Wednesday, 29 July 2015

Re: [wanabidii] Ndoto za slaa zimezimika ghafla, za lowassa zinazimika oktoba

Oho! Nimekuelewa. kama ndoto za Dr.Slaa ni kuwa rais basi zimeishia hapo. kama ndoto zake ni kuwa na Tanzania inayoongozwa kwa haki na usawa bila ufisadi b\si ndoto zake hazijaishia hapo. ila zitasimama kwa muda hadi baada ya uchaguzi zinaanza upya. hapo itaamuliwa. Uamuzi wa kukisafisha Chadema kwa kuwatimua akina Mbowe na wahuni wengine. Watu makini wakakijenga upya baada ya nyufa zisizoepukika kutokea. Ikiwa ni chama cha Mbowe basi hao kutafuta uwanja mwingine. Ndoto ya kuwa rais anastahili kuwa nayo mtu shotsighted kama Lowasa. hapiganii ustawi wa taifa. ila anawaza kipindi cha miaka kumi ya utawala wake.
--------------------------------------------
On Wed, 7/29/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Ndoto za slaa zimezimika ghafla, za lowassa zinazimika oktoba
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 29, 2015, 9:47 AM

Kwa sababu ya ujanjaujanja tu, kwa
sababu ya usanii usanii
tu, kwa sababu ya pesa ndoto za Dr. wilbroad Peter Slaa
zimezimika. Lowassa
naye ndoto zake zinazimika mwezi Oktoba baada ya uchaguzi
mkuu. lowassa anajua
kabisa hawezi kuwa rais lakini anapoteza nini kuondoka CCM
au kukaa CHADEMA?
Ndiyo faragha pekee anayobaki nayo.



Pole za pekee kwa Dr. Slaa, ulifanyakazi kubwa sana ya
kukijenga chama na
nadhani sasa utakuwa unakumbuka mizengewe aliyofanyiwa
ZITTO. Nakumvuka kauli
yako wakati ZITTO ana mgogoro na CHADEMA pale uliposema
"HAMNA TATIZO NA
ZITTO, BALI WATU WABAYA WENU WANATAKA KUWACHONGANISHA"
jambo ambalo
hukujua ni kuwa wabaya walikuwa ndani ya CHADEMA. Pole sana
Dr. Ndoto za Urais
zimeishia hapo. Pole sana Josephine Mshumbusi, ndoto za kuwa
first lady
zimeishia hapo, ngoja Regina Lowassa naye ajaribu bahari
hiyo.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment