Friday 31 July 2015

Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Wewe do you mean sasa ccm ni safi kwa kubakiwa na magufuli......huyu muhingo hutaelewa unachoelezwa na wenzako ur too conservative......shida ni ccm na mfumo wake shida si watu kama mfumo ni mzuri hauwez kuvumilia ufisadi bro....upo hapo
La pili magufuli wako ni kinara wa kuja kuukumbatia ufisafi huo lazima atawalinda kina riz,kina jk ,kina bro wangu kinana na wengine kibao ambao wamempa uongozi bila kutazamka prof mwandosya anasema ameibuka na hajwahi hata kuongoza chama ......sikiliza hotuba ya wandosya
Tatu magufuli aliwahi kuwatamkiwa wana kigamboni kua kama mtu akishindwa kulipa 200 shs nauli ya pantoni basi apige mbizi what does this mean....kutojali na kuona kama nchi hii ni ya wachacheeee
Jfisadi wewe unatafsiri lakini unaji tune as u want kuhalalisha uongo wak et kja cdm wamefanya makosa.....huwez kumuadhibu mtu bila kumsi,iliza na usilazi ishe hoja mzee
Lesian

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Ufisadi ni criminal offence ambayo CCM ilinyamazia na CDM ikaupigia kelele. Ufisadi kama ulivyo wizi huwezi kuuona ila unaweza kuwaona wezi. na CDM iliwataja waziwazi bila kificho. Tunataka kuijenga nchi maadui wakubwa walikuwa rushwa iliyokomaa na kuitwa ufisadi. hatuhitaji kubadili mfumo wa ufisadi bali kuacha kuwavumilia mafisadi (kosa lililotendwa na CCM). Tukisha jisafisha na ufisadi (ulio ndani ya mafisadi) tutaanza kujenga mifumo. Agenda ya CDM ni kupambana na ufisadi kama njia ya kusafisha ARDHI uweze kulima. CCM wamejua muda kumbe. Ufisadi ulistawishwa na mtandao uliotupatia rais 2005. Sasa CCM imeanza kwa muukataa mtandao huo kuendelea kuliongoza taifa ndiyo maana kinyume na matakwa ya wenye nguvu Lowasa na Membe wakatupwa (na kama Vladmil Putin) akaibuka Dr. magufuli. Tukiwa tunatarajia na kinara wa mabadiliko (CDM) kuendelea kuongoza mabadiliko kwa kumleta wengi tuliyemtarajia (Dr. Slaa) tunashangaa (CDM) inaibuka na wale iliokuwa
> inawashambulia kwa sababu zilizopo hapo juu. Mtu wa kawaida kama mimi unawaza nini kinachokuja? CCM licha ya kuvumilia ouzo wa ufisadi mpaka ikaishia kupoteza popularity yake itakaa kimya kuona ufisadi unahama na kuendelea kuliongoza taifa tena nje ya CCM?? taifa hili ni letu wote. Ni la vyama vyote. Nyerere aliwahi kusema 'Huwezi kuwa Mkatoliki kuliko baba Mtakatifu' kwa neno hilo "Huwezi kulipenda taifa hili kuliko CCM. Nina maana kipindi hiki CCM imelitelekeza taifa kwa faida yake yenyewe. Je sasa itakuwa tayari kulitelekeza kwa manufaa ya ufisadi. Hata Wazimbabwe hawakukubali na hata wangekubali ZanuPF isingekubali. naomba kutafsiliwa vizuri. Sijasema CCM haiwezi kukabidhi madaraka kwa CDM. Nina maana haiwezi kukabidhi kwa UFISADI hasa ulio nje yake. Nimekufuru????
>--------------------------------------------
>On Fri, 7/31/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, July 31, 2015, 11:30 AM
>
> Ufisadi ni
> sehemu ya mfumo huo wa utawala. Kwa hiyo basi ufisadi
> unaweza kujengwa kwenye hiyo mifumo ya kiutawala, Kama
> ulivyoitaja hapo Muhingo. Lakini la pili mimi sijui kama
> kulikua na hayo majizi ya richmond kwa nini hadi leo hakuna
> aliyefikishwa mahakamani kwa ajili ya ufisadi huo. Sasa basi
> kumwita Lowasa fisadi si sahihi, kilichopo ni shutuma,
> ambazo amezijibu kwa ufasaha. Kwa nini tusiende kuwauuliza
> hao wakubwa aliosema walitoa maagizo mkataba wa Richmond,
> tunaendelea kumsakama Lowasa. He has
> arleady threw the ball..Sasa kama
> hiyo richmond ni ufisadi na hao walioitwa mafisadi
> hawajachuliwa hatua yeyote, basi ufisadi ni sehemu ya huo
> mfumo wa utawala. Mimi huu ndio uelewa wangu wa hili
> swala.bado
> nasema haitatusaidia sana kuendelea kumshambulia lowasa,
> kama lengo letu ni kubadili mfumo huo wa kiutawala unaleta
> ufisadi na madhila mengine kama kukataa katiba ya wananchi
> ambayo ilikua na mazuri mengi ya kupinga huo
> ufisadi. AhsanteJohn
>
>
>
>
> On Friday, July 31,
> 2015 1:22 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>
> Agenda kuu peoples
> power sadi. Unasema ufisadi uko CCM Lakini mafisadi
> wanahamia Peoplespower. kazi yao ya kwanza ni kuwaambia
> tusijadili ufisadi. Na wewe unakubali. Yaani gari letu ni
> bovu. Wakati wa kuondoka umefika. Tusijicheleweshe kuangalia
> kama limetengenezwa tuwashe tu tuondoke. Hii ni nini?
> Narudia maneno yako UFISADI uko CCM. lakini wale peopless
> iliowaita mafisadi wako CDM Ufisadi umebaki CCM
> kweli?????
> --------------------------------------------
> On Fri, 7/31/15, 'Lesian Mollel' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Subject: Re:
> [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, July 31, 2015, 1:54 AM
>
> I mean kwa sasa mzee muhingo
> hatuna
> mda huo wa kuanza kudiscuss ufisadi
> na nani
> kahusika'waliohusika wako ccm
> bhaaas
> Nimesma nikarudia mara mia hata
> wenzangu wamekuambia acha
> kudiscuss
> hizo'vaa ngwada sema peeeeoooples...vite for us
> for change bhaaas
> Lesian
>
> 'ELISA MUHINGO' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
> >Mollel
> >somavizur kilichoandkwa
> halafu ongelea ndqani ya track
> najua uliko
> (nilikuwako) tena najua niliko (hujafika)
>
> Jitahidi kwenda na mantiki. Utaelewa kinachoongelewa.
> Nimejadili maana ya mfumo na maana ya ufisadi
> nakudhani kuwa
> ufisadi sio mfumo-Hilo
> tu-Lijibu au liache twende mbele.
>
> Hukumuelewa John alipokusaidia usijitukane kwa kutumia
> maneno yasiyochangia mada. Ona hata muundo na
> muumbo wa
> maneno
>
> >--------------------------------------------
> >On Fri, 7/31/15, 'Lesian Mollel'
> via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> >
>
> > Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI
> TUMUOMBE RADHI
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Friday, July 31, 2015, 1:36 AM
> >
> > Elisa wee mtu
> mzima badilika
> > Richmlnd haimuhusu
> lowasa hata toneeeee mzeee heh
> > Wee
> chuki uliojijengea kwa lowasa ni za bure utaingia
> > jehanam kwa kujilazimisha,umei tune akili
> yako
> kutokukubali
> >
> tuuuuu,kuendelea kua conservative with no
>
> logic....richmond
> > omba pr confr
> kamuulize jk sku anatua airport toka
>
> aliko
> > Cc utatukuta mbele kwa mbele
> tukiwaumiza wana ccm na
> mfumo
> > wao mbovu,nakushaur acha tabia yako ya
> kuaattack watu
> attack
> >
> parties,usikomae na jambo moja lisilo na maslah ya
> kitaifa
> > kwa sasa tuko
> busy tunapogania maslahi ya kitaifa wewe
>
> > unadiscuss watu....ooh richmond,ooh mafisadi or
> lowasa
> > kaingia cdm
>
> > Talk of what should we do to overthrow ccm bhaaas
> ndo
> habar
> > ya mujini
> mzeeee
> > Lesian
> >
>
> > 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> > wrote:
> >
> > >Hii ndugu zangu naomba kuiza. Ufisadi
> ni mfumo?
> Mfumo
> > gani.
> Kuna mifumo ya utawala au siasa kama ubepari,
> ujamaa
> > nakadhalika. Mimi
> nilifikiri ufisadi ni vitendo vya
> jinai
> > ambavyo vinaweza kukua kutegemeana na
> watu kuona aibu
> > kuvikosoa. au watu
> kuogopa kuwakosoa mafisadi.
> nafikiri
> > ufisadi ni vitendo ambavyo mtu anaweza
> kufanya jambo
> > litakalowatia hasara
> waliowengi ili yeye afaidike.
> Mfano wa
> > mkataba wa Richmond ambamo watu
> walipitisha mkataba
> ambamo
>
> > wat majizi wanalipwa capacity charges kubwa bila
> sababu
> za
> > msingi na
> mapato hayo wanayatumia kununua uongozi.
>
> > >Mimi nahitaji maelezo ili twende wote. Kama
> maelezo
> > yangu ni sahihi
> kuhusu ufisadi basi dawa ni kuwaondoa
> >
> mafisadi wala si mfumo tena na wanaweza kuwa popote
> kwa
> > sababu watahama kama
> wamasai kufuata malisho.
> >
> >Nisaidieni hapo
> >
> >--------------------------------------------
> > >On Thu, 7/30/15, 'john
> msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > wrote:
> > >
> > > Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA
> LOWASSA
> FISADI
> >
> TUMUOMBE RADHI
> > > To: "wanabidii@googlegroups.com"
> > <wanabidii@googlegroups.com>
> > > Date: Thursday, July 30, 2015, 4:06
> PM
> > >
> > >
> Telesphor,Umeongea
> > > kitu cha
> msingi sana, ambacho na mimi ndio
>
> mtazamo
> > wangu.
> >
> > Haitatusaidia
> > > sana
> kuwajadili watu, nani fisadi? nani sio
>
> fisadi. La
> > > msingi ni kuujadili na
> kuubadilsha huo mfumo
> unaoleta
> > hao
> > > mafisadi.
> Kama huo mfumo uko UKAWA au CCM, kila
>
> mtu
> > anajua.
> > >
> John
> > >   
> >
> >
> > >
> >
> >      On Thursday, July
> > >
> 30, 2015 2:52 PM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
> > > wrote:
> > > 
>    
> > >
> >
> >  Kwa sasa hakuna haja ya
> > >
> kuzungumzia mtu/watu bali kubadilisha/kuboresha
> mfumo
> > wa
> > > utawala tu na kilichofanyika ndani
> ya Chadema au
> Ukawa
> >
> > kinaonyesha mwelekeo huu.
> > >
>
> > > 2015-07-30 15:07
> > > GMT+03:00 emmbaga <emmbaga@hotmail.com>:
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> Nimefarijika sana kusoma habari , Dr. Slaa
>
> amekataa
> > > usanii huo na  amejitoa
> rasmi Chadema. subiri
> > utasikia
> > > zaidi. na narudia tena maana naona
> huelewi.
> Ufidadi wa
> >
> > Richmond ni kitu kidogo mno ktk ufisadi wa mtu
> wenu
> >  na
> > > wala haukufanikiwa (
> siuliumbuliwa
> > >  na  kamati)
> nazungumzia wa tangu enzi za
> Nyerere
> > na
> > > ambao ndio
> unampa kiburi ya fwedha  anazowanunua
>
> watu
> > > sampuli enu. anaweza asiwape
> Cash wengine wenu lkn
> kwa
>
> > > kutumia taaluma ake a usanii  kupitia Media,
> > > Makanisa,Misikiti...... ndio
> ninaozungumzia.
> amepata
>
> > >  wapi mihela yote hio akiwa mtumishi wa Umaaa.
> > hebu
> > >
> tufafanulie hapo. mabadiliko sio kumtumia
>
> mtuhumiwa
> > kuyaleta
>
> > > sababu tu ana wafuasi wengi kama unavyodhani na
> > anavyotaka
> > >
> tuamini. haya  akisha upata Urais??.Jisikieni
> aibu
> > > kutetea
> uozo.
> > > "Hongera Dr .W.
> Slaa"
> > >
> >
> >
> > >
> > >
> hawa vibaraka waliobaki tutapambana nao kwa uwezo
> wa
> > > Mungu.
> > >  ernest
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > Sent from
> > >
> Samsung mobile
> > >
>
> > >
> > >
> >
> > 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > > wrote:
> > >
>
> > >
> > >
> > > Ernest, -time will tell kama
> > > ulivyosema.
> >
> >  Mungu atatuonesha adui yetu ni nani.
>
> > >
> > > kuna mambo mawili 
> tuyaweke sawa
> > > hapa.La
> kwanza mtandao ulikuwepo ccm, huo ni
>
> mfumo
> > > uliotumika kufanikisha
> ushindi uchaguzi kipindi
> hiko.
> > > Anayehamia CDM si
>
> > >  mtandao ni Lowasa. Watakaomuunga mkono kuhama
> nae
> > sio wana
> > > mtandao. Ni watu wanaoamini katika
> utendaji wake
> na
> > >
> ambao wako tayari kwa mageuzi ya kimfumo wa
>
> kiutawala.
> > Maana
> >
> > mageuzi hayo ndiyo yatatuletea maendeleo.
> > > Jambo la pili, ni lazima
> kuutazama
> > > ufisadi kama ni mfumo
> uliojengeka kwenye ccm. Sio
> > tatizo
> la
> > > mtu mmoja. Wewe unafahamu
> kwamba Mkapa aliingia
> > akiitwa
> > > mr clean, lakini kilichotokea
> tulikiona,
> > > sababu ya
> huo mfumo. Hili somo ni rahisi kama
> >
> > ukiwa tayari kujifunza. lakini usipokubali
> kupanua
> > mtazamo
> > > wako itakua ngumu. Lakini pia Huyo
> lowasa ameongea
> na
> >
> > amésema hiyo habari ya richmond ni agizo la
> > > 'wakubwa'.
>
> > >  Sasa hamisheni kesi yenu kwa hao wakubwa
> kuliko
> > kuendelea
> >
> > kumsimanga mtu asiye na kosa. Mnaogopa?
> > >
> > >
> > >
> > > 'in
> the war between falsehood
> > > and
> truth, falsehood wins the first battle and
>
> truth
> > the
> > >
> last'  (anaglizo
> > > huu si
> usemi wangu sikumbuki chanzo
> > >
> nilichoutoa.)
> > >
>
> > >
> > >
> >
> > John
> > >
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > On
> Thursday, July
> > > 30, 2015 12:34 PM,
> Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
> > > wrote:
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > Ngugu
> John ee !!
> > >
> >
> > huo  usafi  wa  Kikwete 
> > >
> unauzungumza  wewe,  alafu  unajaribu 
>
> > > kufanya  taasisis  ya  Urais  kama 
> > > ya  kikundi  fulani  hivi 
> eti 
> > > kama  alimweka  kua 
> waziri  mkuu 
> > > kwani  hakujua 
> ni  fisadi.
> > >
>
> > >
> > >
> >
> > unafahamu  kuhusu  CCM  mtandao?? 
>
> > > ambao  ulifanya mapinduzi  baridi  2005 
> > > na kumwingiza Kikwete.  na  huo 
> ndio
> > > ulijaribu tena 
> kumwingiza  huyu  mtu 
> > > wenu
> Lowassa kwa  njia  zilezile,  sasa
> >
> > imeshindikana  ,  amepata  mwanya 
>
> > > wa  walafi  wengine   eti  apitie 
> > >  CDM   mradi tu  awe 
> rais, 
> > > na  mtandao  wake 
> uendeleee 
> > > kutawala  nchi 
> ukiongeza  na  wapya
> > > toka 
> CDM  doo!!!  mnataka 
> > >
> wafanya  watanzania  milioni  zaidi  ya
>
> > > 45   mali yenu  au  mazezeta?? 
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > binafsi 
> > >
> sikuwahi  kupiga  kura  kumchagua 
> >
> > Kikwetea.  na  hii ni  sababu 
>
> > > jinsi  alivyoupata  urai  kupitia 
> > > Mtandao.  safari  hii 
> nampongeza 
> > > kwa  kutusaidia 
> ku- block  Mtandao 
> > > usiteke
> tena  nchi, kupitia CCM
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > sasa  wanajaribu 
>
> > > kupitia   CDM  ambao   nao
>
> > > wametushtua na kutushangaza , hee!!  kumbe 
> yote
> > > ilikua 
> ghilia  tu , hata  fisadi 
> > >
> kwao  ni  mali  mradi  aje  na
> >
> > wafuasi  kuongeza  kura. nitamshangaa 
> > > mno  Dr. Slaa  akibaki  huko 
> > >  , naamini  pia   wengi  wa
> > > waelewa  ktk chama  hicho  CDM
> hawatakubali.
> > >
>
> > >
> > >
> >
> >
> > > najua  mtapata 
> > > watu  wachache waliokua  mtandao 
> kuhamia
> > > CDM  kuendeleza 
> usanii  wake  kua 
> > > anakubalika
> na  wananchi  na  hata 
> > >
> atapokelewa  kwa shangwe hasa akienda 
>
> > > Arusha  ambao  wengi  ni wafuasi wa CDM
> > > .
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >   lakini 
> >
> > watanzania  makini  na  wanaoipenda 
> > > nchi  yao wakisaidiwa  na 
> mwenyezi 
> > > Mungu,hawata kubali 
> ghiliba  hizo, 
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > tuna
> taka  mtu 
> > > safi  asie  na 
> kashfa kama zake  na
> > > wako 
> wengi  tu, huyo  wenu  kaeni 
> > >
> nae  mkimshangilia  lakini  uraisi 
>
> > > atausikia  kwa TB  jushua alikokimbiliaga 
> > > nanyi  wapambe   mtabaki  na 
> aibu 
> > > yenu  tu.
> > >
> > >
> > >
> > >
> "time  will
> > > tell"
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> Ernest
> > >
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > 2015-07-30 11:59 GMT+03:00 'john
> msinde' via
> > > Wanabidii
> > > <wanabidii@googlegroups.com>:
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > Ila pia huyo mtu
> safi aliyeambiwa
> > > mda wake
> haujafika badae alimteua kuwa waziri
>
> mkuu
> > huyo
> > >
> aliyeambiwa fisadi. Sasa leo nongwa inatoka wapi?.
> huu
> > sio
>
> > > unafiki? Tubadilishe mitazamo yetu na kufikiri
> kwa
> > upana
> > > zaidi. Hapo ndipo tutaujua
> ukweli.
> > > John
>
> > >
> > >
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > On Thursday, July
>
> > > 30, 2015 8:06 AM, emmbaga <emmbaga@hotmail.com>
> > > wrote:
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake
> bado.
> > > lakini
> alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe
>
> labda
> > > angejitetea kipindi kile
> tungemwelewa labda lkin
> sasa
> > > anatumia advantage ya Baba wa Taifa
> hatunae
> tena!!!  
> >
> > mizimu itazungumza.
> > >
> Ernest
> > >
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > Sent
> from
> > > Samsung mobile
> > >
> > >
> > >
> > >
> fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > > wrote:
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> Ernest
> > >
> >
> >
> > >
> > >
> Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona
> > mlimtakasa
> > >
> Kikwete mnamkataa Lowassa?
> > >
> > >
> > >
> > > Fatma
> > >
> > > Sent from my BlackBerry® smartphone
> provided by
> > Airtel
>
> > > Tanzania.
> > >
> > > From: Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>
> > >
> > > Sender:
> wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > > Date:
> Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000
> > >
> To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> > > ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > > Subject:
> RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA
> >
> > FISADI TUMUOMBE RADHI
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > Tuache  unafiki,  Baba  wa 
> > > taifa  alimkataa  Lowassa  
> hata 
> > > mambo  ya  Richmond 
> hayakuwepo, 
> > > nae  Lowassa 
> hajawahi  kanusha
> > > chochote 
> alichosema  baba  wa  
> > >
> taifa  marehemu Mwalimu Julius  Nyerere,  
> > > leo  hii  we  Mama  unasema 
> > >  aombwe  radhi  !!!! duuu 
> kweli 
> > > hizi  njaa   
> zinapoteza 
> > > hata  utu  wa 
> mtu. 
> > >
> >
> >
> > >
> > >
> ernest
> > >
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > > Date:
> Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000
> > >
>
> > > From: wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > > To: wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > > Subject:
> Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA
>
> FISADI
> > TUMUOMBE
> >
> > RADHI
> > >
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > Kila anayetubu kwa dhati
> husamehewa
> > > Nkya. Lakini uwe
> mwangalifu na siasa. Umesikiliza
> >
> upande
> > > mmoja tu kwamba EL alipewa
> amri ya simu, kutoka
> juu,
>
> > kupitia
> > > kwa Katibu Mkuu
> kwamba mkataba usivunjwe. Haingii
> >
> akilini
> > > katika taratibu za
> utawala
> > >  kupokea maagizo na
> kutekeleza katika mtiririko
> > huu!
> Agizo
> > > haliendi hivyo, na mimi
> binafsi siwezi kutekeleza
> agizo
> > la
> > > jinsi hii.
> Je anayesemekana alitoa agizo akisema
> >
> hajawahi
> > > kupiga simu kuzuia
> kuvunja mkataba? Na hii
> inawezekana
> > sana
> > > katika
> hali ya mambo
> > >  sasa hivi -
> kurukana! Nani atakuwa mkweli? Ni
> >
> kupakana
> > > matope, tupate upande
> mwingine wa shilingi, kwamba
> ni
> > kweli
> > > lilikuwa
> agizo? Kwa nini EL haku test authenticity
>
> ya
> > agizo
> > >
> hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya
>
> subordinate
> > > wako? 
> > >
> > >
> > >
> > >
> Please
> > >
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > From: 'ananilea
>
> > > nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > >
> > > To:
> > > mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >
> > >
> > > Cc: WANA BIDII
> >
> > <wanabidii@googlegroups.com>
> > >
> > >
> > > Sent:
> > >
> Wednesday, July 29, 2015 4:43 PM
> > >
>
> > > Subject:
> >
> > [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE
> RADHI
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> Nimemsikiliza Edward  Lowassa  kwenye you tube
> > > tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa
> maswali na
> > wanahabari
>
> > > kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa
> Waziri
> > Mkuu
> > > miaka minane iliyopita. Kulingana
> na  majibu
> > aliyoyatoa
> > > hata mimi kama mwanahabari
> niliwahi
> > >  kumwita fisadi kwa
> sababu ya  kashfa hiyo.
> > Lakini
> > > kulingana na maelezo aliyoyatoa
> ninakiri
> nilifanya
> >
> dhambi
> > > maana kumsingizia mtu
> uongo ni dhambi na binafsi
> baada
> > ya
> > > kusikia
> upande wake mimi kwa upande wangu
>
> namuomba
> > radhi.
> >
> >
> > >  
> >
> >
> > > Kumbe kinara wa  kashfa ya
> Richmond alikuwa bosi
> > wake.
> > > Lo!  Sasa inaingia akilini ni kwa
> nini TOR za
> > Mwakyembe
>
> > > hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa
> kashfa ya
> > > Richmond
> ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu
>
> Lowassa
> > > alijiuzulu kuinusuru
> serikali nzima  isianguke.
> > > 
> Mungu mwema miaka minane  baadaye ukweli
>
> kamili
> > wa
> > >
> Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli
> > Lowassa,
> > > Mungu
> atakupigania kwa sababu ni wewe  na Mzee
>
> Mwinyi
> > > peke yenu mna rekodi ya
> kujiuzulu kuonyesha
> > uwajibikaji
> > > kutokana na nafasi zenu na siyo
> kosa
> > >  mlilolitenda  ninyi
> wenyewe. Viongozi wengine
> > mpaka
> > > umma upige kelele sana ndipo
> wajibaraguze
> kujiuzulu
>
> > mfano
> > > kashfa ya escrow 2014.
> Sasa ninaelewa ni kwa nini
> > baadhi
> ya
> > > watu wana hofu baada ya
> LOwassa  kukubaliwa na
> UKAWA
> > > kuwa mgombea Urais.
>
> > >
> > >
> >
> >
> > > Namshukuru sana
> aliyetuwekea hii you-tube huku
> >
> jukwaani
> > > maana baadhi yetu ambao
> hatuko site tungeweza
> > kuendelea
> > > kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia
> habari nusu
> nusu
> > >
> tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya
>
> Richmond.
> > >
> >
> >
> > >
> > >
> Ananilea Nkya
> > >
>
> > >
> > >
> >
> >  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
> > >
> > >
> > >
> > > --
> > >
> > > Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> > Utapata
> > > Email
> ya kudhibitisha ukishatuma
> > >
> > >
> > >
> > > Disclaimer:
> >
> >
> > > Everyone posting to this
> Forum bears the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to
> > >  abide by our Rules and
> Guidelines.
> > >
>
> > > ---
> > >
>
> > > You received this message because you are
> subscribed to
> > the
> > > Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > >
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > > emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> > >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > --
> > >
> > > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > > Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> > >
> >
> >  
> > >
> >
> > Disclaimer:
> > >
> > > Everyone posting to this Forum bears
> the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to
> > >  abide by our Rules and
> Guidelines.
> > >
>
> > > ---
> > >
>
> > > You received this message because you are
> subscribed to
> > the
> > > Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > >
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > > emails from it, send an email to
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> > >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > > --
> > >
> > > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > > Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> > >
> >
> >  
> > >
> >
> > Disclaimer:
> > >
> > > Everyone posting to this Forum bears
> the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to
> > >  abide by our Rules and
> Guidelines.
> > >
>
> > > ---
> > >
>
> > > You received this message because you are
> subscribed to
> > the
> > > Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > >
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > > emails from it, send an email to
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> > >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> > >
> --
> > >
> > >
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > > Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> > >
> >
> >  
> > >
> >
> > Disclaimer:
> > >
> > > Everyone posting to this Forum bears
> the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to
> > >  abide by our Rules and
> Guidelines.
> > >
>
> > > ---
> > >
>
> > > You received this message because you are
> subscribed to
> > the
> > > Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > >
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > > emails from it, send an email to
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> > >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > > --
> > >
> > > Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > > Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> > >
> >
> >  
> > >
> >
> > Disclaimer:
> > >
> > > Everyone posting to this Forum bears
> the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to
> > >  abide by our Rules and
> Guidelines.
> > >
>
> > > ---
> > >
>
> > > You received this message because you are
> subscribed to
> > the
> > > Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > >
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > > emails from it, send an email to
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> > >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > --
> > >
> > > Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > > Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> > >
> >
> >  
> > >
> >
> > Disclaimer:
> > >
> > > Everyone posting to this Forum bears
> the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to
> > >  abide by our Rules and
> Guidelines.
> > >
>
> > > ---
> > >
>
> > > You received this message because you are
> subscribed to
> > the
> > > Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > >
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > emails
> > > from
> it, send an email to
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> > >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > --
> > >
> > > Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > > Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> > >
> >
> >  
> > >
> >
> > Disclaimer:
> > >
> > > Everyone posting to this Forum bears
> the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to
> > >  abide by our Rules and
> Guidelines.
> > >
>
> > > ---
> > >
>
> > > You received this message because you are
> subscribed to
> > the
> > > Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > >
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > emails
> > > from
> it, send an email to
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> > >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > > --
> > >
> > > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > > Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> > >
> >
> >  
> > >
> >
> > Disclaimer:
> > >
> > > Everyone posting to this Forum bears
> the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to
> > >  abide by our Rules and
> Guidelines.
> > >
>
> > > ---
> > >
>
> > > You received this message because you are
> subscribed to
> > the
> > > Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > >
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > emails
> > > from
> it, send an email to
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> > >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > --
> > >
> > > Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > > Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> > >
> >
> >  
> > >
> >
> > Disclaimer:
> > >
> > > Everyone posting to this Forum bears
> the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to
> > >  abide by our Rules and
> Guidelines.
> > >
>
> > > ---
> > >
>
> > > You received this message because you are
> subscribed to
> > the
> > > Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > >
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> > emails
> > > from
> it, send an email to
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > --
> > >
> > > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > >  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> > >
> >
> >  
> > >
> >
> > Disclaimer:
> > >
> > > Everyone posting to this Forum bears
> the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and
> > Guidelines.
> > >
> > > ---
> > >
> > > You
> received this message because you are
>
> subscribed to
> > the
>
> > > Google Groups "Wanabidii" group.
> > >
> > > To
> unsubscribe from this group and stop receiving
> > emails
> > > from
> it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> > >
>
> > >
> > >
> > >
> > > --
> > >
> > > Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> > Utapata Email ya
> >
> > kudhibitisha ukishatuma
> > >
> > >  
> > >
> > > Disclaimer:
> >
> >
> > > Everyone posting to this
> Forum bears the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and
> > Guidelines.
> > >
> > > ---
> > >
> > > You
> received this message because you are
>
> subscribed to
> > the
>
> > > Google Groups "Wanabidii" group.
> > >
> > > To
> unsubscribe from this group and stop receiving
> > emails
> > > from
> it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> >
> >     
> > >
>
> > >
> > >
> >
> > --
> > >
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >  
> > >
> > >
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> > Utapata Email ya
> >
> > kudhibitisha ukishatuma
> > >
> > >  
> > >
> > > Disclaimer:
> >
> >
> > > Everyone posting to this
> Forum bears the sole
> > responsibility
> > > for any legal consequences of his or
> her postings,
> and
> >
> hence
> > > statements and facts must
> be presented
> responsibly.
>
> > Your
> > > continued membership
> signifies that you agree to
> this
> > > disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and
> > Guidelines.
> > >
> > > ---
> > >
> > > You
> received this message because you are
>
> subscribed to
> > the
>
> > > Google Groups "Wanabidii" group.
> > >
> > > To
> unsubscribe from this group and stop receiving
> > emails
> > > from
> it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >
> > > For more
> options, visit
> >
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > >
> >
> >--
> > >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> > >
> > >Kujiondoa
> Tuma Email kwenda
> > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> > Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> > >
> >
> >Disclaimer:
> > >Everyone posting
> to this Forum bears the sole
> >
> responsibility for any legal consequences of his or
> her
> > postings, and hence
> statements and facts must be
> presented
> > responsibly. Your continued membership
> signifies that
> you
> >
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our
> Rules
> > and Guidelines.
> > >---
> > >You
> received this message because you are
>
> subscribed to
> > the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> > >To
> unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
> > from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >For more options, visit
> > https://groups.google.com/d/optout.
> >
> > --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma
> Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> > Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
> >
> >
> Disclaimer:
> > Everyone posting to this
> Forum bears the sole
> responsibility
> > for any legal consequences of his or her
> postings, and
> hence
> >
> statements and facts must be presented responsibly.
> Your
> > continued
> membership signifies that you agree to this
>
> > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are
> subscribed to
> the
> >
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
> > from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit
>
> > https://groups.google.com/d/optout.
>
> >
> >--
> >Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the
> sole
> responsibility for any legal
> consequences of his or her
> postings, and
> hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership
> signifies that you
> agree to this disclaimer
> and pledge to abide by our Rules
> and
> Guidelines.
> >---
>
> >You received this message because you are subscribed
> to
> the Google Groups "Wanabidii"
> group.
> >To unsubscribe from this group
> and stop receiving emails
> from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree
> to this
> disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are
> subscribed to the
> Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment