Wednesday, 29 July 2015

RE: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali

Penda tusipende mabadiliko ni lazima na hakuna wa kuyazuia kwa vyo vyote vile. Kama ilivyo adha hakuna zuri lisilokuwa na ubaya wake kwani kila kitu kinategemea maono ya mtu na mtu.  Kwa jambo lile lile kuna atakayeliona jambo kwa uzuri wake akiamua kuliangalia kwa uzuri wake na kuna mwingine anayeweza kuliona jambo kwa ubaya wake akiliangalia jambo hilo kwa ubaya wake.

Hizo ndio changamoto za maisha. Yetu macho na masikio

Herment A. Mrema

> Date: Wed, 29 Jul 2015 07:58:26 -0700
> From: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Woga ni adui mkubwa wa mabadiliko.
> Ananilea Nkya
>  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
> --------------------------------------------
> On Wed, 7/29/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, July 29, 2015, 12:10 PM
>
> John nakubaliana nawewe katika mengi
> kasoro machache tu.
> Kujiengua kwa Lowasa kutoka CCM kuna faida kubwa kwa
> watanzania: Kupungua kwa ukubwa wa CCM na watu makini
> watapendeelea chama chenye nguvu za uelewa wa matatizo ya
> wananchi kuliko kutegemea wingi wa wanachama-Natamani
> nieleze zaidi lakini muda.
> Tunatofautiana nawe katika moja-Lowasa ataidhoofisha Chadema
> wakati watanzania tulikitegemea kuwa chama mbadala kuitawala
> nchi. hapa tutakesha lakini tukisubiri mmuda mfupi tutaona
> matokeo. Chadema inaweza kuporomoka isivyotarajiwa. Huenda
> hata katika uchaguzi isivume kama NCCR ya 1995.
> Tatizo la tume huru huenda likatumiwa kwa manufaa ya ustawi
> wa taifa kwa kumminya lowasa na wengine tutakaa kimya.
> Nilikuwa Marekani wakati Bush akipambana na Al Gole.
> wamarekani kwa 90% walikubali kuwa Gole kashinda na kwa 80%
> wakasema mwachie Bush atawale. ndivyo inavyoweza kuwa kuwa
> hata akishinda Lowasa tume imtangaze magufuli. Nasema
> ninachokiamini. Lowasa anaweza kuwa mtu mzuri akaendesha
> nchi kwa ufanisi mkiubwa. lakini haistahili apewe nafasi kwa
> kura au kwa tangazo la matokeo ya kura- Kama ndilo
> alilomaanisha Nape sijui. Lakini katika yote itapoteza
> Chadema maana Lowasa ameishapoteza-John!
> Elisa
> --------------------------------------------
> On Wed, 7/29/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, July 29, 2015, 1:21 PM
>
> Elisa, unachokisema
> ni mabadiliko siyaoni kwa kweli. Ni watu wachache sana
> watakaokubaliana na wewe. Anachofanya Kinana ni kutoa
> hotuba kwenye majukwaa na kutoa kauli ambazo hazifanyiwi
> kazi. Lakini katika yote tusiite  kuwasafisha mawaziri
> wenye kashfa ni mabadiliko ya mfumo. Hiki kilichotokea kwa
> Lowasa kuhamia UKAWA mimi nakitazama kama ni kukomaa kwa
> siasa za ushindani wa vyama. Lakini pia hata kama viongozi
> vya UKAWA huko nyuma walimsema majukwaani kuwa yeye ni
> fisadi,hilo lilitegemewa. sidhani kama mwanasiasa yeyote
> wa
> upinzani atasimama na kusema watu wa chama kingine ni
> safi,
> na hivyohivyo kwa chama tawala. Ila ni swala la wakati-
> kwa
> wakati huu yeye ndie mtu anayefaa kujaribu kuunagusha
> mfumo
> wa kifisadi, anaweza kufanya hivyo akiwa UKAWA,  ila
> angekua ccm asingeweza kufanya hayo.lazima
> tujifunze kubadilika na kuangalia maswala haya kwa upana
> zaidi. Maendeleo yetu yatapatikana tu tukiwa na ushindani
> wa
> vyama, (kukua kwa demokrasia) ila kwa chama kimoja kukaa
> madarakani mda wote tusitegemee kupata mabadiliko ya
> maisha
> yetu.Kuhusu
> yatakayotokea Tar 26, siongei mengi ila hakuna
> kinachoweza
> kutabirika kwa mazingira ambayo hakuna tume huru ya
> uchaguzi. Unachagua mtu ambaye unamwambia asimamie
> uchaguzi
> ambao wewe ni mshiriki! (hii mada nyingine)John 
>
>
>
>      On Tuesday, July 28,
> 2015 9:57 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>    
>
>   John. Kujiengua kwa
> Lowasa kuna faida nyingi. kati ya faida hizo licha ya
> mvuto
> unaousema hakutaisaidia UKAWA kulishika dola hili. badala
> yake chances za kushika dola zimepotea kuliko ingetumia
> wanachama wake kwa ngazi ya urais.
> Kwa
> habari za CCM kuanza kujirekebisha kuko wazi. naamini toka
> Kinana kuingiz kazini tumeshuhudia mabadiliko fulani. Yapo
> mengi ambayo yanahitaji kufanyika kufumua mfumo huu lakini
> utakumbuka kuwa Kikwete alilazimika kupewa nafasi ya
> kugombea urais just because he was 'popular'. Kiasi
> cha kutompitisha Lowasa licha ua popularity yake ni ishara
> ya mabadiliko.
> Mabadiliko tuliyo yatarajia
> kuletwa na ukawa yalitegemewa kuwa makubwa zaidi. Sasa
> hamna
> aisee. Nina deadlines lakini naufurahia mjadala huu
> --------------------------------------------
> On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>   Subject: Re:
> [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali
>
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>   Date: Tuesday, July 28, 2015, 2:37 PM
>  
>   Muhingo
>
> unasema...'Kama
>   ni mfumo CCM imeonekana
> kuufumua ndiyo maana ikamtema
>
> Lowasa....' sidhani kama hii ni sahihi. Yaani kwa
>   kumtema Lowassa ndio imefumua mfumo. Sijui
> lini wameanza
>   kuufumua huo mfumo wa ufisadi
> -past
>   habits die hard. Kweli tunapoongolea
> siasa tunaongelea
>   uendeshaji wa nchi, sio
> kamari, lakini ni muhimu kuwa na
>   madiliko
> makubwa ya kimfumo katika huo uendeshaji. Maana ni
>   miaka zaidi ya hamsini tumekua na mfumo ambao
> umezidi
>   kutuletea umaskini. Kwa hiyo ni
> wakati sasa wa
>   kubadilisha. Tuko
> kwenye vita kwa hiyo si busara kuchagua
>
> silaha kupigana na adui yako. Mimi mtazamo wangu uko
> zaidi
>   katika kuleta mabadiliko ya
> uendeshaji wa nchi. Lakini
>   kumbuka Lowasa
> alipokatwa hakuna mtu CCM aliyethubutu kusema
>   sababu ya kukatwa kwake, lakini pia sikatai
> anazo kashfa za
>   ufisadi kama walivyo
> wanasiasa wengine. Ni 'kashfa'.
>
> Kama lowasa atahamia UKAWA na hao wengine uliowataja na
>   kama watapokelewa na UKAWA hatujalijua
> bado. Ila kwa sasa
>   tumjadili Lowasa kama
> ni mtu sahihi kwa UKAWA au la. Lakini
>
> lowasa pamoja na kashfa zake bado ni mwanasiasa mwenye
> mvuto
>   kwa sasa (ana wafuasi wengi
> wanaoangalia mazuri yake), na
>   ndio maana
> UKAWA wamevutiwa nae wakijua mapungufu yake.
>   lakini pia tusisahau utendaji wake na uthubutu
> wake katika
>   kutenda, sitaki kueleza hapa
> mfano wa mazuri aliyoyatenda
>   wengi
> wanayafahamu. Tuzidi
>   kutafakari! John
>  
>  
>  
>  
>      On Tuesday, July
> 28,
>   2015 12:49 PM, 'ELISA MUHINGO'
> via Wanabidii
>   <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>  
>    
>  
>   John.
>
> Unamuongelea Lowasa yupi aliyeutumikia mfumo
>   mbovu upi wa CCM?
>
> Ninayemuongelea mimi ni
>   Lowasa aliyekuwa
> akikusanya pesa za watu akizitoa makanisani
>
> na misikitini. mfumo sawa ulimruhusu. namuongelea Lowasa
>   ambaye katika kukusanya kura za maoni
> ameonekana kutoa pesa
>   kupindukia.
> namuongelea Lowasa ambaye wapambe wake ambao
>   lazima ataongozana nao UKAWA  ni Chenge,
> Lostam, Karamagi
>   na wengine. naongelea
> Lowasa ambaye kila aliyeona
>   anavyotumia
> pesa alizosema anapewa na marafikizake
>
> alijiuliza atawalipaje watu hao ambao hawataendelea
>   kufuatilia malipo yao CCM bali watamfuata
> atakakokuwa. UKAWA
>   inajiandaaje kumsaidia
> Lowasa kuwatuliza watu hao?
>   naongelea hayo
> na mengine yanayofanana nayo na
>   ndugu John
> tunapoongelea siasa hatuzungumzii kamali au
>
> mchezo wa mpira. Tunaongelea uendeshaji wa nchi kwa
> manufaa
>   ya watu wote.
>
> Kumbuka watanzania walipokuwa
>   wanajenga
> imani yao juu ya vyama vya upinzani na UKAWA sasa
>   hawakuwa wanajenga imani yao juu ya bendera za
> vyama au
>   magwanda wanayovaa. Ni ahadi
> zilizokuwa zinaonyesha
>   kutambuliwa kwa
> matatizo yao. naongelea hayo yaliyosemwa na
>
> UKAWA.
>   Kama ni mfumo CCM imeonekana
> kuufumua
>   ndiyo maana ikamtema Lowasa.
> Watanzania wanataka mabadiliko.
>   Wakiyakosa
> ndani ya CCM watayapata nje. S\asa CCM
>
> imefanya kazi kubwa. Imefumua mfumo kwa kuanza kuwatema
>   akina Lowasa.
>   Nawaza kuwa
> huenda
>   wakayafurahia mabadiliko kwa
> sababu  hawana chuki na CCM
>   ila mfumo.
> Mfumo ilioanza kuufumua.
>   Nisaidie
>   John kunielewesha zaidi.
>  
>
> --------------------------------------------
>   On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via
>   Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>   wrote:
>  
>  
> Subject: Re:
>   [wanabidii] Lowassa apigwa
> shinikizo kali
>  
>   To:
> "wanabidii@googlegroups.com"
>   <wanabidii@googlegroups.com>
>   Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:10 PM
>  
>   najaribu
>  
>   kuchangia hoja ya comments
> za Muhingo na Mollel, kwa
>   mtazamo
>   wangu hili halina shida kwenye
>   siasa. lazima tukubali kwenda
>   na
>   mabadiliko. upepo wa
> siasa ndiko huko unakoelekea, lakini
>   pia
> tujifunze na siasa za nchi nyingine.
>   wakati
> Kibaki
>   alipohama KANU Alisingiziwa
>   ni fisadi lakini akashinda
>  
> uraisi, na
>   tunaona siasa za kenya
> zilivyobadilika baada ya
>   changamoto za
> upinzani. maendeleo pia
>  
> yamepatikana. Ugomvi wa ufisadi nchini sio wa
>   mtu, ni
>   tatizo la kimfumo.
> watu wengi
>   hamtaki kelewa hili. Kwa hiyo
>   tatizo sio
>   Lowasa tatizo ni
> mfumo wa chama alichokuwapo
>   kabla ya
> kuingia UKAWA. kama alikua ni fisadi
>   kwa
> nini hadi
>   leo hakuna hatua zozote
>   zilizochukuliwa dhidi yake? sasa
>   basi kama
>   lowasa anahamia
> UKAWA ataendana na mfumo na sera
>   za UKAWA
> ambazo zinagiga vita ufisadi wa
>   kimfumo sio
> wa mtu
>   mojamoja ili kuleta
>   ustawi kwa watanzania. lengo ni
>   kuleta
>   mabadiliko ya siasa
> nchini kwa hiyo kama lengo la
>   UKAWA ni
> kushika dola njia iliyotumika ni
>   sahihi.
> The ends
>   justify the means. Ndugu
>   Muhingo inabidi upanue fikra
>   kuendena na
>   hali halisi ya
> siasa na kuelewa hasa maana ya
>  
> mageuzi.wasalaamJohn
>  
>
>   
>  
>  
>         On Tuesday, July 28,
>
>
>   2015 9:55 AM, fadhil fadhil
>   <fadhil.fadhil96@gmail.com>
>   wrote:
>       
>  
>     Muhingo nakubaliana na
> wewe
>  
>   hata siku moja haki
> haichanganyani batili ukawa
>   tuliipenda
>   lakini mafisadi wameipenda
>
> zaidi
>   On Jul 28, 2015 10:00 AM,
>   "'ELISA MUHINGO' via
>   Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>   wrote:
>   anzania
>   ina
>   mascientist wa ajabu.
> aweza kujaribu kumhamisha Sangara
>   kutoka
> ziwa kubwa kama Victoria na kumuweka
>   katika
> bwawa la
>   kuchimbwa na kutarajia humo
>   aishi na kuzaa sana. Kuna
>  
> wanaojua kuwa
>   Sangara akishaona jua basi.
> haishi zaidi ya
>  
>   masaa.
> Sasa tusubiri tuone wanasayansi hawa. Waliambiwa
>   Lowasa hawezi kuteuliwa na CCM
> kupeperusha
>   bendera yake
>  
> kuwania urais. Wakabisha mpaka
>   wengine
> kuapa kuwa
>   asipoteuliwa wafe.
>   Wengine wakasema wanaoona kichefuchefu
>   wale
>   limau. Ikatokea. Sasa
> wanadhani CCM iliyomkataa
>   itamruhusu
> auchukue urahisi kupitia mabwawa ya
>
> kuchimbwa.
>   Nani kasema. Toka lini moja
> kwon
>   geza moja ikazaa sita?
>   Hesabu nyingine
>   mbona
> rahisi. Jamani Watanzania wamechoka
>  
>   kubahatisha. Wamebahatisha ndani ya CCM
> wakafika mahala
>   wakaamua hawatabahatisha
> tena. Tumaini
>   lilikuwa UKAWA. CCM
>   ikaona hilo. Najua kuwa
>
> kama watanazania wakitaka
>   kubahatisha
> tena
>   watabahatisha ndani ya CCM
> inayoonekanas
>  
>   kujua
> watanzania wamechoka nini. Watanzania hawajaichoka
>  
>    CCM. Wamezichoka sera
> zao
>   za kuwavumilia mafisadi.
>   Haiwezekani
>   mafisadi
> wakakaribishwa UKAWA ikatarajia kuwa
>  
> watanzania watasema sisi na ukawa. hapana.
>
> Wakati CCM
>   inajipinda kuwatimua
> mafisadi
>   UKAWA inadhani itaendelea kuwa
>   UKAWA na
>   mafisadi hao. Kifo
> cha UKAWA hakiwezi kuleta
>   kishindo kama
> cha CCM. Hapana. Madereva
>   tunajua.
> Ukikanyaga
>   kuku wala gari
>   haliyumbi. UKAWA inakufa
>  
>
>  
>
> --------------------------------------------
>  
>   On Sun, 7/26/15,
> 'mpombe
>   mtalika' via Wanabidii
>   <wanabidii@googlegroups.com>
>   wrote:
>  
>  
>
>  
>  
>  
>  Subject: [wanabidii] Lowassa apigwa
>
> shinikizo kali
>  
>  
>  To:
>   "ELISA MUHINGO' via
> Wanabidii"
>   <wanabidii@googlegroups.com>
>  
>    Date: Sunday, July
> 26,
>   2015, 7:11 AM
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>    Kwa
>  
>  
>  ufupi
>  
>  
>  
>  
>
>  Washirika wake wataka
>  
>
>
>    maamuzi sasa, Mkewe, Rostam Aziz
> wadaiwa
>  
>  
>    kumzuia.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>    Shinikizo
>  
>  
>     dhidi ya Waziri Mkuu wa
> zamani, Edward Lowassa, la
>   kumtaka
>  
>  
>
>  akihame
>  
>    Chama
> Cha
>   Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka
> na
>  
>   katika timu
>  
>    yake ya
>  
>    ndani ni watu wawili
> tu
>   wanaonekana kumtaka abakie
>   ndani ya
>  
>    chama hicho.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>    Habari
>  
>
>
>     za ndani ya vikao vya kujadili hatua
> za
>   kuchukuliwa
>   na
>  
>    Lowassa baada ya
>  
>     jina lake kukatwa
> kwenye mchakato wa
>   kugombea urais
>   kupitia
>  
>    CCM,
>  
>
>
>    zinasema kuwa wandani wake wanaamini
> kuwa hana
>   atakachopata
>  
>
>    kama
>  
>  
>    ataendelea kubaki kwenye
> chama hicho
>  
>  
>  tawala.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>    "Kaka
>  
>     sikiliza,
>   inavyoelekea shinikizo dhidi ya Lowassa ni
>  
>   kubwa
>  
>    sana. Watu
>  
>    wake wa ndani wanataka
>
> aondoke CCM. Wanaona kama
>  
>  
>    amedhalilishwa
> mno,"
>  
>    kilisema
> chanzo chetu ndani ya vikao
>  
>    hivyo.
>  
>
>
>  
>  
>  
>
>  
>  
>  
>
>    Chanzo
>  
>    
>   hicho kilichoomba
> kutokutajwa jina kwa sasa, kilisema
>  
> kuwa
>  
>    watu
>   wake wa
>  
>  
>   ndani
>   wanaamini Lowassa akiendelea
> kubaki CCM
>  
>   atakuwa
>  
>    amewavunja
>   moyo
>  
>  
>  wale wote
>   waliompigania, hasa vijana
> waliojaa
>  
>   matumaini ya
>  
>    kumuona
>  
>    akiongoza taifa
> hili.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  Wandani
>  
>  
>     wa Lowassa wanaamini kuwa kama akiamua
>   kujiunga na
>   chama
>  
>    chenye nguvu
>  
>    cha upinzani anaweza
> kutimiza ndoto yake
>   ya
>  
> kuwatumikia
>  
>  
>  Watanzania kama
>  
>  
>  rais wa awamu ya tano.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>    Chanzo
>  
>    
>   chetu kinasema kuwa
> Lowassa mwenyewe amekwisha
>   kuamua
>  
>  
>
>  kufanya uamuzi
>  
>  
>  mgumu,
>   ila kuna msuguano juu ya namna ya
> kuondoka
>  
>  
>    CCM.
>  
>
>
>  
>  
>  
>
>  
>  
>  
>
>  
>    Taarifa
>  
>     zaidi
>   zinasema kuwa watu wawili katika timu ya
> ndani
>   ya
>  
>  
>    Lowassa ndio
>  
>  
>
>  wanaelekea kuwa na mawazo tofauti. Hawa ni Rostam
>   Aziz,
>  
>
>
>    mwanasiasa na
>  
>  
>    mfanyabiashara mashuhuri
> nchini na mtu mwingine
>  
>    anayetofautiana na
>  
>    mkakati huu mpya wa
>
> kung'oka CCM ni mkewe, Mama
>   Regina
>  
>    Lowassa.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  Chanzo
>  
>    
>   chetu kinasema kuwa wawili hao wanaamini
> mapigo
>   ambayo
>  
>  
>    Lowassa
>  
>
>    amekumbana
>   nayo ni
> mengi na yanatosha, kwa maana
>  
>   hiyo
>  
>  
>  ingefaa tu
>  
>  
>  apumzike.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>    "Sijui
>  
>     ni kwa nini RA (Rostam Aziz) anakuwa
>   skeptical
>   (shaka). Si
>  
>    unakumbuka
>  
>    ndiye aliyesema
> amechoshwa na siasa
>   uchwara... sasa
>   sijui
>  
>  
>  kwa nini
>  
>  
>    anapunguza makali," chanzo
>  
>    kilisema.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  Hata
>  
>     hivyo,
> vyanzo vyetu
>   vinaongeza kuwa pamoja na
>   upinzani huo
>  
>    Lowassa
>  
>
>
>    anadaiwa kuwa amekwisha kuamua na
>   kinachosubiriwa sasa
>   ni
>  
>  
>    muda
> tu wa
>  
>    kutamka
> anakokwenda.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  Wakati
>  
>    
>   hali ikiwa hivyo ndani ya kambi ya Lowassa,
> kuna
>   taarifa za
>  
>  
>    kuaminika
>  
>    kuwa
>
> kumekuwa na mashauriano baina ya watu wake na
>   viongozi
>  
>  
>    waandamizi
>  
>    wa kambi
>   ya upinzani juu ya mwelekeo wake wa
>  
>    kisiasa.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>    Mwandani
>  
>     mwingine
>   katika kambi ya
> Lowassa alisema kimsingi
>  
>
> yeye
>  
>    (Lowassa)
>  
>    amekwisha kuamua,
>   anachofanya ni kuona kwamba watu
>   wake wa
>  
>    karibu
>  
>
>
>    hawadhuriki na uamuzi wake huo.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>    Chanzo
>  
>  
>     hicho
> kiliiambia NIPASHE kuwa wenye
>   msimamo
> mkali
>   katika
>  
>    kambi ya
>  
>  
>    Lowassa wanaamini utabiri
> wa Baba wa Taifa Mwalimu
>   Nyerere
>  
>  
>    kuwa
> upinzani
>  
>    
>   utatoka ndani ya CCM utatimia mwaka
>  
>    huu.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>
>  "Mnakumbuka ya Mrema
>  
>    (Augustino) alipoondoka CCM siasa za
>   Tanzania
>   zilibadilika
>  
>    mpaka leo? Sasa safari
> hii ni
>   zaidi,"
>  
>  
>    alisema.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>    Takriban
>   wiki mbili sasa,
>  
>  
>    Lowassa amekuwa na jambo
> kubwa moyoni analitaka
>   kuwaambia
>  
>  
>
>  Watanzania.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  Mara
>  
>     ya kwanza
> alikuwa afanye
>   mkutano na waandishi wa
>   habari
>  
>    Julai 13 mwaka
>  
>    huu mjini Dodoma majira ya
>   asubuhi, lakini mkutano
>  
> huo
>  
>    ukahamishiwa
> Dar
>  
>    es Salaam
> ambako pia
>   ukaahirishwa kwa muda
>  
>  
>
>  usiojulikana.
>  
>  
>  
>    Tangu wakati huo
>   kumekuwa
>  
>    na tetesi kuwa
>   alikuwa
> atangaze kujiondoa
>  
>  
>  CCM.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>    Lowassa
>  
>     ni miongoni
>   mwa makada
> 38 waliojitosa kuwania
>  
>
> kuteuliwa
>  
>    kuwa
>   wagombea
>  
>    wa nafasi ya
>   urais wa CCM
> katika uchaguzi mkuu
>  
>
> utakaofanyika
>  
>  
>  Oktoba
>   25,
>  
>    mwaka huu. Hata
>   hivyo,
> jina lake halikuwamo katika
>   orodha
>   ya
>  
>  
>  makada
>  
>    watano
> waliopitishwa
>   kwenye vikao vya juu vya
> chama
>   hicho
>  
>    ambavyo
>  
>
>
>    mwishowe vilimteua John Pombe
> Magufuli
>   kuwa mgombea
>  
> urais
>  
>  
>  atakayekabiliana na wagombea wa upinzani
>
> katika
>   uchaguzi
>  
>    mkuu huo.
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>
>  CHANZO:
>  
>  
>  NIPASHE
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  
>  --
>  
>  
>  
>    Send
>
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
>  
>  
>     
>  
>  
>
>  
>    Kujiondoa Tuma
> Email
>   kwenda
>  
>  
>  
>  
>    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>   Utapata Email ya
>  
>    kudhibitisha ukishatuma
>  
>
>  
>  
>  
>   
>  
>  
>  
>    Disclaimer:
>  
>  
>  
>    Everyone
>   posting to this
> Forum bears the sole
>  
>
> responsibility
>  
>    for
> any
>   legal consequences of his or her
> postings, and
>   hence
>  
>
>  
>    statements and facts
> must be presented responsibly.
>   Your
>  
>  
>
>  continued membership signifies that you agree to
>   this
>  
>
>
>    disclaimer and pledge to abide by our
> Rules and
>   Guidelines.
>  
>
>  
>  
>  
>    ---
>  
>  
>  
>  
>  
>  You
>   received this message because you are
> subscribed
>   to the
>  
>  
>    Google Groups
> "Wanabidii" group.
>  
>  
>  
>    To
> unsubscribe from this group and stop
>
> receiving
>   emails
>  
>    from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>  
>  
>  
>    For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>  
>  
>  
>  
>  
>   --
>  
>
>   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
>  
>  
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>  
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
>  
>  
>   Disclaimer:
>  
>  
>   Everyone posting to this
> Forum bears the sole
>   responsibility
>   for any legal consequences
>
> of his or her postings, and hence
>  
>   statements and facts must be presented
> responsibly. Your
>   continued membership
> signifies that you agree
>   to this
>   disclaimer and pledge to abide by
>   our Rules and
>  
> Guidelines.
>  
>  
>   ---
>  
>  
> You
>   received this message because you are
> subscribed to the
>   Google Groups
> "Wanabidii" group.
>  
>   To unsubscribe from this
>
> group and stop receiving emails
>   from
> it,
>   send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>  
>   For more options,
> visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>  
>  
>  
>  
>  
>   --
>  
>
>   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
>    
>  
>
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  
>  
>  
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>   Utapata Email ya
>  
> kudhibitisha ukishatuma
>  
>    
>  
>  
> Disclaimer:
>  
>  
>   Everyone posting to this Forum bears the
> sole
>   responsibility
>   for
> any legal consequences
>   of his or her
> postings, and hence
>  
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
>   continued membership signifies that you
> agree
>   to this
>   disclaimer
> and pledge to abide by
>   our Rules and
>   Guidelines.
>  
>  
>   ---
>  
>
>  
>   You received this
> message because you are subscribed to
>
> the
>   Google Groups
> "Wanabidii"
>   group.
>  
>   To unsubscribe
>   from this group and stop receiving emails
>  
>   from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>  
>   For more options,
> visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>  
>  
>        
>
>
>  
>  
>  
>
>   --
>  
>   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
>    
>  
>
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  
>  
>  
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>   Utapata Email ya
>  
> kudhibitisha ukishatuma
>  
>    
>  
>  
> Disclaimer:
>  
>  
>   Everyone posting to this Forum bears the
> sole
>   responsibility
>   for
> any legal consequences
>   of his or her
> postings, and hence
>  
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
>   continued membership signifies that you
> agree
>   to this
>   disclaimer
> and pledge to abide by
>   our Rules and
> Guidelines.
>  
>  
>   ---
>  
>  
> You received this
>   message because you are
> subscribed to the
>  
>   Google
> Groups "Wanabidii" group.
>  
>  
>   To unsubscribe from this
> group and stop
>   receiving emails
>   from it, send an email to
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>  
>   For more options,
> visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>  
>  
>   --
>   Send
>   Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
>   Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
>  
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
>   Disclaimer:
>
> Everyone posting to
>   this Forum bears the
> sole responsibility for any legal
>
> consequences of his or her postings, and hence statements
>   and facts must be presented responsibly. Your
> continued
>   membership signifies that you
> agree to this disclaimer and
>   pledge to
> abide by our Rules and Guidelines.
>   ---
>   You received this message
>
> because you are subscribed to the Google Groups
>   "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe
>   from this group and stop
> receiving emails from it, send an
>   email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>   For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>  
>     
>  
>  
>   --
>  
>   Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
>    
>  
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
>   kudhibitisha ukishatuma
>  
>    
>  
>   Disclaimer:
>  
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>   for any legal consequences
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
>   continued membership signifies that you agree
> to this
>   disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and
>   Guidelines.
>
>
>   ---
>  
>
> You received this message because you are subscribed to
> the
>   Google Groups "Wanabidii"
> group.
>  
>   To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>  
>   For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>  
>
> --
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>      
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
> the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment