Friday 31 July 2015

Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Mwalimu wangu Kitila sijakuelewa unanilaumu kwa lipi. Maana kwenye hitimisho lako umeungana na mawazo yangu--kwamba kama ukweli wa kashfa ya Richmond ndio huo alioutoa Lowassa maana hakuna aliyejitokeza hadi sasa kukanusha alichokisema Lowassa, inabidi baadhi yetu tuliompaka kwamba ni fisadi wa Richmond kwa kutumia taarifa nunu nusu tulizopewa na ripoti ya Mwakyembe ambayo haikumhoji Luwassa, basi inapaswa tumuombe radhi. Kumbuka ukweli wa kashfa ya Richmond tumeupata miaka minane baadaye--baada ya Lowassa kuchomoka kwenye mfumo wa utawala unaonufaisha wachache huku ukifukarisha wananchi walio wengi. Mimi naendelea kuomba Mungu mfumo uendelee kupasuka ili watawala watambue ni kwa nini wananchi walipendekeza ile Rasimu ya Katiba ambayo CCM iliizika kisanii pale Dodoma. Laana ile ya kudharau wananchi haitaicha CCM salama. Tusubiri.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Fri, 7/31/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, July 31, 2015, 9:35 AM

Kitila,Hivi
kutubu maana yake nini? Zitto alimaanisha nini
alipomkaribisha Lowassa ACT ili mradi ataje mali zake?
Unafiki ni part and parcel of
politics.em
Sent from
my iPhone
On Jul 31,
2015, at 2:37 AM, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
wrote:

This is what we call flip
flopping or dithering au kwa Kiswahili rahisi UNAFIKI!
 
Eti vyama vya siasa siku
hizi ni sehemu ya watu kutubu? Hii nayo anaunga mkono dada
Nkya? Yaani dada nilijua ushabiki umekukaba lakini sikujua
kama utashuka kwa kiwango hiki! Hata hivyo, lazima
nikuhurumie angalau kidogo,  lazima useme hivyo utafanyeje
tena kwa sababu wewe ni moja ya watu mlioaminishwa kwamba
hawa watu ni malaika na kila mtu asiyekubaliana nao ni
shetani!! Mkakubali na kukumbatia kika upuuzi waliwaletea na
kuutembeza barabarani. Lazima sasa mle matamishi yenu,
hakuna namna! 
Hii
itukumbushe kwamba Siasa za maji taka hazina mwisho mzuri.
Watu badala kuhubiri sera mchana - usiku kutwa wanatukana
watu na kujivika umalaika. Liwe fundisho kwetu sote. Chuki
na siasa za maji taka mbaya. Nasi tunaojiita
'neutral' tujifunze kuona uzuri na ubaya wa pande
zote. Haiwezekani ubaya ukawa sehemu A lakini ukihamia
upande B ghafla unakuwa mzuri. Mantiki inakataa. Again,
hakuna namna ya kulielezea hili zaidi ya UNAFIKI
tu! 
So, nakubaliana
kabisa na mtoa hoja kwamba ni uungwana tu kwa watu
waliotembea barabarani nchi nzima kumtukana EL wakamuomba
msamaha kabla hawajaanza tena kumtembeza barabarani kama
mgombea. 
Vinginevyo mie napongeza ujasiri wa
EL wa kushinda majaribu na kuhamia upinzani. Napongeza
ujasiri wa CHADEMA wa kuwa na roho ngumu na kutoa uso wa
soni. Nampongeza JK kwa ujasiri wake wa kukata jina la EL
kibabe na kichuki, jambo ambalo litaisaidia Tanzania kuwa na
ushindani wa kweli wa kisiasa katika mfumo wa vyama
vingi. 
Kila jambo
lina upande wake mwema. 
Kitila

2015-07-29 9:04 GMT+03:00
emmbaga <emmbaga@hotmail.com>:

Hakumtuhumu Kikwete lolote alimwambia mda wake bado.
lakini alimtuhumu Lowassa. haitafutika kamwe labda
angejitetea kipindi kile tungemwelewa labda lkin sasa
anatumia advantage ya Baba wa Taifa hatunae tena!!!  
mizimu itazungumza.
Ernest

Sent from Samsung
mobile

fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Ernest

Baba wa Taifa alimkataa Lowassa na Kikwete. Mbona mlimtakasa
Kikwete mnamkataa Lowassa?

Fatma

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.

From: Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>

Sender: wanabidii@googlegroups.com

Date: Thu, 30 Jul 2015 04:54:38 +0000
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com

Subject: RE: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA
FISADI TUMUOMBE RADHI

Tuache  unafiki,  Baba  wa  taifa 
alimkataa  Lowassa   hata  mambo  ya  Richmond 
hayakuwepo,  nae  Lowassa  hajawahi  kanusha chochote 
alichosema  baba  wa   taifa  marehemu Mwalimu Julius 
Nyerere,   leo  hii  we  Mama  unasema  aombwe 
radhi 
!!!! duuu  kweli  hizi  njaa    zinapoteza  hata 
utu  wa  mtu. 

ernest

Date: Thu, 30 Jul 2015 04:22:00 +0000

From: wanabidii@googlegroups.com

To: wanabidii@googlegroups.com

Subject: Re: [wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE
RADHI

Kila anayetubu kwa dhati husamehewa
Nkya. Lakini uwe mwangalifu na siasa. Umesikiliza upande
mmoja tu kwamba EL alipewa amri ya simu, kutoka juu, kupitia
kwa Katibu Mkuu kwamba mkataba usivunjwe. Haingii akilini
katika taratibu za utawala kupokea maagizo na kutekeleza
katika mtiririko huu! Agizo haliendi hivyo, na mimi binafsi
siwezi kutekeleza agizo la jinsi hii. Je anayesemekana
alitoa agizo akisema hajawahi
kupiga simu kuzuia kuvunja mkataba? Na hii inawezekana sana
katika hali ya mambo sasa hivi - kurukana! Nani atakuwa
mkweli? Ni kupakana matope, tupate upande mwingine wa
shilingi, kwamba ni kweli lilikuwa agizo? Kwa nini EL haku
test authenticity ya agizo
hilo? Unaridhika na maelezo/maagizo ya subordinate
wako? 

Please

From: 'ananilea
nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

To: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Cc: WANA BIDII
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent:
Wednesday, July 29, 2015 4:43 PM

Subject:
[wanabidii] TULIOMWITA LOWASSA FISADI TUMUOMBE RADHI

Nimemsikiliza Edward  Lowassa  kwenye you tube
tuliyowekewa humu jukwaani akiulizwa maswali na wanahabari
kuhusu kashfa ya Richmond iliyotokea alipokuwa Waziri Mkuu
miaka minane iliyopita. Kulingana na  majibu aliyoyatoa
hata mimi kama mwanahabari niliwahi
kumwita fisadi kwa sababu ya  kashfa hiyo. Lakini
kulingana na maelezo aliyoyatoa ninakiri nilifanya dhambi
maana kumsingizia mtu uongo ni dhambi na binafsi baada ya
kusikia upande wake mimi kwa upande wangu namuomba radhi.

Kumbe kinara wa  kashfa ya Richmond alikuwa bosi wake.
Lo!  Sasa inaingia akilini ni kwa nini TOR za Mwakyembe
hakikumuweka Lowassa kama sample ya kuhojiwa kashfa ya
Richmond ilipotokea. Lakini kwa unyenyekevu Lowassa
alijiuzulu kuinusuru serikali nzima  isianguke.
Mungu mwema miaka minane  baadaye ukweli kamili wa
Richmond unajulikana. Kama ulichokisema ni kweli Lowassa,
Mungu atakupigania kwa sababu ni wewe  na Mzee Mwinyi peke
yenu mna rekodi ya kujiuzulu kuonyesha uwajibikaji kutokana
na nafasi zenu na siyo kosa
mlilolitenda  ninyi wenyewe. Viongozi wengine mpaka umma
upige kelele sana ndipo wajibaraguze kujiuzulu mfano kashfa
ya escrow 2014. Sasa ninaelewa ni kwa nini baadhi ya watu
wana hofu baada ya LOwassa  kukubaliwa na UKAWA kuwa
mgombea Urais.

Namshukuru sana aliyetuwekea hii you-tube huku jukwaani
maana baadhi yetu ambao hatuko site tungeweza kuendelea
kufanya uchambuzi wetu kwa kutumia habari nusu nusu
tulizopewa miaka iliyopita kuhusu kashfa ya Richmond.

Ananilea Nkya

 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment