Wednesday 29 July 2015

Re: [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na mambo yafuatayo...

Fadhili,
Nimesikiliza Lowassa kwenye you tube tuliyowekewa humu mtandaoni akiulizwa maswali na kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu miaka minane iliyopita. Kulingana na majibu aliyoyatoa hata mimi kama mwanahabari niliwahi kumwita fisadi kwa sababu ya kashfa ya Richmond. Lakini kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri ni dhambi maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya kusikia upande wake mimi kwa upand e wangu namuomba radhi.

Kumbe kinara wa Richmond alikuwa bosi wake. Lo! Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za Mwakwenye hakikumweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa lakini kwa unyenyekevu Lowassa akajiuzulu kunusuru serikali nzima isianguke. Mungu mwema miaka minane baadaye ukweli kamili wa Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli, Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe na Mzee Mwinyi peke yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji kutokana na nafasi zenu na siyo kosa mlilolitenda. Viongozi wengine mpaka umma upige kelele sana ndo wajibaraguze kujiuzulu.


Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Wed, 7/29/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na mambo yafuatayo...
To: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 29, 2015, 8:03 PM

mama Nkya
lakini Lowasa hajakiri wala hajaomba kusamehewa isipokuwa
yeye kafata urais tu, kama naongopa mnyime nafasi ya
kugombea urais Muone kama atabakia na ndio maana alitoa
masharti kabla ya kuhamia ili yasimkute ya kina Shibuda

2015-07-29 18:18 GMT+03:00
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Aliyekuwa
kundi la waovu, akiondoka huko na kukiri asamehewe na 
asaidie nchi kusambaratisha kundi hilo la waovu nchi ipone.
Woga wa mabadiliko ndiye adui mkubwa wa maendeleo ya nchi
yetu.

Ananilea Nkya

 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com



--------------------------------------------

On Wed, 7/29/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae
kukabiliana na mambo yafuatayo...

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Wednesday, July 29, 2015, 11:20 AM



 CHADEMA ininusurika

 itakuwa chama kikubwa cha upinzani. Haiwezi tena kuvuka

 mstari huo. Acha maumivu ndani ya chama ila pia
imewaumiza

 watanzania waliokiona kama chama tawala kitarajiwa.
Kitendo

 cha kukiri kuwa hakikuwa na mgombea urais bali
kilisubiri

 atakayetemwa na CCM basi watanzania watataka kuiona
CHADEMA

 mpya isiyoongozwa na waliotamka upuuzi jana.
Itapatikana

 wakijiuzulu au wakifukuzwa. Nimesema Ikinusulika.
Uwezekano

 wa kupolomoka kama NCCR Mageuzi au TLP ni mkubwa.
Wakiweza

 kubadili na kumpata mgombea urais wa ndani majeraha

 yatapungua.

 --------------------------------------------

 On Wed, 7/29/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>

 wrote:



  Subject:

 [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na
mambo

 yafuatayo...

  To: "'Hildegarda

 Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Wednesday, July 29, 2015, 9:53 AM







  CHADEMA lazima ijiandae



 kukabiliana na mambo yafuatayo...





  Hata kabla ya kuja kwa

  Lowasa ndani ya CHADEMA kulikuwa kumeanza

  kuonyesha dalili mbaya sana;









  Mosi,

 katika kura za maoni; kuna malalamiko mengi sana ya

  kujihusisha na rushwa

  kwa

 baadhi ya wagombea wa ubunge. Changamoto kubwa ni
kwamba

  ushahidi wa rushwa

  ni mgumu

 mno kuuthibitisha. Ikumbukwe kuwa hata ndani ya CCM

  kulianza na

  minong'ono ya

 rushwa kutoka kwa watu wa kawaida lakini



 viongozi wakawa wanaziba

  masikio kwa pamba

 leo hii rushwa inakitesa chama cha



 mapinduzi.







  Pili, kuna baadhi ya makada

 waliotoka CCM na hata wale

  waliokuwepo

 ndani ya

  chama wamebadili kabisa njia ya

 ushindini, kwani kwa sasa

  njia

 wanayoiamini

  sana ni kutoa rushwa, wengi

 wao wameshinda kura za maoni

  ndani ya

 CHADEMA, na

  wengine ndani ya Chadema

 wanaamini katika ushindani wa hoja

  tu na si

 rushwa

  hawa ni wachache sana na nafasi yao

 kwa sasa ndani ya chama

  inafifia sana

 tena

  mno kwa sababu nguvu ya PESA kwa sasa

 ndani ya CHADEMA

  imeingia kwa kasi.







  Tatu, Hatari nyingine ninayoiona ndani ya

 chama ni kupenda

  mno vitu vya

  Uliberali kuliko vya Kijamaa. CHADEMA inaamini

 katika Mrengo

  wa kati yaani mazuri

  ya Ujamaaa na ya Uliberali. Mimi naona chama

 kimeegemea sana

  kwa sasa kwenye

  Uliberali wakati kimefika hapa kilimo leo kwa

 sababu ya

  kuegemea sana kwenye

  Ujamaa wa Kisasa. Bila kurudi kwenye Ujamaa wa

 kisasa naona

  hatari sana ndani

  ya chama.









  Nne, Ujio wa Lowasa una

 faida na hasara. Mosi, endapo kundi

  la

 Lowasa litaanza

  kuwanyang'anya makada

 wa CHADEMA nafasi walizonazo kwa

  kisingizio

 kuwa hawana

  hela za kufanya siasa ndani ya

 chama, kuna hatari sana ya

  CHADEMA

 kukabiliana

  na upinzani mkubwa ndani ya

 chama kuliko wakati wowote ule.

  Pili, Kuna

 kundi

  kubwa bado lina mini katika Dr. Slaa

 nalo linatakiwa baadae

  lipewe maelezo ya

  kutosha kabisa kuwa kwa nini Dr. Slaa

 asigombee URAIS.

  Hasara yake nayo iko

  kwenye kuaminisha Watanzania kuwa ni fisadi na

 kwa sasa

  kuwashawishi kuwa



 Lowasa si fisadi hili jambo litaitesa sana CHADEMA.







  Tano, shutuma za ufisadi kama silaha kubwa ya

 CHADEMA lazima

  wataalam wa siasa

  ndani ya chama wajiandae kuja na hoja zenye

 mashiko ili

  kuendeleza neno hili

  ambalo limeonekana kwa muda mrefu kama nguzo

 ya CHADEMA.











  --



  Send

 Emails to wanabidii@googlegroups.com



   



  Kujiondoa Tuma Email kwenda





  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma



   



  Disclaimer:





 Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences

 of his or her postings, and hence



 statements and facts must be presented responsibly.
Your

  continued membership signifies that you agree

 to this

  disclaimer and pledge to abide by

 our Rules and Guidelines.





 ---



  You received this

 message because you are subscribed to the



 Google Groups "Wanabidii" group.





  To unsubscribe from this group and stop

 receiving emails

  from it, send an email to

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



  For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.





 --

 Send

 Emails to wanabidii@googlegroups.com



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



 Disclaimer:

 Everyone posting to

 this Forum bears the sole responsibility for any legal

 consequences of his or her postings, and hence
statements

 and facts must be presented responsibly. Your continued

 membership signifies that you agree to this disclaimer
and

 pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message

 because you are subscribed to the Google Groups

 "Wanabidii" group.

 To unsubscribe

 from this group and stop receiving emails from it, send
an

 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment