Wednesday 29 July 2015

Re: [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na mambo yafuatayo...

Elisa,
You are living in a dream world. Ukiamka Oktoba 25 itabidi uzinduke ukabiliane na ukweli. Mbowe is a master strategist.
em

Sent from my iPhone

> On Jul 29, 2015, at 6:20 AM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> CHADEMA ininusurika itakuwa chama kikubwa cha upinzani. Haiwezi tena kuvuka mstari huo. Acha maumivu ndani ya chama ila pia imewaumiza watanzania waliokiona kama chama tawala kitarajiwa. Kitendo cha kukiri kuwa hakikuwa na mgombea urais bali kilisubiri atakayetemwa na CCM basi watanzania watataka kuiona CHADEMA mpya isiyoongozwa na waliotamka upuuzi jana. Itapatikana wakijiuzulu au wakifukuzwa. Nimesema Ikinusulika. Uwezekano wa kupolomoka kama NCCR Mageuzi au TLP ni mkubwa. Wakiweza kubadili na kumpata mgombea urais wa ndani majeraha yatapungua.
> --------------------------------------------
> On Wed, 7/29/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na mambo yafuatayo...
> To: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, July 29, 2015, 9:53 AM
>
>
>
> CHADEMA lazima ijiandae
> kukabiliana na mambo yafuatayo...
>
>
> Hata kabla ya kuja kwa
> Lowasa ndani ya CHADEMA kulikuwa kumeanza
> kuonyesha dalili mbaya sana;
>
>
>
> Mosi, katika kura za maoni; kuna malalamiko mengi sana ya
> kujihusisha na rushwa
> kwa baadhi ya wagombea wa ubunge. Changamoto kubwa ni kwamba
> ushahidi wa rushwa
> ni mgumu mno kuuthibitisha. Ikumbukwe kuwa hata ndani ya CCM
> kulianza na
> minong'ono ya rushwa kutoka kwa watu wa kawaida lakini
> viongozi wakawa wanaziba
> masikio kwa pamba leo hii rushwa inakitesa chama cha
> mapinduzi.
>
>
>
> Pili, kuna baadhi ya makada waliotoka CCM na hata wale
> waliokuwepo ndani ya
> chama wamebadili kabisa njia ya ushindini, kwani kwa sasa
> njia wanayoiamini
> sana ni kutoa rushwa, wengi wao wameshinda kura za maoni
> ndani ya CHADEMA, na
> wengine ndani ya Chadema wanaamini katika ushindani wa hoja
> tu na si rushwa
> hawa ni wachache sana na nafasi yao kwa sasa ndani ya chama
> inafifia sana tena
> mno kwa sababu nguvu ya PESA kwa sasa ndani ya CHADEMA
> imeingia kwa kasi.
>
>
>
> Tatu, Hatari nyingine ninayoiona ndani ya chama ni kupenda
> mno vitu vya
> Uliberali kuliko vya Kijamaa. CHADEMA inaamini katika Mrengo
> wa kati yaani mazuri
> ya Ujamaaa na ya Uliberali. Mimi naona chama kimeegemea sana
> kwa sasa kwenye
> Uliberali wakati kimefika hapa kilimo leo kwa sababu ya
> kuegemea sana kwenye
> Ujamaa wa Kisasa. Bila kurudi kwenye Ujamaa wa kisasa naona
> hatari sana ndani
> ya chama.
>
>
>
> Nne, Ujio wa Lowasa una faida na hasara. Mosi, endapo kundi
> la Lowasa litaanza
> kuwanyang'anya makada wa CHADEMA nafasi walizonazo kwa
> kisingizio kuwa hawana
> hela za kufanya siasa ndani ya chama, kuna hatari sana ya
> CHADEMA kukabiliana
> na upinzani mkubwa ndani ya chama kuliko wakati wowote ule.
> Pili, Kuna kundi
> kubwa bado lina mini katika Dr. Slaa nalo linatakiwa baadae
> lipewe maelezo ya
> kutosha kabisa kuwa kwa nini Dr. Slaa asigombee URAIS.
> Hasara yake nayo iko
> kwenye kuaminisha Watanzania kuwa ni fisadi na kwa sasa
> kuwashawishi kuwa
> Lowasa si fisadi hili jambo litaitesa sana CHADEMA.
>
>
>
> Tano, shutuma za ufisadi kama silaha kubwa ya CHADEMA lazima
> wataalam wa siasa
> ndani ya chama wajiandae kuja na hoja zenye mashiko ili
> kuendeleza neno hili
> ambalo limeonekana kwa muda mrefu kama nguzo ya CHADEMA.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment