Thursday, 30 July 2015

Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Uktaka kujua alikuwa na maana gani aliposema muda wake bado, lazima ujue kuwa alikuwa mwalimu. Ninaamini angekuwepo 2005 angeweza kurudia neno hilo. Hapo ndipo tungejua alimaanisha nini. sasa inawezekana kwa kuangalia nyuma toka sasa hadi 2005, ndipo utajua alimaanisha nini
--------------------------------------------
On Thu, 7/30/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, July 30, 2015, 11:59 AM

Ila pia
huyo mtu safi aliyeambiwa mda wake haujafika
badae alimteua kuwa waziri mkuu huyo aliyeambiwa
fisadi. Sasa leo nongwa inatoka wapi?. huu sio unafiki?
Tubadilishe mitazamo yetu na kufikiri kwa upana zaidi. Hapo
ndipo tutaujua ukweli.John

On Thursday, July
30, 2015 8:06 AM, emmbaga <emmbaga@hotmail.com>
wrote:

Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake bado.
lakini alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe labda
angejitetea kipindi kile tungemwelewa labda lkin sasa
anatumia advantage ya Baba wa Taifa hatunae tena!!!  
mizimu itazungumza.
Ernest

Sent from
Samsung mobile

fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

#yiv3155072874 --
.yiv3155072874x_hmmessage
{margin:0px;padding:0px;}
#yiv3155072874 body.yiv3155072874x_hmmessage
{font-size:12pt;font-family:Calibri;}
#yiv3155072874
Ernest

Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona mlimtakasa
Kikwete mnamkataa Lowassa?

Fatma

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.

From: Ernest Philemon
<emmbaga@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000
To:
wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA
FISADI TUMUOMBE RADHI

Tuache  unafiki,  Baba 
wa  taifa  alimkataa  Lowassa  
hata  mambo  ya  Richmond 
hayakuwepo,  nae  Lowassa  hajawahi 
kanusha chochote  alichosema  baba 
wa   taifa  marehemu Mwalimu Julius 
Nyerere,   leo  hii  we  Mama 
unasema  aombwe  radhi 
!!!! duuu  kweli  hizi 
njaa    zinapoteza  hata  utu 
wa  mtu. 

ernest

Date: Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000

From: wanabidii@googlegroups.com

To: wanabidii@googlegroups.com

Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE
RADHI

Kila
anayetubu kwa dhati husamehewa Nkya. Lakini uwe mwangalifu
na siasa. Umesikiliza upande mmoja tu kwamba EL alipewa amri
ya simu, kutoka juu, kupitia
kwa Katibu Mkuu kwamba mkataba usivunjwe. Haingii akilini
katika taratibu za utawala kupokea maagizo na kutekeleza
katika mtiririko huu! Agizo haliendi hivyo, na mimi binafsi
siwezi kutekeleza agizo la jinsi hii. Je anayesemekana
alitoa agizo akisema hajawahi
kupiga simu kuzuia kuvunja mkataba? Na hii inawezekana sana
katika hali ya mambo sasa hivi - kurukana! Nani atakuwa
mkweli? Ni kupakana matope, tupate upande mwingine wa
shilingi, kwamba ni kweli lilikuwa agizo? Kwa nini EL haku
test authenticity ya agizo
hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya subordinate
wako? 

Please

From: 'ananilea
nkya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>

To:
mabadilikotanzania@googlegroups.com

Cc: WANA BIDII
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent: Wednesday, July
29, 2015 4:43 PM

Subject: [wanabidii]
TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Nimemsikiliza Edward  Lowassa  kwenye you tube
tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa maswali na wanahabari
kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu
miaka minane iliyopita. Kulingana na  majibu aliyoyatoa
hata mimi kama mwanahabari niliwahi
kumwita fisadi kwa sababu ya  kashfa hiyo. Lakini
kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri nilifanya dhambi
maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya
kusikia upande wake mimi kwa upande wangu namuomba radhi.

Kumbe kinara wa  kashfa ya Richmond alikuwa bosi wake.
Lo!  Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za Mwakyembe
hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa kashfa ya
Richmond ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu Lowassa
alijiuzulu kuinusuru serikali nzima  isianguke.
Mungu mwema miaka minane  baadaye ukweli kamili wa
Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli Lowassa,
Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe  na Mzee Mwinyi
peke yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji
kutokana na nafasi zenu na siyo kosa
mlilolitenda  ninyi wenyewe. Viongozi wengine mpaka
umma upige kelele sana ndipo wajibaraguze kujiuzulu mfano
kashfa ya escrow 2014. Sasa ninaelewa ni kwa nini baadhi ya
watu wana hofu baada ya LOwassa  kukubaliwa na UKAWA
kuwa mgombea Urais.

Namshukuru sana aliyetuwekea hii you-tube huku jukwaani
maana baadhi yetu ambao hatuko site tungeweza kuendelea
kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia habari nusu nusu
tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya Richmond.

Ananilea Nkya

 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment