Thursday 30 July 2015

Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Ufisadi unakuwa mfumo pale wale ambao tuliwategemea kusimamia sheria na utekelezaji wa kupambana na ufisadi wanapogeuka kuwa mafisadi. Mkuu wa traffic akiwaambia polisi leo lazima mniletee laki mbili ufisadi unakuwa mfumo.
em

Sent from my iPhone

> On Jul 30, 2015, at 4:58 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Hii ndugu zangu naomba kuiza. Ufisadi ni mfumo? Mfumo gani. Kuna mifumo ya utawala au siasa kama ubepari, ujamaa nakadhalika. Mimi nilifikiri ufisadi ni vitendo vya jinai ambavyo vinaweza kukua kutegemeana na watu kuona aibu kuvikosoa. au watu kuogopa kuwakosoa mafisadi. nafikiri ufisadi ni vitendo ambavyo mtu anaweza kufanya jambo litakalowatia hasara waliowengi ili yeye afaidike. Mfano wa mkataba wa Richmond ambamo watu walipitisha mkataba ambamo wat majizi wanalipwa capacity charges kubwa bila sababu za msingi na mapato hayo wanayatumia kununua uongozi.
> Mimi nahitaji maelezo ili twende wote. Kama maelezo yangu ni sahihi kuhusu ufisadi basi dawa ni kuwaondoa mafisadi wala si mfumo tena na wanaweza kuwa popote kwa sababu watahama kama wamasai kufuata malisho.
> Nisaidieni hapo
> --------------------------------------------
> On Thu, 7/30/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, July 30, 2015, 4:06 PM
>
> Telesphor,Umeongea
> kitu cha msingi sana, ambacho na mimi ndio mtazamo wangu.
> Haitatusaidia
> sana kuwajadili watu, nani fisadi? nani sio fisadi. La
> msingi ni kuujadili na kuubadilsha huo mfumo unaoleta hao
> mafisadi. Kama huo mfumo uko UKAWA au CCM, kila mtu anajua.
> John
>
>
>
> On Thursday, July
> 30, 2015 2:52 PM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
> wrote:
>
>
> Kwa sasa hakuna haja ya
> kuzungumzia mtu/watu bali kubadilisha/kuboresha mfumo wa
> utawala tu na kilichofanyika ndani ya Chadema au Ukawa
> kinaonyesha mwelekeo huu.
>
> 2015-07-30 15:07
> GMT+03:00 emmbaga <emmbaga@hotmail.com>:
>
>
>
>
>
> Nimefarijika sana kusoma habari , Dr. Slaa amekataa
> usanii huo na amejitoa rasmi Chadema. subiri utasikia
> zaidi. na narudia tena maana naona huelewi. Ufidadi wa
> Richmond ni kitu kidogo mno ktk ufisadi wa mtu wenu na
> wala haukufanikiwa ( siuliumbuliwa
> na kamati) nazungumzia wa tangu enzi za Nyerere na
> ambao ndio unampa kiburi ya fwedha anazowanunua watu
> sampuli enu. anaweza asiwape Cash wengine wenu lkn kwa
> kutumia taaluma ake a usanii kupitia Media,
> Makanisa,Misikiti...... ndio ninaozungumzia. amepata
> wapi mihela yote hio akiwa mtumishi wa Umaaa. hebu
> tufafanulie hapo. mabadiliko sio kumtumia mtuhumiwa kuyaleta
> sababu tu ana wafuasi wengi kama unavyodhani na anavyotaka
> tuamini. haya akisha upata Urais??.Jisikieni aibu
> kutetea uozo.
> "Hongera Dr .W. Slaa"
>
>
>
> hawa vibaraka waliobaki tutapambana nao kwa uwezo wa
> Mungu.
> ernest
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Sent from
> Samsung mobile
>
>
>
> 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> Ernest, -time will tell kama
> ulivyosema.
> Mungu atatuonesha adui yetu ni nani.
>
> kuna mambo mawili tuyaweke sawa
> hapa.La kwanza mtandao ulikuwepo ccm, huo ni mfumo
> uliotumika kufanikisha ushindi uchaguzi kipindi hiko.
> Anayehamia CDM si
> mtandao ni Lowasa. Watakaomuunga mkono kuhama nae sio wana
> mtandao. Ni watu wanaoamini katika utendaji wake na
> ambao wako tayari kwa mageuzi ya kimfumo wa kiutawala. Maana
> mageuzi hayo ndiyo yatatuletea maendeleo.
> Jambo la pili, ni lazima kuutazama
> ufisadi kama ni mfumo uliojengeka kwenye ccm. Sio tatizo la
> mtu mmoja. Wewe unafahamu kwamba Mkapa aliingia akiitwa
> mr clean, lakini kilichotokea tulikiona,
> sababu ya huo mfumo. Hili somo ni rahisi kama
> ukiwa tayari kujifunza. lakini usipokubali kupanua mtazamo
> wako itakua ngumu. Lakini pia Huyo lowasa ameongea na
> amésema hiyo habari ya richmond ni agizo la
> 'wakubwa'.
> Sasa hamisheni kesi yenu kwa hao wakubwa kuliko kuendelea
> kumsimanga mtu asiye na kosa. Mnaogopa?
>
>
>
> 'in the war between falsehood
> and truth, falsehood wins the first battle and truth the
> last' (anaglizo
> huu si usemi wangu sikumbuki chanzo
> nilichoutoa.)
>
>
>
> John
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> On Thursday, July
> 30, 2015 12:34 PM, Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Ngugu John ee !!
>
> huo usafi wa Kikwete
> unauzungumza wewe, alafu unajaribu
> kufanya taasisis ya Urais kama
> ya kikundi fulani hivi eti
> kama alimweka kua waziri mkuu
> kwani hakujua ni fisadi.
>
>
>
> unafahamu kuhusu CCM mtandao??
> ambao ulifanya mapinduzi baridi 2005
> na kumwingiza Kikwete. na huo ndio
> ulijaribu tena kumwingiza huyu mtu
> wenu Lowassa kwa njia zilezile, sasa
> imeshindikana , amepata mwanya
> wa walafi wengine eti apitie
> CDM mradi tu awe rais,
> na mtandao wake uendeleee
> kutawala nchi ukiongeza na wapya
> toka CDM doo!!! mnataka
> wafanya watanzania milioni zaidi ya
> 45 mali yenu au mazezeta??
>
>
>
>
> binafsi
> sikuwahi kupiga kura kumchagua
> Kikwetea. na hii ni sababu
> jinsi alivyoupata urai kupitia
> Mtandao. safari hii nampongeza
> kwa kutusaidia ku- block Mtandao
> usiteke tena nchi, kupitia CCM
>
>
>
>
>
> sasa wanajaribu
> kupitia CDM ambao nao
> wametushtua na kutushangaza , hee!! kumbe yote
> ilikua ghilia tu , hata fisadi
> kwao ni mali mradi aje na
> wafuasi kuongeza kura. nitamshangaa
> mno Dr. Slaa akibaki huko
> , naamini pia wengi wa
> waelewa ktk chama hicho CDM hawatakubali.
>
>
>
>
> najua mtapata
> watu wachache waliokua mtandao kuhamia
> CDM kuendeleza usanii wake kua
> anakubalika na wananchi na hata
> atapokelewa kwa shangwe hasa akienda
> Arusha ambao wengi ni wafuasi wa CDM
> .
>
>
>
>
>
> lakini
> watanzania makini na wanaoipenda
> nchi yao wakisaidiwa na mwenyezi
> Mungu,hawata kubali ghiliba hizo,
>
>
>
>
> tuna taka mtu
> safi asie na kashfa kama zake na
> wako wengi tu, huyo wenu kaeni
> nae mkimshangilia lakini uraisi
> atausikia kwa TB jushua alikokimbiliaga
> nanyi wapambe mtabaki na aibu
> yenu tu.
>
>
>
> "time will
> tell"
>
>
>
>
>
> Ernest
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> 2015-07-30 11:59 GMT+03:00 'john msinde' via
> Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>:
>
>
>
>
> Ila pia huyo mtu safi aliyeambiwa
> mda wake haujafika badae alimteua kuwa waziri mkuu huyo
> aliyeambiwa fisadi. Sasa leo nongwa inatoka wapi?. huu sio
> unafiki? Tubadilishe mitazamo yetu na kufikiri kwa upana
> zaidi. Hapo ndipo tutaujua ukweli.
> John
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> On Thursday, July
> 30, 2015 8:06 AM, emmbaga <emmbaga@hotmail.com>
> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake bado.
> lakini alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe labda
> angejitetea kipindi kile tungemwelewa labda lkin sasa
> anatumia advantage ya Baba wa Taifa hatunae tena!!!
> mizimu itazungumza.
> Ernest
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Sent from
> Samsung mobile
>
>
>
> fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>
>
>
> Ernest
>
>
>
> Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona mlimtakasa
> Kikwete mnamkataa Lowassa?
>
>
>
> Fatma
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
> Tanzania.
>
> From: Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>
> Date: Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000
> To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>
> Subject: RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA
> FISADI TUMUOMBE RADHI
>
>
>
>
>
>
>
> Tuache unafiki, Baba wa
> taifa alimkataa Lowassa hata
> mambo ya Richmond hayakuwepo,
> nae Lowassa hajawahi kanusha
> chochote alichosema baba wa
> taifa marehemu Mwalimu Julius Nyerere,
> leo hii we Mama unasema
> aombwe radhi !!!! duuu kweli
> hizi njaa zinapoteza
> hata utu wa mtu.
>
>
>
> ernest
>
>
>
>
>
>
>
> Date: Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000
>
> From: wanabidii@googlegroups.com
>
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE
> RADHI
>
>
>
>
>
>
>
>
> Kila anayetubu kwa dhati husamehewa
> Nkya. Lakini uwe mwangalifu na siasa. Umesikiliza upande
> mmoja tu kwamba EL alipewa amri ya simu, kutoka juu, kupitia
> kwa Katibu Mkuu kwamba mkataba usivunjwe. Haingii akilini
> katika taratibu za utawala
> kupokea maagizo na kutekeleza katika mtiririko huu! Agizo
> haliendi hivyo, na mimi binafsi siwezi kutekeleza agizo la
> jinsi hii. Je anayesemekana alitoa agizo akisema hajawahi
> kupiga simu kuzuia kuvunja mkataba? Na hii inawezekana sana
> katika hali ya mambo
> sasa hivi - kurukana! Nani atakuwa mkweli? Ni kupakana
> matope, tupate upande mwingine wa shilingi, kwamba ni kweli
> lilikuwa agizo? Kwa nini EL haku test authenticity ya agizo
> hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya subordinate
> wako?
>
>
>
> Please
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> From: 'ananilea
> nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
> To:
> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Cc: WANA BIDII
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
>
> Sent:
> Wednesday, July 29, 2015 4:43 PM
>
> Subject:
> [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Nimemsikiliza Edward Lowassa kwenye you tube
> tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa maswali na wanahabari
> kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu
> miaka minane iliyopita. Kulingana na majibu aliyoyatoa
> hata mimi kama mwanahabari niliwahi
> kumwita fisadi kwa sababu ya kashfa hiyo. Lakini
> kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri nilifanya dhambi
> maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya
> kusikia upande wake mimi kwa upande wangu namuomba radhi.
>
>
>
> Kumbe kinara wa kashfa ya Richmond alikuwa bosi wake.
> Lo! Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za Mwakyembe
> hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa kashfa ya
> Richmond ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu Lowassa
> alijiuzulu kuinusuru serikali nzima isianguke.
> Mungu mwema miaka minane baadaye ukweli kamili wa
> Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli Lowassa,
> Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe na Mzee Mwinyi
> peke yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji
> kutokana na nafasi zenu na siyo kosa
> mlilolitenda ninyi wenyewe. Viongozi wengine mpaka
> umma upige kelele sana ndipo wajibaraguze kujiuzulu mfano
> kashfa ya escrow 2014. Sasa ninaelewa ni kwa nini baadhi ya
> watu wana hofu baada ya LOwassa kukubaliwa na UKAWA
> kuwa mgombea Urais.
>
>
>
> Namshukuru sana aliyetuwekea hii you-tube huku jukwaani
> maana baadhi yetu ambao hatuko site tungeweza kuendelea
> kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia habari nusu nusu
> tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya Richmond.
>
>
>
> Ananilea Nkya
>
>
>
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata
> Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to
> abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to
> abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to

> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment