Friday 31 July 2015

Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Ufisadi ni sehemu ya mfumo huo wa utawala. Kwa hiyo basi ufisadi unaweza kujengwa kwenye hiyo mifumo ya kiutawala, Kama ulivyoitaja hapo Muhingo. Lakini la pili mimi sijui kama kulikua na hayo majizi ya richmond kwa nini hadi leo hakuna aliyefikishwa mahakamani kwa ajili ya ufisadi huo. Sasa basi kumwita Lowasa fisadi si sahihi, kilichopo ni shutuma, ambazo amezijibu kwa ufasaha. Kwa nini tusiende kuwauuliza hao wakubwa aliosema walitoa maagizo mkataba wa Richmond, tunaendelea kumsakama Lowasa. He has arleady threw the ball..
Sasa kama hiyo richmond ni ufisadi na hao walioitwa mafisadi hawajachuliwa hatua yeyote, basi ufisadi ni sehemu ya huo mfumo wa utawala. Mimi huu ndio uelewa wangu wa hili swala.
bado nasema haitatusaidia sana kuendelea kumshambulia lowasa, kama lengo letu ni kubadili mfumo huo wa kiutawala unaleta ufisadi na madhila mengine kama kukataa katiba ya wananchi ambayo ilikua na mazuri mengi ya kupinga huo ufisadi. 
Ahsante
John

On Friday, July 31, 2015 1:22 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Agenda kuu peoples power sadi. Unasema ufisadi uko CCM Lakini mafisadi wanahamia Peoplespower. kazi yao ya kwanza ni kuwaambia tusijadili ufisadi. Na wewe unakubali. Yaani gari letu ni bovu. Wakati wa kuondoka umefika. Tusijicheleweshe kuangalia kama limetengenezwa tuwashe tu tuondoke. Hii ni nini? Narudia maneno yako UFISADI uko CCM. lakini wale peopless iliowaita mafisadi wako CDM Ufisadi umebaki CCM kweli?????
--------------------------------------------
On Fri, 7/31/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, July 31, 2015, 1:54 AM

I mean kwa sasa mzee muhingo hatuna
mda huo wa kuanza kudiscuss ufisadi na nani
kahusika'waliohusika wako ccm bhaaas
Nimesma nikarudia mara mia hata wenzangu wamekuambia acha
kudiscuss hizo'vaa ngwada sema peeeeoooples...vite for us
for change bhaaas
Lesian

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>Mollel
>somavizur kilichoandkwa halafu ongelea ndqani ya track
najua uliko (nilikuwako) tena najua niliko (hujafika)
Jitahidi kwenda na mantiki. Utaelewa kinachoongelewa.
Nimejadili maana ya mfumo na maana ya ufisadi nakudhani kuwa
ufisadi sio mfumo-Hilo tu-Lijibu au liache twende mbele.
Hukumuelewa John alipokusaidia usijitukane kwa kutumia
maneno yasiyochangia mada. Ona hata muundo na muumbo wa
maneno
>--------------------------------------------
>On Fri, 7/31/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI
TUMUOMBE RADHI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, July 31, 2015, 1:36 AM
>
> Elisa wee mtu mzima badilika
> Richmlnd haimuhusu lowasa hata toneeeee mzeee heh
> Wee chuki uliojijengea kwa lowasa ni za bure utaingia
> jehanam kwa kujilazimisha,umei tune akili yako
kutokukubali
> tuuuuu,kuendelea kua conservative with no
logic....richmond
> omba pr confr kamuulize jk sku anatua airport toka
aliko
> Cc utatukuta mbele kwa mbele tukiwaumiza wana ccm na
mfumo
> wao mbovu,nakushaur acha tabia yako ya kuaattack watu
attack
> parties,usikomae na jambo moja lisilo na maslah ya
kitaifa
> kwa sasa tuko busy tunapogania maslahi ya kitaifa wewe
> unadiscuss watu....ooh richmond,ooh mafisadi or lowasa
> kaingia cdm
> Talk of what should we do to overthrow ccm bhaaas ndo
habar
> ya mujini mzeeee
> Lesian
>
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Hii ndugu zangu naomba kuiza. Ufisadi ni mfumo?
Mfumo
> gani. Kuna mifumo ya utawala au siasa kama ubepari,
ujamaa
> nakadhalika. Mimi nilifikiri ufisadi ni vitendo vya
jinai
> ambavyo vinaweza kukua kutegemeana na watu kuona aibu
> kuvikosoa. au watu kuogopa kuwakosoa mafisadi.
nafikiri
> ufisadi ni vitendo ambavyo mtu anaweza kufanya jambo
> litakalowatia hasara waliowengi ili yeye afaidike.
Mfano wa
> mkataba wa Richmond ambamo watu walipitisha mkataba
ambamo
> wat majizi wanalipwa capacity charges kubwa bila sababu
za
> msingi na mapato hayo wanayatumia kununua uongozi.
> >Mimi nahitaji maelezo ili twende wote. Kama
maelezo
> yangu ni sahihi kuhusu ufisadi basi dawa ni kuwaondoa
> mafisadi wala si mfumo tena na wanaweza kuwa popote
kwa
> sababu watahama kama wamasai kufuata malisho.
> >Nisaidieni hapo
> >--------------------------------------------
> >On Thu, 7/30/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA
FISADI
> TUMUOMBE RADHI
> > To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Thursday, July 30, 2015, 4:06 PM
> >
> > Telesphor,Umeongea
> > kitu cha msingi sana, ambacho na mimi ndio
mtazamo
> wangu.
> > Haitatusaidia
> > sana kuwajadili watu, nani fisadi? nani sio
fisadi. La
> > msingi ni kuujadili na kuubadilsha huo mfumo
unaoleta
> hao
> > mafisadi. Kama huo mfumo uko UKAWA au CCM, kila
mtu
> anajua.
> > John
> >   
> >
> >
> >      On Thursday, July
> > 30, 2015 2:52 PM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
> > wrote:
> >     
> >
> >  Kwa sasa hakuna haja ya
> > kuzungumzia mtu/watu bali kubadilisha/kuboresha
mfumo
> wa
> > utawala tu na kilichofanyika ndani ya Chadema au
Ukawa
> > kinaonyesha mwelekeo huu.
> >
> > 2015-07-30 15:07
> > GMT+03:00 emmbaga <emmbaga@hotmail.com>:
> >
> >
> >
> >
> >
> > Nimefarijika sana kusoma habari , Dr. Slaa
amekataa
> > usanii huo na  amejitoa rasmi Chadema. subiri
> utasikia
> > zaidi. na narudia tena maana naona huelewi.
Ufidadi wa
> > Richmond ni kitu kidogo mno ktk ufisadi wa mtu
wenu
>  na
> > wala haukufanikiwa ( siuliumbuliwa
> >  na  kamati) nazungumzia wa tangu enzi za
Nyerere
> na
> > ambao ndio unampa kiburi ya fwedha  anazowanunua
watu
> > sampuli enu. anaweza asiwape Cash wengine wenu lkn
kwa
> > kutumia taaluma ake a usanii  kupitia Media,
> > Makanisa,Misikiti...... ndio ninaozungumzia.
amepata
> >  wapi mihela yote hio akiwa mtumishi wa Umaaa.
> hebu
> > tufafanulie hapo. mabadiliko sio kumtumia
mtuhumiwa
> kuyaleta
> > sababu tu ana wafuasi wengi kama unavyodhani na
> anavyotaka
> > tuamini. haya  akisha upata Urais??.Jisikieni
aibu
> > kutetea uozo.
> > "Hongera Dr .W. Slaa"
> >
> >
> >
> > hawa vibaraka waliobaki tutapambana nao kwa uwezo
wa
> > Mungu.
> >  ernest
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Sent from
> > Samsung mobile
> >
> >
> >
> > 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > wrote:
> >
> >
> >
> > Ernest, -time will tell kama
> > ulivyosema.
> >  Mungu atatuonesha adui yetu ni nani.
> >
> > kuna mambo mawili  tuyaweke sawa
> > hapa.La kwanza mtandao ulikuwepo ccm, huo ni
mfumo
> > uliotumika kufanikisha ushindi uchaguzi kipindi
hiko.
> > Anayehamia CDM si
> >  mtandao ni Lowasa. Watakaomuunga mkono kuhama
nae
> sio wana
> > mtandao. Ni watu wanaoamini katika utendaji wake
na
> > ambao wako tayari kwa mageuzi ya kimfumo wa
kiutawala.
> Maana
> > mageuzi hayo ndiyo yatatuletea maendeleo.
> > Jambo la pili, ni lazima kuutazama
> > ufisadi kama ni mfumo uliojengeka kwenye ccm. Sio
> tatizo la
> > mtu mmoja. Wewe unafahamu kwamba Mkapa aliingia
> akiitwa
> > mr clean, lakini kilichotokea tulikiona,
> > sababu ya huo mfumo. Hili somo ni rahisi kama
> > ukiwa tayari kujifunza. lakini usipokubali
kupanua
> mtazamo
> > wako itakua ngumu. Lakini pia Huyo lowasa ameongea
na
> > amésema hiyo habari ya richmond ni agizo la
> > 'wakubwa'.
> >  Sasa hamisheni kesi yenu kwa hao wakubwa kuliko
> kuendelea
> > kumsimanga mtu asiye na kosa. Mnaogopa?
> >
> >
> >
> > 'in the war between falsehood
> > and truth, falsehood wins the first battle and
truth
> the
> > last'  (anaglizo
> > huu si usemi wangu sikumbuki chanzo
> > nilichoutoa.)
> >
> >
> >
> > John
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > On Thursday, July
> > 30, 2015 12:34 PM, Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
> > wrote:
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Ngugu John ee !!
> >
> > huo  usafi  wa  Kikwete 
> > unauzungumza  wewe,  alafu  unajaribu 
> > kufanya  taasisis  ya  Urais  kama 
> > ya  kikundi  fulani  hivi  eti 
> > kama  alimweka  kua  waziri  mkuu 
> > kwani  hakujua  ni  fisadi.
> >
> >
> >
> > unafahamu  kuhusu  CCM  mtandao?? 
> > ambao  ulifanya mapinduzi  baridi  2005 
> > na kumwingiza Kikwete.  na  huo  ndio
> > ulijaribu tena  kumwingiza  huyu  mtu 
> > wenu Lowassa kwa  njia  zilezile,  sasa
> > imeshindikana  ,  amepata  mwanya 
> > wa  walafi  wengine   eti  apitie 
> >  CDM   mradi tu  awe  rais, 
> > na  mtandao  wake  uendeleee 
> > kutawala  nchi  ukiongeza  na  wapya
> > toka  CDM  doo!!!  mnataka 
> > wafanya  watanzania  milioni  zaidi  ya
> > 45   mali yenu  au  mazezeta?? 
> >
> >
> >
> >
> > binafsi 
> > sikuwahi  kupiga  kura  kumchagua 
> > Kikwetea.  na  hii ni  sababu 
> > jinsi  alivyoupata  urai  kupitia 
> > Mtandao.  safari  hii  nampongeza 
> > kwa  kutusaidia  ku- block  Mtandao 
> > usiteke tena  nchi, kupitia CCM
> >
> >
> >
> >
> >
> > sasa  wanajaribu 
> > kupitia   CDM  ambao   nao
> > wametushtua na kutushangaza , hee!!  kumbe 
yote
> > ilikua  ghilia  tu , hata  fisadi 
> > kwao  ni  mali  mradi  aje  na
> > wafuasi  kuongeza  kura. nitamshangaa 
> > mno  Dr. Slaa  akibaki  huko 
> >  , naamini  pia   wengi  wa
> > waelewa  ktk chama  hicho  CDM hawatakubali.
> >
> >
> >
> >
> > najua  mtapata 
> > watu  wachache waliokua  mtandao  kuhamia
> > CDM  kuendeleza  usanii  wake  kua 
> > anakubalika na  wananchi  na  hata 
> > atapokelewa  kwa shangwe hasa akienda 
> > Arusha  ambao  wengi  ni wafuasi wa CDM
> > .
> >
> >
> >
> >
> >
> >   lakini 
> > watanzania  makini  na  wanaoipenda 
> > nchi  yao wakisaidiwa  na  mwenyezi 
> > Mungu,hawata kubali  ghiliba  hizo, 
> >
> >
> >
> >
> > tuna taka  mtu 
> > safi  asie  na  kashfa kama zake  na
> > wako  wengi  tu, huyo  wenu  kaeni 
> > nae  mkimshangilia  lakini  uraisi 
> > atausikia  kwa TB  jushua alikokimbiliaga 
> > nanyi  wapambe   mtabaki  na  aibu 
> > yenu  tu.
> >
> >
> >
> > "time  will
> > tell"
> >
> >
> >
> >
> >
> > Ernest
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > 2015-07-30 11:59 GMT+03:00 'john msinde' via
> > Wanabidii
> > <wanabidii@googlegroups.com>:
> >
> >
> >
> >
> > Ila pia huyo mtu safi aliyeambiwa
> > mda wake haujafika badae alimteua kuwa waziri
mkuu
> huyo
> > aliyeambiwa fisadi. Sasa leo nongwa inatoka wapi?.
huu
> sio
> > unafiki? Tubadilishe mitazamo yetu na kufikiri
kwa
> upana
> > zaidi. Hapo ndipo tutaujua ukweli.
> > John
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > On Thursday, July
> > 30, 2015 8:06 AM, emmbaga <emmbaga@hotmail.com>
> > wrote:
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake
bado.
> > lakini alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe
labda
> > angejitetea kipindi kile tungemwelewa labda lkin
sasa
> > anatumia advantage ya Baba wa Taifa hatunae
tena!!!  
> > mizimu itazungumza.
> > Ernest
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Sent from
> > Samsung mobile
> >
> >
> >
> > fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > wrote:
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Ernest
> >
> >
> >
> > Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona
> mlimtakasa
> > Kikwete mnamkataa Lowassa?
> >
> >
> >
> > Fatma
> >
> > Sent from my BlackBerry® smartphone provided by
> Airtel
> > Tanzania.
> >
> > From: Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
> >
> > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Date: Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000
> > To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> > ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Subject: RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA
> > FISADI TUMUOMBE RADHI
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Tuache  unafiki,  Baba  wa 
> > taifa  alimkataa  Lowassa   hata 
> > mambo  ya  Richmond  hayakuwepo, 
> > nae  Lowassa  hajawahi  kanusha
> > chochote  alichosema  baba  wa  
> > taifa  marehemu Mwalimu Julius  Nyerere,  
> > leo  hii  we  Mama  unasema 
> >  aombwe  radhi  !!!! duuu  kweli 
> > hizi  njaa    zinapoteza 
> > hata  utu  wa  mtu. 
> >
> >
> >
> > ernest
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Date: Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000
> >
> > From: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA
FISADI
> TUMUOMBE
> > RADHI
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Kila anayetubu kwa dhati husamehewa
> > Nkya. Lakini uwe mwangalifu na siasa. Umesikiliza
> upande
> > mmoja tu kwamba EL alipewa amri ya simu, kutoka
juu,
> kupitia
> > kwa Katibu Mkuu kwamba mkataba usivunjwe. Haingii
> akilini
> > katika taratibu za utawala
> >  kupokea maagizo na kutekeleza katika mtiririko
> huu! Agizo
> > haliendi hivyo, na mimi binafsi siwezi kutekeleza
agizo
> la
> > jinsi hii. Je anayesemekana alitoa agizo akisema
> hajawahi
> > kupiga simu kuzuia kuvunja mkataba? Na hii
inawezekana
> sana
> > katika hali ya mambo
> >  sasa hivi - kurukana! Nani atakuwa mkweli? Ni
> kupakana
> > matope, tupate upande mwingine wa shilingi, kwamba
ni
> kweli
> > lilikuwa agizo? Kwa nini EL haku test authenticity
ya
> agizo
> > hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya
subordinate
> > wako? 
> >
> >
> >
> > Please
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > From: 'ananilea
> > nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >
> > To:
> > mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> >
> > Cc: WANA BIDII
> > <wanabidii@googlegroups.com>
> >
> >
> > Sent:
> > Wednesday, July 29, 2015 4:43 PM
> >
> > Subject:
> > [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE
RADHI
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Nimemsikiliza Edward  Lowassa  kwenye you tube
> > tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa maswali na
> wanahabari
> > kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa
Waziri
> Mkuu
> > miaka minane iliyopita. Kulingana na  majibu
> aliyoyatoa
> > hata mimi kama mwanahabari niliwahi
> >  kumwita fisadi kwa sababu ya  kashfa hiyo.
> Lakini
> > kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri
nilifanya
> dhambi
> > maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi
baada
> ya
> > kusikia upande wake mimi kwa upande wangu
namuomba
> radhi.
> >
> >  
> >
> > Kumbe kinara wa  kashfa ya Richmond alikuwa bosi
> wake.
> > Lo!  Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za
> Mwakyembe
> > hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa
kashfa ya
> > Richmond ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu
Lowassa
> > alijiuzulu kuinusuru serikali nzima  isianguke.
> >  Mungu mwema miaka minane  baadaye ukweli
kamili
> wa
> > Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli
> Lowassa,
> > Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe  na Mzee
Mwinyi
> > peke yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha
> uwajibikaji
> > kutokana na nafasi zenu na siyo kosa
> >  mlilolitenda  ninyi wenyewe. Viongozi wengine
> mpaka
> > umma upige kelele sana ndipo wajibaraguze
kujiuzulu
> mfano
> > kashfa ya escrow 2014. Sasa ninaelewa ni kwa nini
> baadhi ya
> > watu wana hofu baada ya LOwassa  kukubaliwa na
UKAWA
> > kuwa mgombea Urais.
> >
> >
> >
> > Namshukuru sana aliyetuwekea hii you-tube huku
> jukwaani
> > maana baadhi yetu ambao hatuko site tungeweza
> kuendelea
> > kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia habari nusu
nusu
> > tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya
Richmond.
> >
> >
> >
> > Ananilea Nkya
> >
> >
> >
> >  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata
> > Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> > for any legal consequences of his or her postings,
and
> hence
> > statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
> > continued membership signifies that you agree to
this
> > disclaimer and pledge to
> >  abide by our Rules and Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are
subscribed to
> the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For more options, visit
> > https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >  
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >  
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> > for any legal consequences of his or her postings,
and
> hence
> > statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
> > continued membership signifies that you agree to
this
> > disclaimer and pledge to
> >  abide by our Rules and Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are
subscribed to
> the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > emails from it, send an email to
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> emails
> > from it, send an email to

> https://groups.google.com/d/optout.

> > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are
subscribed to
> the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
> > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> Utapata Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma

> >--
> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or
her
> postings, and hence statements and facts must be
presented
> responsibly. Your continued membership signifies that
you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules
> and Guidelines.
> >---
> >You received this message because you are
subscribed to
> the Google Groups "Wanabidii" group.
> >To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment