On Tuesday, July 28, 2015 at 12:11:02 PM UTC+3, john msinde wrote:
> najaribu kuchangia hoja ya comments za Muhingo na Mollel, kwa mtazamo wangu hili halina shida kwenye siasa. lazima tukubali kwenda na mabadiliko. upepo wa siasa ndiko huko unakoelekea, lakini pia tujifunze na siasa za nchi nyingine. wakati Kibaki alipohama KANU Alisingiziwa ni fisadi lakini akashinda uraisi, na tunaona siasa za kenya zilivyobadilika baada ya changamoto za upinzani. maendeleo pia yamepatikana. Ugomvi wa ufisadi nchini sio wa mtu, ni tatizo la kimfumo. watu wengi hamtaki kelewa hili. Kwa hiyo tatizo sio Lowasa tatizo ni mfumo wa chama alichokuwapo kabla ya kuingia UKAWA. kama alikua ni fisadi kwa nini hadi leo hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake? sasa basi kama lowasa anahamia UKAWA ataendana na mfumo na sera za UKAWA ambazo zinagiga vita ufisadi wa kimfumo sio wa mtu mojamoja ili kuleta ustawi kwa watanzania. lengo ni kuleta mabadiliko ya siasa nchini kwa hiyo kama lengo la UKAWA ni kushika dola njia iliyotumika ni sahihi. The ends justify the means. Ndugu Muhingo inabidi upanue fikra kuendena na hali halisi ya siasa na kuelewa hasa maana ya mageuzi.
> wasalaam
> John
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> On Tuesday, July 28, 2015 9:55 AM, fadhil fadhil <fadhil....@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
> Muhingo nakubaliana na wewe hata siku moja haki haichanganyani batili ukawa tuliipenda lakini mafisadi wameipenda zaidi
>
>
> On Jul 28, 2015 10:00 AM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> anzania ina mascientist wa ajabu. aweza kujaribu kumhamisha Sangara kutoka ziwa kubwa kama Victoria na kumuweka katika bwawa la kuchimbwa na kutarajia humo aishi na kuzaa sana. Kuna wanaojua kuwa Sangara akishaona jua basi. haishi zaidi ya masaa. Sasa tusubiri tuone wanasayansi hawa. Waliambiwa Lowasa hawezi kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera yake kuwania urais. Wakabisha mpaka wengine kuapa kuwa asipoteuliwa wafe. Wengine wakasema wanaoona kichefuchefu wale limau. Ikatokea. Sasa wanadhani CCM iliyomkataa itamruhusu auchukue urahisi kupitia mabwawa ya kuchimbwa. Nani kasema. Toka lini moja kwon geza moja ikazaa sita? Hesabu nyingine mbona rahisi. Jamani Watanzania wamechoka kubahatisha. Wamebahatisha ndani ya CCM wakafika mahala wakaamua hawatabahatisha tena. Tumaini lilikuwa UKAWA. CCM ikaona hilo. Najua kuwa kama watanazania wakitaka kubahatisha tena watabahatisha ndani ya CCM inayoonekanas kujua watanzania wamechoka nini. Watanzania hawajaichoka
>
> CCM. Wamezichoka sera zao za kuwavumilia mafisadi. Haiwezekani mafisadi wakakaribishwa UKAWA ikatarajia kuwa watanzania watasema sisi na ukawa. hapana. Wakati CCM inajipinda kuwatimua mafisadi UKAWA inadhani itaendelea kuwa UKAWA na mafisadi hao. Kifo cha UKAWA hakiwezi kuleta kishindo kama cha CCM. Hapana. Madereva tunajua. Ukikanyaga kuku wala gari haliyumbi. UKAWA inakufa
>
> --------------------------------------------
>
> On Sun, 7/26/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>
> Subject: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali
>
> To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date: Sunday, July 26, 2015, 7:11 AM
>
>
>
>
>
>
>
> Kwa
>
> ufupi
>
>
>
> Washirika wake wataka
>
> maamuzi sasa, Mkewe, Rostam Aziz wadaiwa
>
> kumzuia.
>
>
>
>
>
>
>
> Shinikizo
>
> dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, la kumtaka
>
> akihame
>
> Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka na katika timu
>
> yake ya
>
> ndani ni watu wawili tu wanaonekana kumtaka abakie ndani ya
>
> chama hicho.
>
>
>
>
>
>
>
> Habari
>
> za ndani ya vikao vya kujadili hatua za kuchukuliwa na
>
> Lowassa baada ya
>
> jina lake kukatwa kwenye mchakato wa kugombea urais kupitia
>
> CCM,
>
> zinasema kuwa wandani wake wanaamini kuwa hana atakachopata
>
> kama
>
> ataendelea kubaki kwenye chama hicho
>
> tawala.
>
>
>
>
>
>
>
> "Kaka
>
> sikiliza, inavyoelekea shinikizo dhidi ya Lowassa ni kubwa
>
> sana. Watu
>
> wake wa ndani wanataka aondoke CCM. Wanaona kama
>
> amedhalilishwa mno,"
>
> kilisema chanzo chetu ndani ya vikao
>
> hivyo.
>
>
>
>
>
>
>
> Chanzo
>
> hicho kilichoomba kutokutajwa jina kwa sasa, kilisema kuwa
>
> watu wake wa
>
> ndani wanaamini Lowassa akiendelea kubaki CCM atakuwa
>
> amewavunja moyo
>
> wale wote waliompigania, hasa vijana waliojaa matumaini ya
>
> kumuona
>
> akiongoza taifa hili.
>
>
>
>
>
>
>
> Wandani
>
> wa Lowassa wanaamini kuwa kama akiamua kujiunga na chama
>
> chenye nguvu
>
> cha upinzani anaweza kutimiza ndoto yake ya kuwatumikia
>
> Watanzania kama
>
> rais wa awamu ya tano.
>
>
>
>
>
>
>
> Chanzo
>
> chetu kinasema kuwa Lowassa mwenyewe amekwisha kuamua
>
> kufanya uamuzi
>
> mgumu, ila kuna msuguano juu ya namna ya kuondoka
>
> CCM.
>
>
>
>
>
>
>
> Taarifa
>
> zaidi zinasema kuwa watu wawili katika timu ya ndani ya
>
> Lowassa ndio
>
> wanaelekea kuwa na mawazo tofauti. Hawa ni Rostam Aziz,
>
> mwanasiasa na
>
> mfanyabiashara mashuhuri nchini na mtu mwingine
>
> anayetofautiana na
>
> mkakati huu mpya wa kung'oka CCM ni mkewe, Mama Regina
>
> Lowassa.
>
>
>
>
>
>
>
> Chanzo
>
> chetu kinasema kuwa wawili hao wanaamini mapigo ambayo
>
> Lowassa
>
> amekumbana nayo ni mengi na yanatosha, kwa maana hiyo
>
> ingefaa tu
>
> apumzike.
>
>
>
>
>
>
>
> "Sijui
>
> ni kwa nini RA (Rostam Aziz) anakuwa skeptical (shaka). Si
>
> unakumbuka
>
> ndiye aliyesema amechoshwa na siasa uchwara... sasa sijui
>
> kwa nini
>
> anapunguza makali," chanzo
>
> kilisema.
>
>
>
>
>
>
>
> Hata
>
> hivyo, vyanzo vyetu vinaongeza kuwa pamoja na upinzani huo
>
> Lowassa
>
> anadaiwa kuwa amekwisha kuamua na kinachosubiriwa sasa ni
>
> muda tu wa
>
> kutamka anakokwenda.
>
>
>
>
>
>
>
> Wakati
>
> hali ikiwa hivyo ndani ya kambi ya Lowassa, kuna taarifa za
>
> kuaminika
>
> kuwa kumekuwa na mashauriano baina ya watu wake na viongozi
>
> waandamizi
>
> wa kambi ya upinzani juu ya mwelekeo wake wa
>
> kisiasa.
>
>
>
>
>
>
>
> Mwandani
>
> mwingine katika kambi ya Lowassa alisema kimsingi yeye
>
> (Lowassa)
>
> amekwisha kuamua, anachofanya ni kuona kwamba watu wake wa
>
> karibu
>
> hawadhuriki na uamuzi wake huo.
>
>
>
>
>
>
>
> Chanzo
>
> hicho kiliiambia NIPASHE kuwa wenye msimamo mkali katika
>
> kambi ya
>
> Lowassa wanaamini utabiri wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
>
> kuwa upinzani
>
> utatoka ndani ya CCM utatimia mwaka
>
> huu.
>
>
>
>
>
>
>
> "Mnakumbuka ya Mrema
>
> (Augustino) alipoondoka CCM siasa za Tanzania zilibadilika
>
> mpaka leo? Sasa safari hii ni zaidi,"
>
> alisema.
>
>
>
>
>
>
>
> Takriban wiki mbili sasa,
>
> Lowassa amekuwa na jambo kubwa moyoni analitaka kuwaambia
>
> Watanzania.
>
>
>
>
>
>
>
> Mara
>
> ya kwanza alikuwa afanye mkutano na waandishi wa habari
>
> Julai 13 mwaka
>
> huu mjini Dodoma majira ya asubuhi, lakini mkutano huo
>
> ukahamishiwa Dar
>
> es Salaam ambako pia ukaahirishwa kwa muda
>
> usiojulikana.
>
>
>
> Tangu wakati huo kumekuwa
>
> na tetesi kuwa alikuwa atangaze kujiondoa
>
> CCM.
>
>
>
>
>
>
>
> Lowassa
>
> ni miongoni mwa makada 38 waliojitosa kuwania kuteuliwa
>
> kuwa wagombea
>
> wa nafasi ya urais wa CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika
>
> Oktoba 25,
>
> mwaka huu. Hata hivyo, jina lake halikuwamo katika orodha ya
>
> makada
>
> watano waliopitishwa kwenye vikao vya juu vya chama hicho
>
> ambavyo
>
> mwishowe vilimteua John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais
>
> atakayekabiliana na wagombea wa upinzani katika uchaguzi
>
> mkuu huo.
>
>
>
>
>
>
>
> CHANZO:
>
> NIPASHE
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
>
> continued membership signifies that you agree to this
>
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> ---
>
>
>
> You received this message because you are subscribed to the
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
support..
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment