Friday 31 July 2015

Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Fat unajua kuwa mimi ni mwanaCCM kama wewe. Na unajua kupitia mtandao huu kuwa matumaini yangu ni Chadema kuiweka CCM pembeni ili ikarabatiwe kwa miaka 10 hadi 15 ndipo irudi madarakani. naumia kwa sababu sasa Chadema tuliyotarajia haitakuwepo na imeanza kutokuwepo. nimesema humu kuwa tusubiri kuanzia November tuonde kama akina Tundu, Mnyika Slaa na wengine waweza kuikarabati PostLowasa-Chadema iweze kuwa PreLowasa Chadema. Watu hawashabikii CHADEMA ila sera zake. zipi Kupinga unyonyaji na watu kujitajirisha kupita maelezo wapo wengi ambao wameibuka matajili na huwezi kueleza wamepataje mali hizo. Amewataja Millel japo ametaja waliobaki CCM wale waliohamia Chadema hakuwataja.
Tunataka mageuzi. Mgeuzi tulitarajia kuyapata CDM 2015. yameyeyuka na kama hujaona subiri kidogo.
narudia lugha niliyoitumia tulipokuwa tunapambana kuzuia shirikisho la Africa Mashariki kwa kutumia fast Track. Nilisema\ katika mjadala huo tulikuwa tunarutubisha uranium lakini kwa matumizi ya kiraia. naona sasa tumeanza. Kufikia October tutakuwa na mapipa
--------------------------------------------
On Fri, 7/31/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, July 31, 2015, 4:31 PM

Muhingo

Mkapa aliingia Ikulu akiwa malaika. Msafi kabisa lakini
tizama alivyoondoka. Watanzania wasiwe waoga kwa mabadiliko
ingawa mimi mwenyewe ni CCM. Kama Kibaki alikuwa fisadi KANU
lakini aliiongoza tena Kenya kupitia chama cha Upinzani
vizuri sana na wametupita kwa mambo mengi

Tusiogope

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.

-----Original Message-----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 31 Jul 2015 05:10:38
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE
RADHI

Ufisadi ni criminal offence ambayo CCM ilinyamazia na CDM
ikaupigia kelele. Ufisadi kama ulivyo wizi huwezi kuuona ila
unaweza kuwaona wezi. na CDM iliwataja waziwazi bila
kificho. Tunataka kuijenga nchi maadui wakubwa walikuwa
rushwa iliyokomaa na kuitwa ufisadi. hatuhitaji kubadili
mfumo wa ufisadi bali kuacha kuwavumilia mafisadi (kosa
lililotendwa na CCM). Tukisha jisafisha na ufisadi (ulio
ndani ya mafisadi) tutaanza kujenga mifumo. Agenda ya CDM ni
kupambana na ufisadi kama njia ya kusafisha ARDHI uweze
kulima. CCM wamejua muda kumbe. Ufisadi ulistawishwa na
mtandao uliotupatia rais 2005. Sasa CCM imeanza kwa muukataa
mtandao huo kuendelea kuliongoza taifa ndiyo maana kinyume
na matakwa ya wenye nguvu Lowasa na Membe wakatupwa (na kama
Vladmil Putin) akaibuka Dr. magufuli. Tukiwa tunatarajia na
kinara wa mabadiliko (CDM) kuendelea kuongoza mabadiliko kwa
kumleta wengi tuliyemtarajia (Dr. Slaa) tunashangaa (CDM)
inaibuka na wale iliokuwa
inawashambulia kwa sababu zilizopo hapo juu. Mtu wa kawaida
kama mimi unawaza nini kinachokuja? CCM licha ya kuvumilia
ouzo wa ufisadi mpaka ikaishia kupoteza popularity yake
itakaa kimya kuona ufisadi unahama na kuendelea kuliongoza
taifa tena nje ya CCM?? taifa hili ni letu wote. Ni la vyama
vyote. Nyerere aliwahi kusema 'Huwezi kuwa Mkatoliki kuliko
baba Mtakatifu' kwa neno hilo "Huwezi kulipenda taifa hili
kuliko CCM. Nina maana kipindi hiki CCM imelitelekeza taifa
kwa faida yake yenyewe. Je sasa itakuwa tayari kulitelekeza
kwa manufaa ya ufisadi. Hata Wazimbabwe hawakukubali na hata
wangekubali ZanuPF isingekubali. naomba kutafsiliwa vizuri.
Sijasema CCM haiwezi kukabidhi madaraka kwa CDM. Nina maana
haiwezi kukabidhi kwa UFISADI hasa ulio nje yake.
Nimekufuru????
--------------------------------------------
On Fri, 7/31/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE
RADHI
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, July 31, 2015, 11:30 AM

Ufisadi ni
sehemu ya mfumo huo wa utawala. Kwa hiyo basi ufisadi
unaweza kujengwa kwenye hiyo mifumo ya kiutawala, Kama
ulivyoitaja hapo Muhingo. Lakini la pili mimi sijui kama
kulikua na hayo majizi ya richmond kwa nini hadi leo
hakuna
aliyefikishwa mahakamani kwa ajili ya ufisadi huo. Sasa
basi
kumwita Lowasa fisadi si sahihi, kilichopo ni shutuma,
ambazo amezijibu kwa ufasaha. Kwa nini tusiende kuwauuliza
hao wakubwa aliosema walitoa maagizo mkataba wa Richmond,
tunaendelea kumsakama Lowasa. He has
arleady threw the ball..Sasa kama
hiyo richmond ni ufisadi na hao walioitwa mafisadi
hawajachuliwa hatua yeyote, basi ufisadi ni sehemu ya huo
mfumo wa utawala. Mimi huu ndio uelewa wangu wa hili
swala.bado
nasema haitatusaidia sana kuendelea kumshambulia lowasa,
kama lengo letu ni kubadili mfumo huo wa kiutawala unaleta
ufisadi na madhila mengine kama kukataa katiba ya wananchi
ambayo ilikua na mazuri mengi ya kupinga huo
ufisadi. AhsanteJohn
 



     On Friday, July 31,
2015 1:22 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

   

  Agenda kuu peoples
power sadi. Unasema ufisadi uko CCM Lakini mafisadi
wanahamia Peoplespower. kazi yao ya kwanza ni kuwaambia
tusijadili ufisadi. Na wewe unakubali. Yaani gari letu ni
bovu. Wakati wa kuondoka umefika. Tusijicheleweshe
kuangalia
kama limetengenezwa tuwashe tu tuondoke. Hii ni nini?
Narudia maneno yako UFISADI uko CCM. lakini wale peopless
iliowaita mafisadi wako CDM Ufisadi umebaki CCM
kweli?????
--------------------------------------------
On Fri, 7/31/15, 'Lesian Mollel' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

  Subject: Re:
[wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Friday, July 31, 2015, 1:54 AM
 
  I mean kwa sasa mzee muhingo
hatuna
  mda huo wa kuanza kudiscuss ufisadi
na nani
  kahusika'waliohusika wako ccm
bhaaas
  Nimesma nikarudia mara mia hata
wenzangu wamekuambia acha
  kudiscuss
hizo'vaa ngwada sema peeeeoooples...vite for us
  for change bhaaas
  Lesian
 
  'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 

>Mollel
  >somavizur kilichoandkwa
halafu ongelea ndqani ya track
  najua uliko
(nilikuwako) tena najua niliko (hujafika)

Jitahidi kwenda na mantiki. Utaelewa kinachoongelewa.
  Nimejadili maana ya mfumo na maana ya ufisadi
nakudhani kuwa
  ufisadi sio mfumo-Hilo
tu-Lijibu au liache twende mbele.

Hukumuelewa John alipokusaidia usijitukane kwa kutumia
  maneno yasiyochangia mada. Ona hata muundo na
muumbo wa
  maneno

>--------------------------------------------
  >On Fri, 7/31/15, 'Lesian Mollel'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
  >

> Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI
  TUMUOMBE RADHI
  > To: wanabidii@googlegroups.com
  > Date: Friday, July 31, 2015, 1:36 AM
  >
  > Elisa wee mtu
mzima badilika
  > Richmlnd haimuhusu
lowasa hata toneeeee mzeee heh
  > Wee
chuki uliojijengea kwa lowasa ni za bure utaingia
  > jehanam kwa kujilazimisha,umei tune akili
yako
  kutokukubali
  >
tuuuuu,kuendelea kua conservative with no

logic....richmond
  > omba pr confr
kamuulize jk sku anatua airport toka

aliko
  > Cc utatukuta mbele kwa mbele
tukiwaumiza wana ccm na
  mfumo
  > wao mbovu,nakushaur acha tabia yako ya
kuaattack watu
  attack
  >
parties,usikomae na jambo moja lisilo na maslah ya
  kitaifa
  > kwa sasa tuko
busy tunapogania maslahi ya kitaifa wewe

> unadiscuss watu....ooh richmond,ooh mafisadi or
lowasa
  > kaingia cdm

> Talk of what should we do to overthrow ccm bhaaas
ndo
  habar
  > ya mujini
mzeeee
  > Lesian
  >

  > 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
  > wrote:
  >
  > >Hii ndugu zangu naomba kuiza. Ufisadi
ni mfumo?
  Mfumo
  > gani.
Kuna mifumo ya utawala au siasa kama ubepari,
  ujamaa
  > nakadhalika. Mimi
nilifikiri ufisadi ni vitendo vya
  jinai
  > ambavyo vinaweza kukua kutegemeana na
watu kuona aibu
  > kuvikosoa. au watu
kuogopa kuwakosoa mafisadi.
  nafikiri
  > ufisadi ni vitendo ambavyo mtu anaweza
kufanya jambo
  > litakalowatia hasara
waliowengi ili yeye afaidike.
  Mfano wa
  > mkataba wa Richmond ambamo watu
walipitisha mkataba
  ambamo

> wat majizi wanalipwa capacity charges kubwa bila
sababu
  za
  > msingi na
mapato hayo wanayatumia kununua uongozi.

> >Mimi nahitaji maelezo ili twende wote. Kama
  maelezo
  > yangu ni sahihi
kuhusu ufisadi basi dawa ni kuwaondoa
  >
mafisadi wala si mfumo tena na wanaweza kuwa popote
  kwa
  > sababu watahama kama
wamasai kufuata malisho.
  >
>Nisaidieni hapo
  >
>--------------------------------------------
  > >On Thu, 7/30/15, 'john
msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  > wrote:
  > >
  > > Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA
LOWASSA
  FISADI
  >
TUMUOMBE RADHI
  > > To: "wanabidii@googlegroups.com"
  > <wanabidii@googlegroups.com>
  > > Date: Thursday, July 30, 2015, 4:06
PM
  > >
  > >
Telesphor,Umeongea
  > > kitu cha
msingi sana, ambacho na mimi ndio

mtazamo
  > wangu.
  >
> Haitatusaidia
  > > sana
kuwajadili watu, nani fisadi? nani sio

fisadi. La
  > > msingi ni kuujadili na
kuubadilsha huo mfumo
  unaoleta
  > hao
  > > mafisadi.
Kama huo mfumo uko UKAWA au CCM, kila

mtu
  > anajua.
  > >
John
  > >   
  >
>
  > >
  >
>      On Thursday, July
  > >
30, 2015 2:52 PM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
  > > wrote:
  > > 
   
  > >
  >
>  Kwa sasa hakuna haja ya
  > >
kuzungumzia mtu/watu bali kubadilisha/kuboresha
  mfumo
  > wa
  > > utawala tu na kilichofanyika ndani
ya Chadema au
  Ukawa
  >
> kinaonyesha mwelekeo huu.
  > >

  > > 2015-07-30 15:07
  > > GMT+03:00 emmbaga <emmbaga@hotmail.com>:
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
Nimefarijika sana kusoma habari , Dr. Slaa

amekataa
  > > usanii huo na  amejitoa
rasmi Chadema. subiri
  > utasikia
  > > zaidi. na narudia tena maana naona
huelewi.
  Ufidadi wa
  >
> Richmond ni kitu kidogo mno ktk ufisadi wa mtu
  wenu
  >  na
  > > wala haukufanikiwa (
siuliumbuliwa
  > >  na  kamati)
nazungumzia wa tangu enzi za
  Nyerere
  > na
  > > ambao ndio
unampa kiburi ya fwedha  anazowanunua

watu
  > > sampuli enu. anaweza asiwape
Cash wengine wenu lkn
  kwa

> > kutumia taaluma ake a usanii  kupitia Media,
  > > Makanisa,Misikiti...... ndio
ninaozungumzia.
  amepata

> >  wapi mihela yote hio akiwa mtumishi wa Umaaa.
  > hebu
  > >
tufafanulie hapo. mabadiliko sio kumtumia

mtuhumiwa
  > kuyaleta

> > sababu tu ana wafuasi wengi kama unavyodhani na
  > anavyotaka
  > >
tuamini. haya  akisha upata Urais??.Jisikieni
  aibu
  > > kutetea
uozo.
  > > "Hongera Dr .W.
Slaa"
  > >
  >
>
  > >
  > >
hawa vibaraka waliobaki tutapambana nao kwa uwezo
  wa
  > > Mungu.
  > >  ernest
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > Sent from
  > >
Samsung mobile
  > >

> >
  > >
  >
> 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  > > wrote:
  > >

  > >
  > >
  > > Ernest, -time will tell kama
  > > ulivyosema.
  >
>  Mungu atatuonesha adui yetu ni nani.

> >
  > > kuna mambo mawili 
tuyaweke sawa
  > > hapa.La
kwanza mtandao ulikuwepo ccm, huo ni

mfumo
  > > uliotumika kufanikisha
ushindi uchaguzi kipindi
  hiko.
  > > Anayehamia CDM si

> >  mtandao ni Lowasa. Watakaomuunga mkono kuhama
  nae
  > sio wana
  > > mtandao. Ni watu wanaoamini katika
utendaji wake
  na
  > >
ambao wako tayari kwa mageuzi ya kimfumo wa

kiutawala.
  > Maana
  >
> mageuzi hayo ndiyo yatatuletea maendeleo.
  > > Jambo la pili, ni lazima
kuutazama
  > > ufisadi kama ni mfumo
uliojengeka kwenye ccm. Sio
  > tatizo
la
  > > mtu mmoja. Wewe unafahamu
kwamba Mkapa aliingia
  > akiitwa
  > > mr clean, lakini kilichotokea
tulikiona,
  > > sababu ya
huo mfumo. Hili somo ni rahisi kama
  >
> ukiwa tayari kujifunza. lakini usipokubali
  kupanua
  > mtazamo
  > > wako itakua ngumu. Lakini pia Huyo
lowasa ameongea
  na
  >
> amésema hiyo habari ya richmond ni agizo la
  > > 'wakubwa'.

> >  Sasa hamisheni kesi yenu kwa hao wakubwa
kuliko
  > kuendelea
  >
> kumsimanga mtu asiye na kosa. Mnaogopa?
  > >
  > >
  > >
  > > 'in
the war between falsehood
  > > and
truth, falsehood wins the first battle and

truth
  > the
  > >
last'  (anaglizo
  > > huu si
usemi wangu sikumbuki chanzo
  > >
nilichoutoa.)
  > >

> >
  > >
  >
> John
  > >
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > On
Thursday, July
  > > 30, 2015 12:34 PM,
Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
  > > wrote:
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > Ngugu
John ee !!
  > >
  >
> huo  usafi  wa  Kikwete 
  > >
unauzungumza  wewe,  alafu  unajaribu 

> > kufanya  taasisis  ya  Urais  kama 
  > > ya  kikundi  fulani  hivi 
eti 
  > > kama  alimweka  kua 
waziri  mkuu 
  > > kwani  hakujua 
ni  fisadi.
  > >

> >
  > >
  >
> unafahamu  kuhusu  CCM  mtandao?? 

> > ambao  ulifanya mapinduzi  baridi  2005 
  > > na kumwingiza Kikwete.  na  huo 
ndio
  > > ulijaribu tena 
kumwingiza  huyu  mtu 
  > > wenu
Lowassa kwa  njia  zilezile,  sasa
  >
> imeshindikana  ,  amepata  mwanya 

> > wa  walafi  wengine   eti  apitie 
  > >  CDM   mradi tu  awe 
rais, 
  > > na  mtandao  wake 
uendeleee 
  > > kutawala  nchi 
ukiongeza  na  wapya
  > > toka 
CDM  doo!!!  mnataka 
  > >
wafanya  watanzania  milioni  zaidi  ya

> > 45   mali yenu  au  mazezeta?? 
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > binafsi 
  > >
sikuwahi  kupiga  kura  kumchagua 
  >
> Kikwetea.  na  hii ni  sababu 

> > jinsi  alivyoupata  urai  kupitia 
  > > Mtandao.  safari  hii 
nampongeza 
  > > kwa  kutusaidia 
ku- block  Mtandao 
  > > usiteke
tena  nchi, kupitia CCM
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > sasa  wanajaribu 

> > kupitia   CDM  ambao   nao

> > wametushtua na kutushangaza , hee!!  kumbe 
  yote
  > > ilikua 
ghilia  tu , hata  fisadi 
  > >
kwao  ni  mali  mradi  aje  na
  >
> wafuasi  kuongeza  kura. nitamshangaa 
  > > mno  Dr. Slaa  akibaki  huko 
  > >  , naamini  pia   wengi  wa
  > > waelewa  ktk chama  hicho  CDM
hawatakubali.
  > >

> >
  > >
  >
>
  > > najua  mtapata 
  > > watu  wachache waliokua  mtandao 
kuhamia
  > > CDM  kuendeleza 
usanii  wake  kua 
  > > anakubalika
na  wananchi  na  hata 
  > >
atapokelewa  kwa shangwe hasa akienda 

> > Arusha  ambao  wengi  ni wafuasi wa CDM
  > > .
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >   lakini 
  >
> watanzania  makini  na  wanaoipenda 
  > > nchi  yao wakisaidiwa  na 
mwenyezi 
  > > Mungu,hawata kubali 
ghiliba  hizo, 
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > tuna
taka  mtu 
  > > safi  asie  na 
kashfa kama zake  na
  > > wako 
wengi  tu, huyo  wenu  kaeni 
  > >
nae  mkimshangilia  lakini  uraisi 

> > atausikia  kwa TB  jushua alikokimbiliaga 
  > > nanyi  wapambe   mtabaki  na 
aibu 
  > > yenu  tu.
  > >
  > >
  > >
  > >
"time  will
  > > tell"
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
Ernest
  > >
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > 2015-07-30 11:59 GMT+03:00 'john
msinde' via
  > > Wanabidii
  > > <wanabidii@googlegroups.com>:
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > Ila pia huyo mtu
safi aliyeambiwa
  > > mda wake
haujafika badae alimteua kuwa waziri

mkuu
  > huyo
  > >
aliyeambiwa fisadi. Sasa leo nongwa inatoka wapi?.
  huu
  > sio

> > unafiki? Tubadilishe mitazamo yetu na kufikiri
  kwa
  > upana
  > > zaidi. Hapo ndipo tutaujua
ukweli.
  > > John

> >
  > >
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > On Thursday, July

> > 30, 2015 8:06 AM, emmbaga <emmbaga@hotmail.com>
  > > wrote:
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake
  bado.
  > > lakini
alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe

labda
  > > angejitetea kipindi kile
tungemwelewa labda lkin
  sasa
  > > anatumia advantage ya Baba wa Taifa
hatunae
  tena!!!  
  >
> mizimu itazungumza.
  > >
Ernest
  > >
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > Sent
from
  > > Samsung mobile
  > >
  > >
  > >
  > >
fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  > > wrote:
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
Ernest
  > >
  >
>
  > >
  > >
Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona
  > mlimtakasa
  > >
Kikwete mnamkataa Lowassa?
  > >
  > >
  > >
  > > Fatma
  > >
  > > Sent from my BlackBerry® smartphone
provided by
  > Airtel

> > Tanzania.
  > >
  > > From: Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
  > >
  > > Sender:
wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > > Date:
Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000
  > >
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
  > > ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > > Subject:
RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA
  >
> FISADI TUMUOMBE RADHI
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > Tuache  unafiki,  Baba  wa 
  > > taifa  alimkataa  Lowassa  
hata 
  > > mambo  ya  Richmond 
hayakuwepo, 
  > > nae  Lowassa 
hajawahi  kanusha
  > > chochote 
alichosema  baba  wa  
  > >
taifa  marehemu Mwalimu Julius  Nyerere,  
  > > leo  hii  we  Mama  unasema 
  > >  aombwe  radhi  !!!! duuu 
kweli 
  > > hizi  njaa   
zinapoteza 
  > > hata  utu  wa 
mtu. 
  > >
  >
>
  > >
  > >
ernest
  > >
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > > Date:
Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000
  > >

  > > From: wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > > To: wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > > Subject:
Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA

FISADI
  > TUMUOMBE
  >
> RADHI
  > >
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > > Kila anayetubu kwa dhati
husamehewa
  > > Nkya. Lakini uwe
mwangalifu na siasa. Umesikiliza
  >
upande
  > > mmoja tu kwamba EL alipewa
amri ya simu, kutoka
  juu,

> kupitia
  > > kwa Katibu Mkuu
kwamba mkataba usivunjwe. Haingii
  >
akilini
  > > katika taratibu za
utawala
  > >  kupokea maagizo na
kutekeleza katika mtiririko
  > huu!
Agizo
  > > haliendi hivyo, na mimi
binafsi siwezi kutekeleza
  agizo
  > la
  > > jinsi hii.
Je anayesemekana alitoa agizo akisema
  >
hajawahi
  > > kupiga simu kuzuia
kuvunja mkataba? Na hii
  inawezekana
  > sana
  > > katika
hali ya mambo
  > >  sasa hivi -
kurukana! Nani atakuwa mkweli? Ni
  >
kupakana
  > > matope, tupate upande
mwingine wa shilingi, kwamba
  ni
  > kweli
  > > lilikuwa
agizo? Kwa nini EL haku test authenticity

ya
  > agizo
  > >
hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya

subordinate
  > > wako? 
  > >
  > >
  > >
  > >
Please
  > >
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > From: 'ananilea

> > nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  > >
  > > To:
  > > mabadilikotanzania@googlegroups.com
  >
  > >
  > > Cc: WANA BIDII
  >
> <wanabidii@googlegroups.com>
  > >
  > >
  > > Sent:
  > >
Wednesday, July 29, 2015 4:43 PM
  > >

  > > Subject:
  >
> [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE
  RADHI
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
Nimemsikiliza Edward  Lowassa  kwenye you tube
  > > tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa
maswali na
  > wanahabari

> > kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa
  Waziri
  > Mkuu
  > > miaka minane iliyopita. Kulingana
na  majibu
  > aliyoyatoa
  > > hata mimi kama mwanahabari
niliwahi
  > >  kumwita fisadi kwa
sababu ya  kashfa hiyo.
  > Lakini
  > > kulingana na maelezo aliyoyatoa
ninakiri
  nilifanya
  >
dhambi
  > > maana kumsingizia mtu
uongo ni dhambi na binafsi
  baada
  > ya
  > > kusikia
upande wake mimi kwa upande wangu

namuomba
  > radhi.
  >
>
  > >  
  >
>
  > > Kumbe kinara wa  kashfa ya
Richmond alikuwa bosi
  > wake.
  > > Lo!  Sasa inaingia akilini ni kwa
nini TOR za
  > Mwakyembe

> > hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa
  kashfa ya
  > > Richmond
ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu

Lowassa
  > > alijiuzulu kuinusuru
serikali nzima  isianguke.
  > > 
Mungu mwema miaka minane  baadaye ukweli

kamili
  > wa
  > >
Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli
  > Lowassa,
  > > Mungu
atakupigania kwa sababu ni wewe  na Mzee

Mwinyi
  > > peke yenu mna rekodi ya
kujiuzulu kuonyesha
  > uwajibikaji
  > > kutokana na nafasi zenu na siyo
kosa
  > >  mlilolitenda  ninyi
wenyewe. Viongozi wengine
  > mpaka
  > > umma upige kelele sana ndipo
wajibaraguze
  kujiuzulu

> mfano
  > > kashfa ya escrow 2014.
Sasa ninaelewa ni kwa nini
  > baadhi
ya
  > > watu wana hofu baada ya
LOwassa  kukubaliwa na
  UKAWA
  > > kuwa mgombea Urais.

> >
  > >
  >
>
  > > Namshukuru sana
aliyetuwekea hii you-tube huku
  >
jukwaani
  > > maana baadhi yetu ambao
hatuko site tungeweza
  > kuendelea
  > > kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia
habari nusu
  nusu
  > >
tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya

Richmond.
  > >
  >
>
  > >
  > >
Ananilea Nkya
  > >

> >
  > >
  >
>  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
  > >
  > >
  > >
  > > --
  > >
  > > Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  > Utapata
  > > Email
ya kudhibitisha ukishatuma
  > >
  > >
  > >
  > > Disclaimer:
  >
>
  > > Everyone posting to this
Forum bears the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to
  > >  abide by our Rules and
Guidelines.
  > >

> > ---
  > >

> > You received this message because you are
  subscribed to
  > the
  > > Google Groups "Wanabidii"
group.
  > >
  >
> To unsubscribe from this group and stop receiving
  > > emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  > >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > --
  > >
  > > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  > > Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  > >
  >
>  
  > >
  >
> Disclaimer:
  > >
  > > Everyone posting to this Forum bears
the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to
  > >  abide by our Rules and
Guidelines.
  > >

> > ---
  > >

> > You received this message because you are
  subscribed to
  > the
  > > Google Groups "Wanabidii"
group.
  > >
  >
> To unsubscribe from this group and stop receiving
  > > emails from it, send an email to
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  > >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > > --
  > >
  > > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  > > Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  > >
  >
>  
  > >
  >
> Disclaimer:
  > >
  > > Everyone posting to this Forum bears
the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to
  > >  abide by our Rules and
Guidelines.
  > >

> > ---
  > >

> > You received this message because you are
  subscribed to
  > the
  > > Google Groups "Wanabidii"
group.
  > >
  >
> To unsubscribe from this group and stop receiving
  > > emails from it, send an email to
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  > >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  > >
--
  > >
  > >
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  > > Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  > >
  >
>  
  > >
  >
> Disclaimer:
  > >
  > > Everyone posting to this Forum bears
the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to
  > >  abide by our Rules and
Guidelines.
  > >

> > ---
  > >

> > You received this message because you are
  subscribed to
  > the
  > > Google Groups "Wanabidii"
group.
  > >
  >
> To unsubscribe from this group and stop receiving
  > > emails from it, send an email to
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  > >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > > --
  > >
  > > Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  > > Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  > >
  >
>  
  > >
  >
> Disclaimer:
  > >
  > > Everyone posting to this Forum bears
the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to
  > >  abide by our Rules and
Guidelines.
  > >

> > ---
  > >

> > You received this message because you are
  subscribed to
  > the
  > > Google Groups "Wanabidii"
group.
  > >
  >
> To unsubscribe from this group and stop receiving
  > > emails from it, send an email to
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  > >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > --
  > >
  > > Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  > > Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  > >
  >
>  
  > >
  >
> Disclaimer:
  > >
  > > Everyone posting to this Forum bears
the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to
  > >  abide by our Rules and
Guidelines.
  > >

> > ---
  > >

> > You received this message because you are
  subscribed to
  > the
  > > Google Groups "Wanabidii"
group.
  > >
  >
> To unsubscribe from this group and stop receiving
  > emails
  > > from
it, send an email to
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  > >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > --
  > >
  > > Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  > > Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  > >
  >
>  
  > >
  >
> Disclaimer:
  > >
  > > Everyone posting to this Forum bears
the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to
  > >  abide by our Rules and
Guidelines.
  > >

> > ---
  > >

> > You received this message because you are
  subscribed to
  > the
  > > Google Groups "Wanabidii"
group.
  > >
  >
> To unsubscribe from this group and stop receiving
  > emails
  > > from
it, send an email to
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  > >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > > --
  > >
  > > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  > > Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  > >
  >
>  
  > >
  >
> Disclaimer:
  > >
  > > Everyone posting to this Forum bears
the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to
  > >  abide by our Rules and
Guidelines.
  > >

> > ---
  > >

> > You received this message because you are
  subscribed to
  > the
  > > Google Groups "Wanabidii"
group.
  > >
  >
> To unsubscribe from this group and stop receiving
  > emails
  > > from
it, send an email to
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  > >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > >
  > > --
  > >
  > > Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  > > Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  > >
  >
>  
  > >
  >
> Disclaimer:
  > >
  > > Everyone posting to this Forum bears
the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to
  > >  abide by our Rules and
Guidelines.
  > >

> > ---
  > >

> > You received this message because you are
  subscribed to
  > the
  > > Google Groups "Wanabidii"
group.
  > >
  >
> To unsubscribe from this group and stop receiving
  > emails
  > > from
it, send an email to
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > >
  > > --
  > >
  > > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  > >  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  > >
  >
>  
  > >
  >
> Disclaimer:
  > >
  > > Everyone posting to this Forum bears
the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
  > Guidelines.
  > >
  > > ---
  > >
  > > You
received this message because you are

subscribed to
  > the

> > Google Groups "Wanabidii" group.
  > >
  > > To
unsubscribe from this group and stop receiving
  > emails
  > > from
it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  > >

  > >
  > >
  > >
  > > --
  > >
  > > Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  > Utapata Email ya
  >
> kudhibitisha ukishatuma
  > >
  > >  
  > >
  > > Disclaimer:
  >
>
  > > Everyone posting to this
Forum bears the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
  > Guidelines.
  > >
  > > ---
  > >
  > > You
received this message because you are

subscribed to
  > the

> > Google Groups "Wanabidii" group.
  > >
  > > To
unsubscribe from this group and stop receiving
  > emails
  > > from
it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  >
>     
  > >

> >
  > >
  >
> --
  > >
  >
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >  
  > >
  > >
Kujiondoa Tuma Email kwenda
  > >
  > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  > Utapata Email ya
  >
> kudhibitisha ukishatuma
  > >
  > >  
  > >
  > > Disclaimer:
  >
>
  > > Everyone posting to this
Forum bears the sole
  > responsibility
  > > for any legal consequences of his or
her postings,
  and
  >
hence
  > > statements and facts must
be presented
  responsibly.

> Your
  > > continued membership
signifies that you agree to
  this
  > > disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
  > Guidelines.
  > >
  > > ---
  > >
  > > You
received this message because you are

subscribed to
  > the

> > Google Groups "Wanabidii" group.
  > >
  > > To
unsubscribe from this group and stop receiving
  > emails
  > > from
it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >
  > > For more
options, visit
  >
https://groups.google.com/d/optout.
  >
>
  > >
  >
>--
  > >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
  > >
  > >Kujiondoa
Tuma Email kwenda
  > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  > Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  > >
  >
>Disclaimer:
  > >Everyone posting
to this Forum bears the sole
  >
responsibility for any legal consequences of his or
  her
  > postings, and hence
statements and facts must be
  presented
  > responsibly. Your continued membership
signifies that
  you
  >
agree to this disclaimer and pledge to abide by our
  Rules
  > and Guidelines.
  > >---
  > >You
received this message because you are

subscribed to
  > the Google Groups
"Wanabidii" group.
  > >To
unsubscribe from this group and stop receiving
  emails
  > from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > >For more options, visit
  > https://groups.google.com/d/optout.
  >
  > --
  > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
  >
  > Kujiondoa Tuma
Email kwenda
  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  > Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
  >
  >
Disclaimer:
  > Everyone posting to this
Forum bears the sole
  responsibility
  > for any legal consequences of his or her
postings, and
  hence
  >
statements and facts must be presented responsibly.
  Your
  > continued
membership signifies that you agree to this

> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
  > ---
  > You received this message because you are
subscribed to
  the
  >
Google Groups "Wanabidii" group.

> To unsubscribe from this group and stop receiving
  emails
  > from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  > For more options, visit

> https://groups.google.com/d/optout.

>
  >--
  >Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
  >
  >Kujiondoa Tuma Email
kwenda
  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
  >
  >Disclaimer:
  >Everyone posting to this Forum bears the
sole
  responsibility for any legal
consequences of his or her
  postings, and
hence statements and facts must be presented
  responsibly. Your continued membership
signifies that you
  agree to this disclaimer
and pledge to abide by our Rules
  and
Guidelines.
  >---

>You received this message because you are subscribed
to
  the Google Groups "Wanabidii"
group.
  >To unsubscribe from this group
and stop receiving emails
  from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  >For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.
 
  --
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message because you are
subscribed to the
  Google Groups
"Wanabidii" group.
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

     


--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment