Fadhil,
Hujasikia kauli za viongozi wa Chadema kuhusu mazungumzo yao na Lowassa kabla ya kumpokea?
em
Sent from my iPhone
mama Nkya lakini Lowasa hajakiri wala hajaomba kusamehewa isipokuwa yeye kafata urais tu, kama naongopa mnyime nafasi ya kugombea urais Muone kama atabakia na ndio maana alitoa masharti kabla ya kuhamia ili yasimkute ya kina Shibuda--2015-07-29 18:18 GMT+03:00 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Aliyekuwa kundi la waovu, akiondoka huko na kukiri asamehewe na asaidie nchi kusambaratisha kundi hilo la waovu nchi ipone. Woga wa mabadiliko ndiye adui mkubwa wa maendeleo ya nchi yetu.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 7/29/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na mambo yafuatayo...
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, July 29, 2015, 11:20 AM
CHADEMA ininusurika
itakuwa chama kikubwa cha upinzani. Haiwezi tena kuvuka
mstari huo. Acha maumivu ndani ya chama ila pia imewaumiza
watanzania waliokiona kama chama tawala kitarajiwa. Kitendo
cha kukiri kuwa hakikuwa na mgombea urais bali kilisubiri
atakayetemwa na CCM basi watanzania watataka kuiona CHADEMA
mpya isiyoongozwa na waliotamka upuuzi jana. Itapatikana
wakijiuzulu au wakifukuzwa. Nimesema Ikinusulika. Uwezekano
wa kupolomoka kama NCCR Mageuzi au TLP ni mkubwa. Wakiweza
kubadili na kumpata mgombea urais wa ndani majeraha
yatapungua.
--------------------------------------------
On Wed, 7/29/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Subject:
[wanabidii] CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na mambo
yafuatayo...
To: "'Hildegarda
Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 29, 2015, 9:53 AM
CHADEMA lazima ijiandae
kukabiliana na mambo yafuatayo...
Hata kabla ya kuja kwa
Lowasa ndani ya CHADEMA kulikuwa kumeanza
kuonyesha dalili mbaya sana;
Mosi,
katika kura za maoni; kuna malalamiko mengi sana ya
kujihusisha na rushwa
kwa
baadhi ya wagombea wa ubunge. Changamoto kubwa ni kwamba
ushahidi wa rushwa
ni mgumu
mno kuuthibitisha. Ikumbukwe kuwa hata ndani ya CCM
kulianza na
minong'ono ya
rushwa kutoka kwa watu wa kawaida lakini
viongozi wakawa wanaziba
masikio kwa pamba
leo hii rushwa inakitesa chama cha
mapinduzi.
Pili, kuna baadhi ya makada
waliotoka CCM na hata wale
waliokuwepo
ndani ya
chama wamebadili kabisa njia ya
ushindini, kwani kwa sasa
njia
wanayoiamini
sana ni kutoa rushwa, wengi
wao wameshinda kura za maoni
ndani ya
CHADEMA, na
wengine ndani ya Chadema
wanaamini katika ushindani wa hoja
tu na si
rushwa
hawa ni wachache sana na nafasi yao
kwa sasa ndani ya chama
inafifia sana
tena
mno kwa sababu nguvu ya PESA kwa sasa
ndani ya CHADEMA
imeingia kwa kasi.
Tatu, Hatari nyingine ninayoiona ndani ya
chama ni kupenda
mno vitu vya
Uliberali kuliko vya Kijamaa. CHADEMA inaamini
katika Mrengo
wa kati yaani mazuri
ya Ujamaaa na ya Uliberali. Mimi naona chama
kimeegemea sana
kwa sasa kwenye
Uliberali wakati kimefika hapa kilimo leo kwa
sababu ya
kuegemea sana kwenye
Ujamaa wa Kisasa. Bila kurudi kwenye Ujamaa wa
kisasa naona
hatari sana ndani
ya chama.
Nne, Ujio wa Lowasa una
faida na hasara. Mosi, endapo kundi
la
Lowasa litaanza
kuwanyang'anya makada
wa CHADEMA nafasi walizonazo kwa
kisingizio
kuwa hawana
hela za kufanya siasa ndani ya
chama, kuna hatari sana ya
CHADEMA
kukabiliana
na upinzani mkubwa ndani ya
chama kuliko wakati wowote ule.
Pili, Kuna
kundi
kubwa bado lina mini katika Dr. Slaa
nalo linatakiwa baadae
lipewe maelezo ya
kutosha kabisa kuwa kwa nini Dr. Slaa
asigombee URAIS.
Hasara yake nayo iko
kwenye kuaminisha Watanzania kuwa ni fisadi na
kwa sasa
kuwashawishi kuwa
Lowasa si fisadi hili jambo litaitesa sana CHADEMA.
Tano, shutuma za ufisadi kama silaha kubwa ya
CHADEMA lazima
wataalam wa siasa
ndani ya chama wajiandae kuja na hoja zenye
mashiko ili
kuendeleza neno hili
ambalo limeonekana kwa muda mrefu kama nguzo
ya CHADEMA.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment