Wednesday 29 July 2015

Re: [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na mambo yafuatayo...

Umeonaeee
Mama tulivyokua tunasimama sisi kidete,watu binafsi wamenishambukia sana humu ila kwa kua nilikua nafaham na ndio maana skua na woga kusimama mbele yenu humu ktk jukwaa hili kusema hapana'lowasa is clean,si fisadi,hajaiba chochote cha watanzania jamani,ila jamaa alimchomokea na ndio hiyo dhamba ishaanza kumatfuna pole pole na chamba chakee'analia machozi ya moyoni,
Muhimu tusiwe waoga kutetea haki zetu pale unapogundua ,lowasa ndie ataketutoa na si mwingine nawaambia ndg zangu kila siku naimba humu....ona kaka ngupula nilimwambia aachane na kina nchemba very corrupt guys wasio amini wanachokihubiri na kumaanisha hv sasa wako mbele za pccb kwa kutoa rushwa na majigambo yoote yale
Jamani lowasa ndie tiba mbdala kwa sasa
Peeeoples
Nna kundi langu la watu 200 friends of lowasa wote leo ni wana chadema na atakaetaka kujoin karibu sana ila hua tunajadili na kujenga home thru watsaap 0652314181
Karibuni tuimarishe ukawa
Tusipotumia vzr makosa haya ya ccm bhaaas itatuchukua miaa 20 kushika dola
Lesian

'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Fadhili,
>Nimesikiliza Lowassa kwenye you tube tuliyowekewa humu mtandaoni akiulizwa maswali na kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu miaka minane iliyopita. Kulingana na majibu aliyoyatoa hata mimi kama mwanahabari niliwahi kumwita fisadi kwa sababu ya kashfa ya Richmond. Lakini kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri ni dhambi maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya kusikia upande wake mimi kwa upand e wangu namuomba radhi.
>
>Kumbe kinara wa Richmond alikuwa bosi wake. Lo! Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za Mwakwenye hakikumweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa lakini kwa unyenyekevu Lowassa akajiuzulu kunusuru serikali nzima isianguke. Mungu mwema miaka minane baadaye ukweli kamili wa Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli, Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe na Mzee Mwinyi peke yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji kutokana na nafasi zenu na siyo kosa mlilolitenda. Viongozi wengine mpaka umma upige kelele sana ndo wajibaraguze kujiuzulu.
>
>
>Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>--------------------------------------------
>On Wed, 7/29/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na mambo yafuatayo...
> To: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, July 29, 2015, 8:03 PM
>
> mama Nkya
> lakini Lowasa hajakiri wala hajaomba kusamehewa isipokuwa
> yeye kafata urais tu, kama naongopa mnyime nafasi ya
> kugombea urais Muone kama atabakia na ndio maana alitoa
> masharti kabla ya kuhamia ili yasimkute ya kina Shibuda
>
> 2015-07-29 18:18 GMT+03:00
> 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Aliyekuwa
> kundi la waovu, akiondoka huko na kukiri asamehewe na 
> asaidie nchi kusambaratisha kundi hilo la waovu nchi ipone.
> Woga wa mabadiliko ndiye adui mkubwa wa maendeleo ya nchi
> yetu.
>
> Ananilea Nkya
>
>  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>
>
> --------------------------------------------
>
> On Wed, 7/29/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae
> kukabiliana na mambo yafuatayo...
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>  Date: Wednesday, July 29, 2015, 11:20 AM
>
>
>
>  CHADEMA ininusurika
>
>  itakuwa chama kikubwa cha upinzani. Haiwezi tena kuvuka
>
>  mstari huo. Acha maumivu ndani ya chama ila pia
> imewaumiza
>
>  watanzania waliokiona kama chama tawala kitarajiwa.
> Kitendo
>
>  cha kukiri kuwa hakikuwa na mgombea urais bali
> kilisubiri
>
>  atakayetemwa na CCM basi watanzania watataka kuiona
> CHADEMA
>
>  mpya isiyoongozwa na waliotamka upuuzi jana.
> Itapatikana
>
>  wakijiuzulu au wakifukuzwa. Nimesema Ikinusulika.
> Uwezekano
>
>  wa kupolomoka kama NCCR Mageuzi au TLP ni mkubwa.
> Wakiweza
>
>  kubadili na kumpata mgombea urais wa ndani majeraha
>
>  yatapungua.
>
>  --------------------------------------------
>
>  On Wed, 7/29/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
>
>  wrote:
>
>
>
>   Subject:
>
>  [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na
> mambo
>
>  yafuatayo...
>
>   To: "'Hildegarda
>
>  Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
>   Date: Wednesday, July 29, 2015, 9:53 AM
>
>
>
>
>
>
>
>   CHADEMA lazima ijiandae
>
>
>
>  kukabiliana na mambo yafuatayo...
>
>
>
>
>
>   Hata kabla ya kuja kwa
>
>   Lowasa ndani ya CHADEMA kulikuwa kumeanza
>
>   kuonyesha dalili mbaya sana;
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   Mosi,
>
>  katika kura za maoni; kuna malalamiko mengi sana ya
>
>   kujihusisha na rushwa
>
>   kwa
>
>  baadhi ya wagombea wa ubunge. Changamoto kubwa ni
> kwamba
>
>   ushahidi wa rushwa
>
>   ni mgumu
>
>  mno kuuthibitisha. Ikumbukwe kuwa hata ndani ya CCM
>
>   kulianza na
>
>   minong'ono ya
>
>  rushwa kutoka kwa watu wa kawaida lakini
>
>
>
>  viongozi wakawa wanaziba
>
>   masikio kwa pamba
>
>  leo hii rushwa inakitesa chama cha
>
>
>
>  mapinduzi.
>
>
>
>
>
>
>
>   Pili, kuna baadhi ya makada
>
>  waliotoka CCM na hata wale
>
>   waliokuwepo
>
>  ndani ya
>
>   chama wamebadili kabisa njia ya
>
>  ushindini, kwani kwa sasa
>
>   njia
>
>  wanayoiamini
>
>   sana ni kutoa rushwa, wengi
>
>  wao wameshinda kura za maoni
>
>   ndani ya
>
>  CHADEMA, na
>
>   wengine ndani ya Chadema
>
>  wanaamini katika ushindani wa hoja
>
>   tu na si
>
>  rushwa
>
>   hawa ni wachache sana na nafasi yao
>
>  kwa sasa ndani ya chama
>
>   inafifia sana
>
>  tena
>
>   mno kwa sababu nguvu ya PESA kwa sasa
>
>  ndani ya CHADEMA
>
>   imeingia kwa kasi.
>
>
>
>
>
>
>
>   Tatu, Hatari nyingine ninayoiona ndani ya
>
>  chama ni kupenda
>
>   mno vitu vya
>
>   Uliberali kuliko vya Kijamaa. CHADEMA inaamini
>
>  katika Mrengo
>
>   wa kati yaani mazuri
>
>   ya Ujamaaa na ya Uliberali. Mimi naona chama
>
>  kimeegemea sana
>
>   kwa sasa kwenye
>
>   Uliberali wakati kimefika hapa kilimo leo kwa
>
>  sababu ya
>
>   kuegemea sana kwenye
>
>   Ujamaa wa Kisasa. Bila kurudi kwenye Ujamaa wa
>
>  kisasa naona
>
>   hatari sana ndani
>
>   ya chama.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   Nne, Ujio wa Lowasa una
>
>  faida na hasara. Mosi, endapo kundi
>
>   la
>
>  Lowasa litaanza
>
>   kuwanyang'anya makada
>
>  wa CHADEMA nafasi walizonazo kwa
>
>   kisingizio
>
>  kuwa hawana
>
>   hela za kufanya siasa ndani ya
>
>  chama, kuna hatari sana ya
>
>   CHADEMA
>
>  kukabiliana
>
>   na upinzani mkubwa ndani ya
>
>  chama kuliko wakati wowote ule.
>
>   Pili, Kuna
>
>  kundi
>
>   kubwa bado lina mini katika Dr. Slaa
>
>  nalo linatakiwa baadae
>
>   lipewe maelezo ya
>
>   kutosha kabisa kuwa kwa nini Dr. Slaa
>
>  asigombee URAIS.
>
>   Hasara yake nayo iko
>
>   kwenye kuaminisha Watanzania kuwa ni fisadi na
>
>  kwa sasa
>
>   kuwashawishi kuwa
>
>
>
>  Lowasa si fisadi hili jambo litaitesa sana CHADEMA.
>
>
>
>
>
>
>
>   Tano, shutuma za ufisadi kama silaha kubwa ya
>
>  CHADEMA lazima
>
>   wataalam wa siasa
>
>   ndani ya chama wajiandae kuja na hoja zenye
>
>  mashiko ili
>
>   kuendeleza neno hili
>
>   ambalo limeonekana kwa muda mrefu kama nguzo
>
>  ya CHADEMA.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   --
>
>
>
>   Send
>
>  Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>    
>
>
>
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>
>
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya
>
>   kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>    
>
>
>
>   Disclaimer:
>
>
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
>
>  responsibility
>
>   for any legal consequences
>
>  of his or her postings, and hence
>
>
>
>  statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
>   continued membership signifies that you agree
>
>  to this
>
>   disclaimer and pledge to abide by
>
>  our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>
>  ---
>
>
>
>   You received this
>
>  message because you are subscribed to the
>
>
>
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>
>
>   To unsubscribe from this group and stop
>
>  receiving emails
>
>   from it, send an email to
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>   For more options, visit
>
>  https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>  --
>
>  Send
>
>  Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>  Everyone posting to
>
>  this Forum bears the sole responsibility for any legal
>
>  consequences of his or her postings, and hence
> statements
>
>  and facts must be presented responsibly. Your continued
>
>  membership signifies that you agree to this disclaimer
> and
>
>  pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>  ---
>
>  You received this message
>
>  because you are subscribed to the Google Groups
>
>  "Wanabidii" group.
>
>  To unsubscribe
>
>  from this group and stop receiving emails from it, send
> an
>
>  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  For more options, visit
>
>  https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment