Friday 31 July 2015

[wanabidii] DAUDI MRINDOKO MGOMBEA UBUNGE MWENYE UMRI MDOGO JIMBO MOSHI MJINI ANA MVUTO MKUBWA




KUELEKEA KURA ZA MAONI ! DAUDI MRINDOKO KAJIELEZEA KATA ZOTE 21 JIMBO LA MOSHI MJINI

Katika kuelekea katika kura za maoni jimboni Moshi Mjini mgombea ubunge mwenye
umri mdogo kuliko wenzie jimboni Moshi Mjini kijana Daudi Mrindoko amekuwa kivutio
cha wananchi wengi jimboni humo,kijana huyo anatajwa kuwa ni pendekezo la wengi
amezungukwa na wagombea wenziwe ambao ni wafanyi biashara na matajiri ! lakini
wananchi wa Moshi Mjini wamekuwa wakivutiwa na Kijanana Daudi Mrindoko kutoka
jinsi alivyokuwa akijielezea kwa wananchi na kuwavuta walio wengi! Daudi Mrindoko
anafananishwa na Obama wa Moshi Mjini lakini katika siku mbili hizi amefananishwa
sawa na tumbaku aina ya ugoro inayowachachafya wagombea wengine wanao wania
ubunge wa jimbo la Moshi Mjini. katika kumalizia kujielezea amenukuliwa 
katika facebook akaunti yake kaandika:


"Napenda kuwashukuru nyote Kwenye Kata zote (21) za Jimbo la Moshi MJINI, Nimemaliza kujieleza Kata zote'Naombeni muniamini sitowaangusha ukinichagua!! DAUDI BABU MRINDOKO NAMBA (4) Mgombea Ubunge Jimbo la Moshi MJINI, 
www.facebook.com/mrindoko.mwidadi VIPAUMBELE:-UCHUMI, AFYA, ELIMU, HIFADHI YA JAMII (YATIMA NA WAZEE) "NURU MPYA YA MABADILIKO KATIKA UMMA WA JIMBO LA MOSHI MJINI

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment