ya kulielezea hili zaidi ya UNAFIKI tu! So, nakubaliana kabisa na mtoa hoja kwamba ni uungwana tu kwa watu waliotembea barabarani nchi nzima kumtukana EL wakamuomba msamaha kabla hawajaanza tena kumtembeza barabarani kama mgombea. Vinginevyo mie napongeza ujasiri wa EL wa kushinda majaribu na kuhamia upinzani. Napongeza ujasiri wa CHADEMA wa kuwa na roho ngumu na kutoa uso wa soni. Nampongeza JK kwa ujasiri wake wa kukata jina la EL kibabe na kichuki, jambo ambalo litaisaidia Tanzania kuwa na ushindani wa kweli wa kisiasa katika mfumo wa vyama vingi. Kila jambo lina upande wake mwema. Kitila 2015-07-29 9:04 GMT+03:00 emmbaga : Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake bado. lakini alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe labda angejitetea kipindi kile tungemwelewa labda lkin sasa anatumia advantage ya Baba wa Taifa hatunae tena!!! mizimu itazungumza. Ernest Sent from Samsung mobile fatma_elia via Wanabidii wrote: Ernest Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona mlimtakasa Kikwete mnamkataa Lowassa? Fatma Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania. From: Ernest Philemon Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000 To: wanabidii ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI Tuache unafiki, Baba wa taifa alimkataa Lowassa hata mambo ya Richmond hayakuwepo, nae Lowassa hajawahi kanusha chochote alichosema baba wa taifa marehemu Mwalimu Julius Nyerere, leo hii we Mama unasema aombwe radhi !!!! duuu kweli hizi njaa zinapoteza hata utu wa mtu. ernest Date: Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000 From: wanabidii@googlegroups.com To: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI Kila anayetubu kwa dhati husamehewa Nkya. Lakini uwe mwangalifu na siasa. Umesikiliza upande mmoja tu kwamba EL alipewa amri ya simu, kutoka juu, kupitia kwa Katibu Mkuu kwamba mkataba usivunjwe. Haingii akilini katika taratibu za utawala kupokea maagizo na kutekeleza katika mtiririko huu! Agizo haliendi hivyo, na mimi binafsi siwezi kutekeleza agizo la jinsi hii. Je anayesemekana alitoa agizo akisema hajawahi kupiga simu kuzuia kuvunja mkataba? Na hii inawezekana sana katika hali ya mambo sasa hivi - kurukana! Nani atakuwa mkweli? Ni kupakana matope, tupate upande mwingine wa shilingi, kwamba ni kweli lilikuwa agizo? Kwa nini EL haku test authenticity ya agizo hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya subordinate wako? Please From: 'ananilea nkya' via Wanabidii To: mabadilikotanzania@googlegroups.com Cc: WANA BIDII Sent: Wednesday, July 29, 2015 4:43 PM Subject: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI Nimemsikiliza Edward Lowassa kwenye you tube tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa maswali na wanahabari kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu miaka minane iliyopita. Kulingana na majibu aliyoyatoa hata mimi kama mwanahabari niliwahi kumwita fisadi kwa sababu ya kashfa hiyo. Lakini kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri nilifanya dhambi maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya kusikia upande wake mimi kwa upande wangu namuomba radhi. Kumbe kinara wa kashfa ya Richmond alikuwa bosi wake. Lo! Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za Mwakyembe hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa kashfa ya Richmond ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu Lowassa alijiuzulu kuinusuru serikali nzima isianguke. Mungu mwema miaka minane baadaye ukweli kamili wa Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli Lowassa, Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe na Mzee Mwinyi peke yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji kutokana na nafasi zenu na siyo kosa mlilolitenda ninyi wenyewe. Viongozi wengine mpaka umma upige kelele sana ndipo wajibaraguze kujiuzulu mfano kashfa ya escrow 2014. Sasa ninaelewa ni kwa nini baadhi ya watu wana hofu baada ya LOwassa kukubaliwa na UKAWA kuwa mgombea Urais. Namshukuru sana aliyetuwekea hii you-tube huku jukwaani maana baadhi yetu ambao hatuko site tungeweza kuendelea kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia habari nusu nusu tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya Richmond. Ananilea Nkya E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment