Woga ni adui mkubwa wa mabadiliko.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 7/29/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, July 29, 2015, 12:10 PM
John nakubaliana nawewe katika mengi
kasoro machache tu.
Kujiengua kwa Lowasa kutoka CCM kuna faida kubwa kwa
watanzania: Kupungua kwa ukubwa wa CCM na watu makini
watapendeelea chama chenye nguvu za uelewa wa matatizo ya
wananchi kuliko kutegemea wingi wa wanachama-Natamani
nieleze zaidi lakini muda.
Tunatofautiana nawe katika moja-Lowasa ataidhoofisha Chadema
wakati watanzania tulikitegemea kuwa chama mbadala kuitawala
nchi. hapa tutakesha lakini tukisubiri mmuda mfupi tutaona
matokeo. Chadema inaweza kuporomoka isivyotarajiwa. Huenda
hata katika uchaguzi isivume kama NCCR ya 1995.
Tatizo la tume huru huenda likatumiwa kwa manufaa ya ustawi
wa taifa kwa kumminya lowasa na wengine tutakaa kimya.
Nilikuwa Marekani wakati Bush akipambana na Al Gole.
wamarekani kwa 90% walikubali kuwa Gole kashinda na kwa 80%
wakasema mwachie Bush atawale. ndivyo inavyoweza kuwa kuwa
hata akishinda Lowasa tume imtangaze magufuli. Nasema
ninachokiamini. Lowasa anaweza kuwa mtu mzuri akaendesha
nchi kwa ufanisi mkiubwa. lakini haistahili apewe nafasi kwa
kura au kwa tangazo la matokeo ya kura- Kama ndilo
alilomaanisha Nape sijui. Lakini katika yote itapoteza
Chadema maana Lowasa ameishapoteza-John!
Elisa
--------------------------------------------
On Wed, 7/29/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 29, 2015, 1:21 PM
Elisa, unachokisema
ni mabadiliko siyaoni kwa kweli. Ni watu wachache sana
watakaokubaliana na wewe. Anachofanya Kinana ni kutoa
hotuba kwenye majukwaa na kutoa kauli ambazo hazifanyiwi
kazi. Lakini katika yote tusiite kuwasafisha mawaziri
wenye kashfa ni mabadiliko ya mfumo. Hiki kilichotokea kwa
Lowasa kuhamia UKAWA mimi nakitazama kama ni kukomaa kwa
siasa za ushindani wa vyama. Lakini pia hata kama viongozi
vya UKAWA huko nyuma walimsema majukwaani kuwa yeye ni
fisadi,hilo lilitegemewa. sidhani kama mwanasiasa yeyote
wa
upinzani atasimama na kusema watu wa chama kingine ni
safi,
na hivyohivyo kwa chama tawala. Ila ni swala la wakati-
kwa
wakati huu yeye ndie mtu anayefaa kujaribu kuunagusha
mfumo
wa kifisadi, anaweza kufanya hivyo akiwa UKAWA, ila
angekua ccm asingeweza kufanya hayo.lazima
tujifunze kubadilika na kuangalia maswala haya kwa upana
zaidi. Maendeleo yetu yatapatikana tu tukiwa na ushindani
wa
vyama, (kukua kwa demokrasia) ila kwa chama kimoja kukaa
madarakani mda wote tusitegemee kupata mabadiliko ya
maisha
yetu.Kuhusu
yatakayotokea Tar 26, siongei mengi ila hakuna
kinachoweza
kutabirika kwa mazingira ambayo hakuna tume huru ya
uchaguzi. Unachagua mtu ambaye unamwambia asimamie
uchaguzi
ambao wewe ni mshiriki! (hii mada nyingine)John
On Tuesday, July 28,
2015 9:57 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
John. Kujiengua kwa
Lowasa kuna faida nyingi. kati ya faida hizo licha ya
mvuto
unaousema hakutaisaidia UKAWA kulishika dola hili. badala
yake chances za kushika dola zimepotea kuliko ingetumia
wanachama wake kwa ngazi ya urais.
Kwa
habari za CCM kuanza kujirekebisha kuko wazi. naamini toka
Kinana kuingiz kazini tumeshuhudia mabadiliko fulani. Yapo
mengi ambayo yanahitaji kufanyika kufumua mfumo huu lakini
utakumbuka kuwa Kikwete alilazimika kupewa nafasi ya
kugombea urais just because he was 'popular'. Kiasi
cha kutompitisha Lowasa licha ua popularity yake ni ishara
ya mabadiliko.
Mabadiliko tuliyo yatarajia
kuletwa na ukawa yalitegemewa kuwa makubwa zaidi. Sasa
hamna
aisee. Nina deadlines lakini naufurahia mjadala huu
--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 2:37 PM
Muhingo
unasema...'Kama
ni mfumo CCM imeonekana
kuufumua ndiyo maana ikamtema
Lowasa....' sidhani kama hii ni sahihi. Yaani kwa
kumtema Lowassa ndio imefumua mfumo. Sijui
lini wameanza
kuufumua huo mfumo wa ufisadi
-past
habits die hard. Kweli tunapoongolea
siasa tunaongelea
uendeshaji wa nchi, sio
kamari, lakini ni muhimu kuwa na
madiliko
makubwa ya kimfumo katika huo uendeshaji. Maana ni
miaka zaidi ya hamsini tumekua na mfumo ambao
umezidi
kutuletea umaskini. Kwa hiyo ni
wakati sasa wa
kubadilisha. Tuko
kwenye vita kwa hiyo si busara kuchagua
silaha kupigana na adui yako. Mimi mtazamo wangu uko
zaidi
katika kuleta mabadiliko ya
uendeshaji wa nchi. Lakini
kumbuka Lowasa
alipokatwa hakuna mtu CCM aliyethubutu kusema
sababu ya kukatwa kwake, lakini pia sikatai
anazo kashfa za
ufisadi kama walivyo
wanasiasa wengine. Ni 'kashfa'.
Kama lowasa atahamia UKAWA na hao wengine uliowataja na
kama watapokelewa na UKAWA hatujalijua
bado. Ila kwa sasa
tumjadili Lowasa kama
ni mtu sahihi kwa UKAWA au la. Lakini
lowasa pamoja na kashfa zake bado ni mwanasiasa mwenye
mvuto
kwa sasa (ana wafuasi wengi
wanaoangalia mazuri yake), na
ndio maana
UKAWA wamevutiwa nae wakijua mapungufu yake.
lakini pia tusisahau utendaji wake na uthubutu
wake katika
kutenda, sitaki kueleza hapa
mfano wa mazuri aliyoyatenda
wengi
wanayafahamu. Tuzidi
kutafakari! John
On Tuesday, July
28,
2015 12:49 PM, 'ELISA MUHINGO'
via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
John.
Unamuongelea Lowasa yupi aliyeutumikia mfumo
mbovu upi wa CCM?
Ninayemuongelea mimi ni
Lowasa aliyekuwa
akikusanya pesa za watu akizitoa makanisani
na misikitini. mfumo sawa ulimruhusu. namuongelea Lowasa
ambaye katika kukusanya kura za maoni
ameonekana kutoa pesa
kupindukia.
namuongelea Lowasa ambaye wapambe wake ambao
lazima ataongozana nao UKAWA ni Chenge,
Lostam, Karamagi
na wengine. naongelea
Lowasa ambaye kila aliyeona
anavyotumia
pesa alizosema anapewa na marafikizake
alijiuliza atawalipaje watu hao ambao hawataendelea
kufuatilia malipo yao CCM bali watamfuata
atakakokuwa. UKAWA
inajiandaaje kumsaidia
Lowasa kuwatuliza watu hao?
naongelea hayo
na mengine yanayofanana nayo na
ndugu John
tunapoongelea siasa hatuzungumzii kamali au
mchezo wa mpira. Tunaongelea uendeshaji wa nchi kwa
manufaa
ya watu wote.
Kumbuka watanzania walipokuwa
wanajenga
imani yao juu ya vyama vya upinzani na UKAWA sasa
hawakuwa wanajenga imani yao juu ya bendera za
vyama au
magwanda wanayovaa. Ni ahadi
zilizokuwa zinaonyesha
kutambuliwa kwa
matatizo yao. naongelea hayo yaliyosemwa na
UKAWA.
Kama ni mfumo CCM imeonekana
kuufumua
ndiyo maana ikamtema Lowasa.
Watanzania wanataka mabadiliko.
Wakiyakosa
ndani ya CCM watayapata nje. S\asa CCM
imefanya kazi kubwa. Imefumua mfumo kwa kuanza kuwatema
akina Lowasa.
Nawaza kuwa
huenda
wakayafurahia mabadiliko kwa
sababu hawana chuki na CCM
ila mfumo.
Mfumo ilioanza kuufumua.
Nisaidie
John kunielewesha zaidi.
--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] Lowassa apigwa
shinikizo kali
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:10 PM
najaribu
kuchangia hoja ya comments
za Muhingo na Mollel, kwa
mtazamo
wangu hili halina shida kwenye
siasa. lazima tukubali kwenda
na
mabadiliko. upepo wa
siasa ndiko huko unakoelekea, lakini
pia
tujifunze na siasa za nchi nyingine.
wakati
Kibaki
alipohama KANU Alisingiziwa
ni fisadi lakini akashinda
uraisi, na
tunaona siasa za kenya
zilivyobadilika baada ya
changamoto za
upinzani. maendeleo pia
yamepatikana. Ugomvi wa ufisadi nchini sio wa
mtu, ni
tatizo la kimfumo.
watu wengi
hamtaki kelewa hili. Kwa hiyo
tatizo sio
Lowasa tatizo ni
mfumo wa chama alichokuwapo
kabla ya
kuingia UKAWA. kama alikua ni fisadi
kwa
nini hadi
leo hakuna hatua zozote
zilizochukuliwa dhidi yake? sasa
basi kama
lowasa anahamia
UKAWA ataendana na mfumo na sera
za UKAWA
ambazo zinagiga vita ufisadi wa
kimfumo sio
wa mtu
mojamoja ili kuleta
ustawi kwa watanzania. lengo ni
kuleta
mabadiliko ya siasa
nchini kwa hiyo kama lengo la
UKAWA ni
kushika dola njia iliyotumika ni
sahihi.
The ends
justify the means. Ndugu
Muhingo inabidi upanue fikra
kuendena na
hali halisi ya
siasa na kuelewa hasa maana ya
mageuzi.wasalaamJohn
On Tuesday, July 28,
2015 9:55 AM, fadhil fadhil
<fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Muhingo nakubaliana na
wewe
hata siku moja haki
haichanganyani batili ukawa
tuliipenda
lakini mafisadi wameipenda
zaidi
On Jul 28, 2015 10:00 AM,
"'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
anzania
ina
mascientist wa ajabu.
aweza kujaribu kumhamisha Sangara
kutoka
ziwa kubwa kama Victoria na kumuweka
katika
bwawa la
kuchimbwa na kutarajia humo
aishi na kuzaa sana. Kuna
wanaojua kuwa
Sangara akishaona jua basi.
haishi zaidi ya
masaa.
Sasa tusubiri tuone wanasayansi hawa. Waliambiwa
Lowasa hawezi kuteuliwa na CCM
kupeperusha
bendera yake
kuwania urais. Wakabisha mpaka
wengine
kuapa kuwa
asipoteuliwa wafe.
Wengine wakasema wanaoona kichefuchefu
wale
limau. Ikatokea. Sasa
wanadhani CCM iliyomkataa
itamruhusu
auchukue urahisi kupitia mabwawa ya
kuchimbwa.
Nani kasema. Toka lini moja
kwon
geza moja ikazaa sita?
Hesabu nyingine
mbona
rahisi. Jamani Watanzania wamechoka
kubahatisha. Wamebahatisha ndani ya CCM
wakafika mahala
wakaamua hawatabahatisha
tena. Tumaini
lilikuwa UKAWA. CCM
ikaona hilo. Najua kuwa
kama watanazania wakitaka
kubahatisha
tena
watabahatisha ndani ya CCM
inayoonekanas
kujua
watanzania wamechoka nini. Watanzania hawajaichoka
CCM. Wamezichoka sera
zao
za kuwavumilia mafisadi.
Haiwezekani
mafisadi
wakakaribishwa UKAWA ikatarajia kuwa
watanzania watasema sisi na ukawa. hapana.
Wakati CCM
inajipinda kuwatimua
mafisadi
UKAWA inadhani itaendelea kuwa
UKAWA na
mafisadi hao. Kifo
cha UKAWA hakiwezi kuleta
kishindo kama
cha CCM. Hapana. Madereva
tunajua.
Ukikanyaga
kuku wala gari
haliyumbi. UKAWA inakufa
--------------------------------------------
On Sun, 7/26/15,
'mpombe
mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] Lowassa apigwa
shinikizo kali
To:
"ELISA MUHINGO' via
Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, July
26,
2015, 7:11 AM
Kwa
ufupi
Washirika wake wataka
maamuzi sasa, Mkewe, Rostam Aziz
wadaiwa
kumzuia.
Shinikizo
dhidi ya Waziri Mkuu wa
zamani, Edward Lowassa, la
kumtaka
akihame
Chama
Cha
Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka
na
katika timu
yake ya
ndani ni watu wawili
tu
wanaonekana kumtaka abakie
ndani ya
chama hicho.
Habari
za ndani ya vikao vya kujadili hatua
za
kuchukuliwa
na
Lowassa baada ya
jina lake kukatwa
kwenye mchakato wa
kugombea urais
kupitia
CCM,
zinasema kuwa wandani wake wanaamini
kuwa hana
atakachopata
kama
ataendelea kubaki kwenye
chama hicho
tawala.
"Kaka
sikiliza,
inavyoelekea shinikizo dhidi ya Lowassa ni
kubwa
sana. Watu
wake wa ndani wanataka
aondoke CCM. Wanaona kama
amedhalilishwa
mno,"
kilisema
chanzo chetu ndani ya vikao
hivyo.
Chanzo
hicho kilichoomba
kutokutajwa jina kwa sasa, kilisema
kuwa
watu
wake wa
ndani
wanaamini Lowassa akiendelea
kubaki CCM
atakuwa
amewavunja
moyo
wale wote
waliompigania, hasa vijana
waliojaa
matumaini ya
kumuona
akiongoza taifa
hili.
Wandani
wa Lowassa wanaamini kuwa kama akiamua
kujiunga na
chama
chenye nguvu
cha upinzani anaweza
kutimiza ndoto yake
ya
kuwatumikia
Watanzania kama
rais wa awamu ya tano.
Chanzo
chetu kinasema kuwa
Lowassa mwenyewe amekwisha
kuamua
kufanya uamuzi
mgumu,
ila kuna msuguano juu ya namna ya
kuondoka
CCM.
Taarifa
zaidi
zinasema kuwa watu wawili katika timu ya
ndani
ya
Lowassa ndio
wanaelekea kuwa na mawazo tofauti. Hawa ni Rostam
Aziz,
mwanasiasa na
mfanyabiashara mashuhuri
nchini na mtu mwingine
anayetofautiana na
mkakati huu mpya wa
kung'oka CCM ni mkewe, Mama
Regina
Lowassa.
Chanzo
chetu kinasema kuwa wawili hao wanaamini
mapigo
ambayo
Lowassa
amekumbana
nayo ni
mengi na yanatosha, kwa maana
hiyo
ingefaa tu
apumzike.
"Sijui
ni kwa nini RA (Rostam Aziz) anakuwa
skeptical
(shaka). Si
unakumbuka
ndiye aliyesema
amechoshwa na siasa
uchwara... sasa
sijui
kwa nini
anapunguza makali," chanzo
kilisema.
Hata
hivyo,
vyanzo vyetu
vinaongeza kuwa pamoja na
upinzani huo
Lowassa
anadaiwa kuwa amekwisha kuamua na
kinachosubiriwa sasa
ni
muda
tu wa
kutamka
anakokwenda.
Wakati
hali ikiwa hivyo ndani ya kambi ya Lowassa,
kuna
taarifa za
kuaminika
kuwa
kumekuwa na mashauriano baina ya watu wake na
viongozi
waandamizi
wa kambi
ya upinzani juu ya mwelekeo wake wa
kisiasa.
Mwandani
mwingine
katika kambi ya
Lowassa alisema kimsingi
yeye
(Lowassa)
amekwisha kuamua,
anachofanya ni kuona kwamba watu
wake wa
karibu
hawadhuriki na uamuzi wake huo.
Chanzo
hicho
kiliiambia NIPASHE kuwa wenye
msimamo
mkali
katika
kambi ya
Lowassa wanaamini utabiri
wa Baba wa Taifa Mwalimu
Nyerere
kuwa
upinzani
utatoka ndani ya CCM utatimia mwaka
huu.
"Mnakumbuka ya Mrema
(Augustino) alipoondoka CCM siasa za
Tanzania
zilibadilika
mpaka leo? Sasa safari
hii ni
zaidi,"
alisema.
Takriban
wiki mbili sasa,
Lowassa amekuwa na jambo
kubwa moyoni analitaka
kuwaambia
Watanzania.
Mara
ya kwanza
alikuwa afanye
mkutano na waandishi wa
habari
Julai 13 mwaka
huu mjini Dodoma majira ya
asubuhi, lakini mkutano
huo
ukahamishiwa
Dar
es Salaam
ambako pia
ukaahirishwa kwa muda
usiojulikana.
Tangu wakati huo
kumekuwa
na tetesi kuwa
alikuwa
atangaze kujiondoa
CCM.
Lowassa
ni miongoni
mwa makada
38 waliojitosa kuwania
kuteuliwa
kuwa
wagombea
wa nafasi ya
urais wa CCM
katika uchaguzi mkuu
utakaofanyika
Oktoba
25,
mwaka huu. Hata
hivyo,
jina lake halikuwamo katika
orodha
ya
makada
watano
waliopitishwa
kwenye vikao vya juu vya
chama
hicho
ambavyo
mwishowe vilimteua John Pombe
Magufuli
kuwa mgombea
urais
atakayekabiliana na wagombea wa upinzani
katika
uchaguzi
mkuu huo.
CHANZO:
NIPASHE
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for
any
legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts
must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are
subscribed
to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from
it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree
to this
disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree
to this
disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are
subscribed to the
Google
Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment