Ndugu Kitila
Nilikusikiliza ukihojiwa na vyombo mbalimbali vya Habari ikiwemo BBC Swahili
Unachokiandika hapa ni tofauti na ulichokisema kule
Hii inaonesha una mixed feeling on the same topic
2015-07-31 10:58 GMT+03:00 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Dr Kitila umesahau milikuwa mmeshaota Lowasa angelikuja ACTwazalendo hata kabla hawajafikia kipindi cha kuchukua form za kuomba waiwakilishe CCM, nakumbuka Kiongozi wa chama chenu alisema watampokea Lowasa kama ata declare mali zake. Je angelifanya hivyo halikuwa chaguo lenu hata kabla ya CCM hawaja m- chuck? Waliompokea hilo halikuwa kipingamizi, kwanza kabisa nchini mwetu , kiongozi yeyote hajawahi kufanya hivyo, na kama wapo waliofanya hivyo, ni danganya toto, mali walizosema wanazo si za kweli, nyingi wamefunika ili waonekane wasafi.Kwa kwa hili wasukuma huwa wanamseno wa "Tulolele mbina kachile". Kwamba manju wanaposhindana usiwe na haraka ya kutoa uamuzi nani kashinda, subiri hadi ngoma itakapofika mwisho, ndipo utakuwa na chakuzungumza, nani alivutia watu wengi.On Friday, 31 July 2015, 7:47, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com> wrote:
This is what we call flip flopping or dithering au kwa Kiswahili rahisi UNAFIKI!--Eti vyama vya siasa siku hizi ni sehemu ya watu kutubu? Hii nayo anaunga mkono dada Nkya? Yaani dada nilijua ushabiki umekukaba lakini sikujua kama utashuka kwa kiwango hiki! Hata hivyo, lazima nikuhurumie angalau kidogo, lazima useme hivyo utafanyeje tena kwa sababu wewe ni moja ya watu mlioaminishwa kwamba hawa watu ni malaika na kila mtu asiyekubaliana nao ni shetani!! Mkakubali na kukumbatia kika upuuzi waliwaletea na kuutembeza barabarani. Lazima sasa mle matamishi yenu, hakuna namna!Hii itukumbushe kwamba Siasa za maji taka hazina mwisho mzuri. Watu badala kuhubiri sera mchana - usiku kutwa wanatukana watu na kujivika umalaika. Liwe fundisho kwetu sote. Chuki na siasa za maji taka mbaya. Nasi tunaojiita 'neutral' tujifunze kuona uzuri na ubaya wa pande zote. Haiwezekani ubaya ukawa sehemu A lakini ukihamia upande B ghafla unakuwa mzuri. Mantiki inakataa. Again, hakuna namna ya kulielezea hili zaidi ya UNAFIKI tu!So, nakubaliana kabisa na mtoa hoja kwamba ni uungwana tu kwa watu waliotembea barabarani nchi nzima kumtukana EL wakamuomba msamaha kabla hawajaanza tena kumtembeza barabarani kama mgombea.Vinginevyo mie napongeza ujasiri wa EL wa kushinda majaribu na kuhamia upinzani. Napongeza ujasiri wa CHADEMA wa kuwa na roho ngumu na kutoa uso wa soni. Nampongeza JK kwa ujasiri wake wa kukata jina la EL kibabe na kichuki, jambo ambalo litaisaidia Tanzania kuwa na ushindani wa kweli wa kisiasa katika mfumo wa vyama vingi.Kila jambo lina upande wake mwema.Kitila2015-07-29 9:04 GMT+03:00 emmbaga <emmbaga@hotmail.com>:--Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake bado. lakini alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe labda angejitetea kipindi kile tungemwelewa labda lkin sasa anatumia advantage ya Baba wa Taifa hatunae tena!!! mizimu itazungumza.Ernest
Sent from Samsung mobile
fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ernest
Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona mlimtakasa Kikwete mnamkataa Lowassa?
Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
From: Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
Tuache unafiki, Baba wa taifa alimkataa Lowassa hata mambo ya Richmond hayakuwepo, nae Lowassa hajawahi kanusha chochote alichosema baba wa taifa marehemu Mwalimu Julius Nyerere, leo hii we Mama unasema aombwe radhi !!!! duuu kweli hizi njaa zinapoteza hata utu wa mtu.--
ernest
Date: Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
Kila anayetubu kwa dhati husamehewa Nkya. Lakini uwe mwangalifu na siasa. Umesikiliza upande mmoja tu kwamba EL alipewa amri ya simu, kutoka juu, kupitia kwa Katibu Mkuu kwamba mkataba usivunjwe. Haingii akilini katika taratibu za utawala kupokea maagizo na kutekeleza katika mtiririko huu! Agizo haliendi hivyo, na mimi binafsi siwezi kutekeleza agizo la jinsi hii. Je anayesemekana alitoa agizo akisema hajawahi kupiga simu kuzuia kuvunja mkataba? Na hii inawezekana sana katika hali ya mambo sasa hivi - kurukana! Nani atakuwa mkweli? Ni kupakana matope, tupate upande mwingine wa shilingi, kwamba ni kweli lilikuwa agizo? Kwa nini EL haku test authenticity ya agizo hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya subordinate wako?
Please
From: 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: WANA BIDII <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, July 29, 2015 4:43 PM
Subject: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
Nimemsikiliza Edward Lowassa kwenye you tube tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa maswali na wanahabari kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu miaka minane iliyopita. Kulingana na majibu aliyoyatoa hata mimi kama mwanahabari niliwahi kumwita fisadi kwa sababu ya kashfa hiyo. Lakini kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri nilifanya dhambi maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya kusikia upande wake mimi kwa upande wangu namuomba radhi.
Kumbe kinara wa kashfa ya Richmond alikuwa bosi wake. Lo! Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za Mwakyembe hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa kashfa ya Richmond ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu Lowassa alijiuzulu kuinusuru serikali nzima isianguke. Mungu mwema miaka minane baadaye ukweli kamili wa Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli Lowassa, Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe na Mzee Mwinyi peke yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji kutokana na nafasi zenu na siyo kosa mlilolitenda ninyi wenyewe. Viongozi wengine mpaka umma upige kelele sana ndipo wajibaraguze kujiuzulu mfano kashfa ya escrow 2014. Sasa ninaelewa ni kwa nini baadhi ya watu wana hofu baada ya LOwassa kukubaliwa na UKAWA kuwa mgombea Urais.
Namshukuru sana aliyetuwekea hii you-tube huku jukwaani maana baadhi yetu ambao hatuko site tungeweza kuendelea kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia habari nusu nusu tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya Richmond.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment