Thursday 30 July 2015

Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Lakni piadugDomilitajika s iunikatineno ya taarifa ya tume yakiwa mabichi kwenye kumbukumbu zetu. Kutoyasema pale na badala yake kutumia muda mwingi kusema mengine. na kuja kuyasema wakati wasemaji wengine hawapo haileti mantiki mno. Nadhani Liwasa alimwamini sana aliyepiga simu tena sio mbele yake. Tukimuuliza kama alijuaje kuwa alimdanganya atasemaje? Ninaweza kuelewa kama Mwanasheria mkuu angekuwa juu ya PM ki mamlaka maana aliambiwa yeye PM kwamba mkataba usivunjwe. Aliyeacha kuuvunja siye aliyeleta habari toka ofisi za juu Anawajibika kwa kutoujnja baada ya kuambiwa na mtu wa chini yake. Hakuna uwongo hapo???????????
--------------------------------------------
On Thu, 7/30/15, 'Domilia C' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, July 30, 2015, 7:22 AM

Kila
anayetubu kwa dhati husamehewa Nkya. Lakini uwe mwangalifu
na siasa. Umesikiliza upande mmoja tu kwamba EL alipewa amri
ya simu, kutoka juu, kupitia kwa Katibu Mkuu kwamba mkataba
usivunjwe. Haingii akilini katika taratibu za utawala
kupokea maagizo na kutekeleza katika mtiririko huu! Agizo
haliendi hivyo, na mimi binafsi siwezi kutekeleza agizo la
jinsi hii. Je anayesemekana alitoa agizo akisema hajawahi
kupiga simu kuzuia kuvunja mkataba? Na hii inawezekana sana
katika hali ya mambo sasa hivi - kurukana! Nani atakuwa
mkweli? Ni kupakana matope, tupate upande mwingine wa
shilingi, kwamba ni kweli lilikuwa agizo? Kwa nini EL haku
test authenticity ya agizo hilo? Unaridhika na
maelezo/maagizo ya subordinate wako? 
Please

From: 'ananilea
nkya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: WANA BIDII
<wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, July
29, 2015 4:43 PM
Subject: [wanabidii]
TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI



Nimemsikiliza Edward 
Lowassa  kwenye you tube tuliyowekewa humu jukwaani
akiulizwa maswali na wanahabari kuhusu kashfa ya Richmond
iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu miaka minane iliyopita.
Kulingana na  majibu aliyoyatoa hata mimi kama mwanahabari
niliwahi kumwita fisadi kwa sababu ya  kashfa hiyo. Lakini
kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri nilifanya dhambi
maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya
kusikia upande wake mimi kwa upande wangu namuomba radhi.
 
Kumbe kinara wa  kashfa ya
Richmond alikuwa bosi wake. Lo!  Sasa inaingia akilini ni
kwa nini TOR za Mwakyembe hakikumuweka Lowassa kama sample
ya kuhojiwa kashfa ya Richmond ilipotokea. Lakini kwa
unyenyekevu Lowassa alijiuzulu kuinusuru serikali nzima 
isianguke. Mungu mwema miaka minane  baadaye ukweli kamili
wa Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli Lowassa,
Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe  na Mzee Mwinyi peke
yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji kutokana
na nafasi zenu na siyo kosa mlilolitenda  ninyi wenyewe.
Viongozi wengine mpaka umma upige kelele sana ndipo
wajibaraguze kujiuzulu mfano kashfa ya escrow 2014. Sasa
ninaelewa ni kwa nini baadhi ya watu wana hofu baada ya
LOwassa  kukubaliwa na UKAWA kuwa mgombea Urais.

Namshukuru sana aliyetuwekea
hii you-tube huku jukwaani maana baadhi yetu ambao hatuko
site tungeweza kuendelea kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia
habari nusu nusu tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya
Richmond.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment