Friday, 31 July 2015

RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Ndugu Wanabidii,
Historia inaonesha kuwa vipindi fulani katika mstakhabali wa nchi unalazimisha kupima nini  ni janga zaidi ya jingine.  Marehemu Samora Machel na Frelimo walikubali kutia saini Mkataba wa Nkomati wa ushirikiano na Makaburu kama mkakati wa kujinusuru  na kutoa nafasi kukabiri janga kubwa kuliko zote wakati huo la kuondolewa serikali ya Frelimo na Renamo ikisaidiwa na Makaburu. Wakomunisti wa Afrika ya Kusini waliingia ubia na ANC ya mabweneyenye weusi ili kutokomeza kwanza ukaburu na mapambano na ubepari yaje baadaye. Katika Vita Kuu ya Dunia ya Pili wakomunisti walishirikiana na mabwenyenye wa mrengo wa kulia na kati kutokomeza janga kubwa zaidi wakati huo la ufashisti, yaani ubepari wa mrengo wa wa kulia kupitiliza.  Hivyo hivyo mapambano ya kuleta uhuru wa Tanganyika yalivyo unganisha nguvu za mabwenyenye wazungu na waasia pamoja na zile za wakulima na wafanyakazi wa rangi zote kwa azimio lile la mkutano wa mkuu wa Tanu wa 1958 pale Tabora. Hivyo hivyo Mandela na ANC waliingia "urafiki wa mashaka" na De Clerk kiongozi wamakaburu ili kuondolewa ukaburu kuwe kwa amani ya "kula matapishi" ya kuwalaani huko nyuma kuwa ni wabaya wa Mwaafrika!!

Mabadiriko ya haraka haraka yanayoendelea hapa Tanzania yenye lengo la kuondoa CCM madarakani kama chama dola kinachodumaza na kudhoofisha ushindani wa kisiasa miongoni mwa mabwenyenye watabaka tawala Tanzania ni mbadiliko yatayoleta neema kwa Watanzania wote. Ile tu  CCM kudhoofishwa na kujiunga UKAWA kwa Lowasa ni kuvuja kwa pakacha ambayo  ni  nafuu ya mchukuzi.....Nikuondoa kizingiti kikuu cha kushamiri kwa demokrasia pana na maendeleo endelevu  Tanzania ambacho ni kuhodhiwa na ukiritimba wa  chama dola cha CCM  kinachojinadi kama chama cha mrengo wa kushoto wakati ni chama cha mrengo wa kulia kama vyama vyote vya siasa Tanzania kwa sasa.

Kumeguka kwa CCM-Mambo Leo  kama taasisi  ya kakundi kawana mtandao ulioingiza serikali ya sasa ya Tanzania madarakani mwaka 2005 ni faraja kwa wote wenye kuitakia mema nchi hii na ni kiashiria cha kukomaa kwa vuguvugu la ukombozi  wa pili wa Tanzania utakao chukua sura ya demokrasia zaidi ilikuwa na na maendeleo endelevu zaidi  yapatikane kupitia kupatikana nafasi  chanya zaidi ya kupitishwa kwa Katiba Mpya kama ilivyopendekezwa ndani ya Rasimu ya Pili ya Tume ya Rais iliyoongozwa na Jaji Warioba. Kwa mara ya kwanza vyama vy siasa vya upinzani kiuhalisia ( tofauti na vile ambavyo vimebebwa na watawala wa sasa kwa lengo la kuua upinzani wa kisiasa kijanja kijanja kama ACT- Wazalendo) sasa vimeunganishwa na kupigania Katiba Mpya  iliyotokana na maoni ya wananchi yaliyokusanywa na Tume ya Jaji Warioba  ( UKAWA) badala ya kuunganishwa na kutaka kuondoa CCM madarakani pekee.

Ghafla mwanasiasa mwenye nguvu nyingi ndani ya chama cha kifisadi cha  CCM, mwanasiasa ambaye umaaarufu wake umetokana na kuongoza mtandao uliouweka utawala wa sasa wa CCM madarakani, Ndugu Edward Lowasa, amekasirishwa na kukatwa jina lake na aliodhani ni rafiki zake ndani ya CCM na kuamua kusema basi na lolote liwe   kwa kujiunga  na vuguvugu la kupigania katiba mpya!! Naye sasa kang'amua kuwa Katiba ya sasa na ile Pendekezwa   ni za ovyo maana haziruhusu kuwepo  mgombea huru bila mizengwe. Hasira za Lowasa zimezaa tunda zuri la kug'amua  kuwa Watanzania wanaitaji mabadailiko kupitia Katiba Mpya iliyobebwa ndani ya Rasimu ya Pili ya Tume ya Rais iliyoongozwa na Jaji Warioba. Hasira hizi za mkizi ni furaha ya kunguru na ni  busara kwa viongozi wa Chadema  na UKAWA  kwa ujumla kutoongopa "kula matapishi yao" kwa kumkaribisha Ndugu Lowasa ...huyu huyu  waliomwita fisadi...  kujiunga na UKAWA na kugombea urais.  Nafasi ya kihistoria imejitokeza ya kukiondoa CCM madarakani kwa amani!!

Sishangai wasaliti wa vuguvugu la kukiondoa CCM madarakani wanatushauri sisi Watanzania wenye shauku ya kuutumia upenyo huu wa mpasuko ndani ya CCM kukiondoa CCM madaraka!!!Eti tuombe radi kwa" kula matapishi yetu" wote  tulio wahi kumwita Lowasa fisadi! Wao wanataka tuendelee kuvumilia kutawaliwa na CCM  labda kwa miaka mitano au zaidi hivi mpaka chama kipya cha watakatifu kiitwacho ACT-Wazalendo kitakapo kuwa tayari kututawala badala ya CCM!! Sishangai kusikia ushauri huu kutoka kwa wasaliti hawa ambao kazi yao hata huko nyuma imekuwa nikuudhoofisha upinzani dhidi ya CCM na kukisaidia CCM kiendeleee kuwa madarakani!! Hawa jamaa ni wasomi sana na ni wajanja sana, ilo lazima kulikiri!!!

Sitashanga kama haya ninayoyasema yatapigwa madogo na wasaliti hawa!! Historia itakapoandikwa baada ya UKAWA kupata viti vingi zaidi Bunge lijalo au hata kuuchua urais na kupata Katiba Mpya iliyobebwa ndani ya Rasimu ya Pili ya Tume ya Rais iliyoongozwa na Jaji Warioba itawapa hukumu yao stahiki, wajanja na welevu  hawa! Bila shaka wanaoomba UKAWA ishindwe kupata viti vingi Bunge lijalo na iukose urais na hivyo tuendelee kutawaliwa na CCM na wao wapate viti vya kutosha kuwa  viongozi wakuu  wa eti upinzani muruwa wenye maadili ya Azimio la Arusha Tanzania!! Ni haki yao ya binadamu kuendelea na matumaini haya kama na sisi  tulivyo na haki ya kuendelea na  matumani yetu ya uwezakano wa ushindi mnono chini ya UKAWA dhidi ya ukiritimba wa chama kimoja chama dola cha CCM!
Mwl. Lwaitama

Date: Fri, 31 Jul 2015 14:42:55 +0300
Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
From: kitilam00@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Sawa dadangu tupo pamoja na utanisamehe pale nilipokukwaza. Hata hivyo mashambulizi aliyotupiwa Lowassa na Dk Slaa hayakuhusu Richmond pekee. Tazama tena ili clip ya Arumeru. 

2015-07-31 13:59 GMT+03:00 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mwalimu wangu Kitila sijakuelewa unanilaumu kwa lipi. Maana kwenye hitimisho lako umeungana na mawazo yangu--kwamba kama ukweli wa kashfa ya Richmond ndio huo alioutoa Lowassa maana hakuna aliyejitokeza hadi sasa kukanusha alichokisema Lowassa, inabidi baadhi yetu tuliompaka kwamba ni fisadi wa Richmond kwa kutumia taarifa nunu nusu tulizopewa na ripoti ya Mwakyembe ambayo haikumhoji Luwassa, basi inapaswa tumuombe radhi. Kumbuka ukweli wa kashfa ya Richmond tumeupata  miaka minane baadaye--baada ya Lowassa kuchomoka kwenye mfumo wa utawala unaonufaisha wachache huku ukifukarisha wananchi walio wengi. Mimi naendelea kuomba Mungu mfumo uendelee kupasuka ili watawala watambue ni kwa nini wananchi  walipendekeza ile Rasimu ya Katiba ambayo CCM iliizika kisanii pale Dodoma. Laana ile ya kudharau wananchi haitaicha CCM  salama. Tusubiri.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Fri, 7/31/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Friday, July 31, 2015, 9:35 AM

 Kitila,Hivi
 kutubu maana yake nini? Zitto alimaanisha nini
 alipomkaribisha Lowassa ACT ili mradi ataje mali zake?
 Unafiki ni part and parcel of
 politics.em
 Sent from
 my iPhone
 On Jul 31,
 2015, at 2:37 AM, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
 wrote:

 This is what we call flip
 flopping or dithering au kwa Kiswahili rahisi UNAFIKI!
  
 Eti vyama vya siasa siku
 hizi ni sehemu ya watu kutubu? Hii nayo anaunga mkono dada
 Nkya? Yaani dada nilijua ushabiki umekukaba lakini sikujua
 kama utashuka kwa kiwango hiki! Hata hivyo, lazima
 nikuhurumie angalau kidogo,  lazima useme hivyo utafanyeje
 tena kwa sababu wewe ni moja ya watu mlioaminishwa kwamba
 hawa watu ni malaika na kila mtu asiyekubaliana nao ni
 shetani!! Mkakubali na kukumbatia kika upuuzi waliwaletea na
 kuutembeza barabarani. Lazima sasa mle matamishi yenu,
 hakuna namna! 
 Hii
 itukumbushe kwamba Siasa za maji taka hazina mwisho mzuri.
 Watu badala kuhubiri sera mchana - usiku kutwa wanatukana
 watu na kujivika umalaika. Liwe fundisho kwetu sote. Chuki
 na siasa za maji taka mbaya. Nasi tunaojiita
 'neutral' tujifunze kuona uzuri na ubaya wa pande
 zote. Haiwezekani ubaya ukawa sehemu A lakini ukihamia
 upande B ghafla unakuwa mzuri. Mantiki inakataa. Again,
 hakuna namna ya kulielezea hili zaidi ya UNAFIKI
 tu! 
 So, nakubaliana
 kabisa na mtoa hoja kwamba ni uungwana tu kwa watu
 waliotembea barabarani nchi nzima kumtukana EL wakamuomba
 msamaha kabla hawajaanza tena kumtembeza barabarani kama
 mgombea. 
 Vinginevyo mie napongeza ujasiri wa
 EL wa kushinda majaribu na kuhamia upinzani. Napongeza
 ujasiri wa CHADEMA wa kuwa na roho ngumu na kutoa uso wa
 soni. Nampongeza JK kwa ujasiri wake wa kukata jina la EL
 kibabe na kichuki, jambo ambalo litaisaidia Tanzania kuwa na
 ushindani wa kweli wa kisiasa katika mfumo wa vyama
 vingi. 
 Kila jambo
 lina upande wake mwema. 
 Kitila

 2015-07-29 9:04 GMT+03:00
 emmbaga <emmbaga@hotmail.com>:

 Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake bado.
 lakini alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe labda
 angejitetea kipindi kile tungemwelewa labda lkin sasa
 anatumia advantage ya Baba wa Taifa hatunae tena!!!  
 mizimu itazungumza.
 Ernest

 Sent from Samsung
 mobile

 fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 Ernest

 Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona mlimtakasa
 Kikwete mnamkataa Lowassa?

 Fatma

 Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
 Tanzania.

 From: Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>

 Sender: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000
 To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
 ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com

 Subject: RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA
 FISADI TUMUOMBE RADHI

 Tuache  unafiki,  Baba  wa  taifa 
 alimkataa  Lowassa   hata  mambo  ya  Richmond 
 hayakuwepo,  nae  Lowassa  hajawahi  kanusha chochote 
 alichosema  baba  wa   taifa  marehemu Mwalimu Julius 
 Nyerere,   leo  hii  we  Mama  unasema  aombwe 
 radhi 
  !!!! duuu  kweli  hizi  njaa    zinapoteza  hata 
 utu  wa  mtu. 

 ernest

 Date: Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000

 From: wanabidii@googlegroups.com

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE
 RADHI

 Kila anayetubu kwa dhati husamehewa
 Nkya. Lakini uwe mwangalifu na siasa. Umesikiliza upande
 mmoja tu kwamba EL alipewa amri ya simu, kutoka juu, kupitia
  kwa Katibu Mkuu kwamba mkataba usivunjwe. Haingii akilini
 katika taratibu za utawala kupokea maagizo na kutekeleza
 katika mtiririko huu! Agizo haliendi hivyo, na mimi binafsi
 siwezi kutekeleza agizo la jinsi hii. Je anayesemekana
 alitoa agizo akisema hajawahi
  kupiga simu kuzuia kuvunja mkataba? Na hii inawezekana sana
 katika hali ya mambo sasa hivi - kurukana! Nani atakuwa
 mkweli? Ni kupakana matope, tupate upande mwingine wa
 shilingi, kwamba ni kweli lilikuwa agizo? Kwa nini EL haku
 test authenticity ya agizo
  hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya subordinate
 wako? 

 Please

 From: 'ananilea
 nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

 To: mabadilikotanzania@googlegroups.com

 Cc: WANA BIDII
 <wanabidii@googlegroups.com>

 Sent:
 Wednesday, July 29, 2015 4:43 PM

 Subject:
 [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

 Nimemsikiliza Edward  Lowassa  kwenye you tube
 tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa maswali na wanahabari
 kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu
 miaka minane iliyopita. Kulingana na  majibu aliyoyatoa
 hata mimi kama mwanahabari niliwahi
  kumwita fisadi kwa sababu ya  kashfa hiyo. Lakini
 kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri nilifanya dhambi
 maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya
 kusikia upande wake mimi kwa upande wangu namuomba radhi.

 Kumbe kinara wa  kashfa ya Richmond alikuwa bosi wake.
 Lo!  Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za Mwakyembe
 hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa kashfa ya
 Richmond ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu Lowassa
 alijiuzulu kuinusuru serikali nzima  isianguke.
  Mungu mwema miaka minane  baadaye ukweli kamili wa
 Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli Lowassa,
 Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe  na Mzee Mwinyi peke
 yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji kutokana
 na nafasi zenu na siyo kosa
  mlilolitenda  ninyi wenyewe. Viongozi wengine mpaka umma
 upige kelele sana ndipo wajibaraguze kujiuzulu mfano kashfa
 ya escrow 2014. Sasa ninaelewa ni kwa nini baadhi ya watu
 wana hofu baada ya LOwassa  kukubaliwa na UKAWA kuwa
 mgombea Urais.

 Namshukuru sana aliyetuwekea hii you-tube huku jukwaani
 maana baadhi yetu ambao hatuko site tungeweza kuendelea
 kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia habari nusu nusu
 tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya Richmond.

 Ananilea Nkya

  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to
  abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment