Thursday 30 July 2015

Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

This is what we call flip flopping or dithering au kwa Kiswahili rahisi UNAFIKI!  

Eti vyama vya siasa siku hizi ni sehemu ya watu kutubu? Hii nayo anaunga mkono dada Nkya? Yaani dada nilijua ushabiki umekukaba lakini sikujua kama utashuka kwa kiwango hiki! Hata hivyo, lazima nikuhurumie angalau kidogo,  lazima useme hivyo utafanyeje tena kwa sababu wewe ni moja ya watu mlioaminishwa kwamba hawa watu ni malaika na kila mtu asiyekubaliana nao ni shetani!! Mkakubali na kukumbatia kika upuuzi waliwaletea na kuutembeza barabarani. Lazima sasa mle matamishi yenu, hakuna namna! 

Hii itukumbushe kwamba Siasa za maji taka hazina mwisho mzuri. Watu badala kuhubiri sera mchana - usiku kutwa wanatukana watu na kujivika umalaika. Liwe fundisho kwetu sote. Chuki na siasa za maji taka mbaya. Nasi tunaojiita 'neutral' tujifunze kuona uzuri na ubaya wa pande zote. Haiwezekani ubaya ukawa sehemu A lakini ukihamia upande B ghafla unakuwa mzuri. Mantiki inakataa. Again, hakuna namna ya kulielezea hili zaidi ya UNAFIKI tu! 

So, nakubaliana kabisa na mtoa hoja kwamba ni uungwana tu kwa watu waliotembea barabarani nchi nzima kumtukana EL wakamuomba msamaha kabla hawajaanza tena kumtembeza barabarani kama mgombea. 

Vinginevyo mie napongeza ujasiri wa EL wa kushinda majaribu na kuhamia upinzani. Napongeza ujasiri wa CHADEMA wa kuwa na roho ngumu na kutoa uso wa soni. Nampongeza JK kwa ujasiri wake wa kukata jina la EL kibabe na kichuki, jambo ambalo litaisaidia Tanzania kuwa na ushindani wa kweli wa kisiasa katika mfumo wa vyama vingi. 

Kila jambo lina upande wake mwema. 

Kitila

2015-07-29 9:04 GMT+03:00 emmbaga <emmbaga@hotmail.com>:
Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake bado. lakini alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe labda angejitetea kipindi kile tungemwelewa labda lkin sasa anatumia advantage ya Baba wa Taifa hatunae tena!!!   mizimu itazungumza.
Ernest

Sent from Samsung mobile

fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ernest

Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona mlimtakasa Kikwete mnamkataa Lowassa?

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
Date: Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000
Subject: RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Tuache  unafiki,  Baba  wa  taifa  alimkataa  Lowassa   hata  mambo  ya  Richmond  hayakuwepo,  nae  Lowassa  hajawahi  kanusha chochote  alichosema  baba  wa   taifa  marehemu Mwalimu Julius  Nyerere,   leo  hii  we  Mama  unasema  aombwe  radhi  !!!! duuu  kweli  hizi  njaa    zinapoteza  hata  utu  wa  mtu. 

ernest

Date: Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Kila anayetubu kwa dhati husamehewa Nkya. Lakini uwe mwangalifu na siasa. Umesikiliza upande mmoja tu kwamba EL alipewa amri ya simu, kutoka juu, kupitia kwa Katibu Mkuu kwamba mkataba usivunjwe. Haingii akilini katika taratibu za utawala kupokea maagizo na kutekeleza katika mtiririko huu! Agizo haliendi hivyo, na mimi binafsi siwezi kutekeleza agizo la jinsi hii. Je anayesemekana alitoa agizo akisema hajawahi kupiga simu kuzuia kuvunja mkataba? Na hii inawezekana sana katika hali ya mambo sasa hivi - kurukana! Nani atakuwa mkweli? Ni kupakana matope, tupate upande mwingine wa shilingi, kwamba ni kweli lilikuwa agizo? Kwa nini EL haku test authenticity ya agizo hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya subordinate wako? 

Please

From: 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: WANA BIDII <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, July 29, 2015 4:43 PM
Subject: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Nimemsikiliza Edward  Lowassa  kwenye you tube tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa maswali na wanahabari kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu miaka minane iliyopita. Kulingana na  majibu aliyoyatoa hata mimi kama mwanahabari niliwahi kumwita fisadi kwa sababu ya  kashfa hiyo. Lakini kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri nilifanya dhambi maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya kusikia upande wake mimi kwa upande wangu namuomba radhi.
 
Kumbe kinara wa  kashfa ya Richmond alikuwa bosi wake. Lo!  Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za Mwakyembe hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa kashfa ya Richmond ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu Lowassa alijiuzulu kuinusuru serikali nzima  isianguke. Mungu mwema miaka minane  baadaye ukweli kamili wa Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli Lowassa, Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe  na Mzee Mwinyi peke yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji kutokana na nafasi zenu na siyo kosa mlilolitenda  ninyi wenyewe. Viongozi wengine mpaka umma upige kelele sana ndipo wajibaraguze kujiuzulu mfano kashfa ya escrow 2014. Sasa ninaelewa ni kwa nini baadhi ya watu wana hofu baada ya LOwassa  kukubaliwa na UKAWA kuwa mgombea Urais.

Namshukuru sana aliyetuwekea hii you-tube huku jukwaani maana baadhi yetu ambao hatuko site tungeweza kuendelea kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia habari nusu nusu tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya Richmond.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment