Tuesday, 21 July 2015

Re: [wanabidii] wapinzani hawajajipanga tangu 1992, watanzania watawaamini kuwapa dola?

Ninaamini ujumbe huu ulikuwa unamtumia Mpombe ambaye anaonekana kulipita kando. Si kuwa tunaviunga mkono ila hivi vyama ni mali yetu na mkombozi wetu. Kazi kubwa iliyofanywa na CDM ni ya kujivunia. Hata Honest members wa CCM wanajivunia
--------------------------------------------
On Tue, 7/21/15, 'Paul Bernard' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] wapinzani hawajajipanga tangu 1992, watanzania watawaamini kuwapa dola?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 21, 2015, 4:25 PM

Brother
Muhingo Wasalaam.Ni vema
tukajifunza kwamba mabadiliko yeyote katika jamii yeyote ni
lazima yaambatane na vizingiti kedekede.Hivyo basi katika
mazingira wanayokutana nayo kama chama cha upinzani wa kweli
ni dhahiri kwamba kila mmoja anaona jinsi CDM kilivyoweza
kujipambanua kuwa ni chama cha upinzani wa kweli tofauti na
watangulizi wake waloweza kuwa na nguvu mathalan NCCR
-Mageuzi wakati wa Mrema -1995 na baadaye CUF miaka ya 2000
na tangu mfumo wa vyama vingi ulipoingia Tanzania
Zanzibar.CDM kimeweza kuhimili mikiki mukiki ya nguvu na ya
kutosha na kifanya yasotarajiwa, kupambana kisheria na hila
za CCM hatimaye haki ikaonekana ikitendeka mchana wa
adhuhuri.Naomba
tuwaunge mkono badala ya kuwakatisha tamaa
makamanda
PBK

From: 'mpombe
mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent: Tuesday,
July 21, 2015 5:23 AM
Subject: [wanabidii]
wapinzani hawajajipanga tangu 1992, watanzania watawaamini
kuwapa dola?

•  Hadi sasa hawajafanya maandalizi ya
kutosha kwa ajili ya viongozi wao kuongoza dola,
wamekurupuka na kuacha maswali mengi ikiwa kuwa na wagombea
wenye dosari ambazo zinaepukika!

•  Ikulu sio mahala pa mchezo, utani wala pa
kuhadaa Watanzania kwa kuuza sera zisizotekelezeka!

•  Halikadhalika wapinzani
wameshindwa kujitandaza barabara nchi nzima tokea 1992 mfumo
wa vyama vingi ulipoanza!

•  Lakini pia hawajaonyesha ukomavu wakuwa
na mtandao wa umoja miongoni mwao dhidi ya CCM!

•  Uchu wa madaraka umezidi
uwezo wao wa kudhibiti nchi jambo la hatari sana, hata kama
baadhi ya taasisi za habari na wasomi zinajaribu kuwafagilia
ili wakamate dola kwa njia za mkato!

•  CCM bado ni chama makini chenye mtandao
wa uhakika unaofika vijijini japokuwa kinaendeshwa na
binadamu ambao sio malaika!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment