Tuesday, 28 July 2015

Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU

najaribu kuchangia hoja ya comments za Muhingo na Mollel, kwa mtazamo wangu hili halina shida kwenye siasa. lazima tukubali kwenda na mabadiliko. upepo wa siasa ndiko huko unakoelekea, lakini pia tujifunze na siasa za nchi nyingine. wakati Kibaki alipohama KANU Alisingiziwa ni fisadi lakini akashinda uraisi, na tunaona siasa za kenya zilivyobadilika baada ya changamoto za upinzani. maendeleo pia yamepatikana. Ugomvi wa ufisadi nchini sio wa mtu, ni tatizo la kimfumo. watu wengi hamtaki kelewa hili. Kwa hiyo tatizo sio Lowasa tatizo ni mfumo wa chama alichokuwapo kabla ya kuingia UKAWA. kama alikua ni fisadi kwa nini hadi leo hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake? sasa basi kama lowasa anahamia UKAWA ataendana na mfumo na sera za UKAWA ambazo zinagiga vita ufisadi wa kimfumo sio wa mtu mojamoja ili kuleta ustawi kwa watanzania. lengo ni kuleta mabadiliko ya siasa nchini kwa hiyo kama lengo la UKAWA ni kushika dola njia iliyotumika ni sahihi. The ends justify the means. Ndugu Muhingo inabidi upanue fikra kuendena na hali halisi ya siasa na kuelewa hasa maana ya mageuzi.
wasalaam
John

On Tuesday, July 28, 2015 10:31 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Molel nadhani una matatizo. Toka tumepata uhuru siasa za Tanzania zinasema maadui wetu ni Ujinga, Maradhi na umaskini. How comes you are telling people that in Politics we dont have permanent enemies. It is America that dont have permnent friends though you can not creat enemities beterrn it and Israel. usyaly we dont have enemity with people but their behaviours. Hooligans cant change just because they have changed memberships of political parties
--------------------------------------------
On Mon, 7/27/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, July 27, 2015, 2:16 AM

Elisa muhingo,siasa hujui
na hutakaa ujue coz unalazimisha ubongo wako kwenda
kusikotakiwa mzee,read here carefully' in politics we
dont have a permeernent enemy' elewa bro au niweke kwa
kiswahiki sanifu....kwenye siasa hakunaga uadui wa kudumu
,,,,,,,
Remeber slaa katoka ccm'sasa
lowasa kuingia chadema ni shida mzee,kwann asiingie ilhali
ni mtanzani na hana hatia yeyote na ana mengi ambayo anayo
sirini na kibaya zaidi anungwa na watu wengi ambao nyinyi
hamuwaoni kabisaaaaa,ila wao wanojua siasa wanaona'stop
your eneminity bropeace and love...usije ufe na dhambi ya
chuki
Lesian

Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
wrote:

Tuwe na subira, ccm wameshatangaza wa kwao,
tusubiri na wengine ukawa chadema cuf adc act, na tuone sera
na ilani ya kila mmoja, hatuwezi kufanya maamuzi kwa mwali
mmoja aliyechezwa ngoma wakati wengine bado wako kwa
shangazi na kungwi.

Hatujazijua sera za ccm na ilani yao ya
uchaguzi, hivyo hivyo kwa ukawa na wengine, kipenga
kikishapulizwa na kila mmoja akaanza kujinadi ndipo
tutafanya maamuzi. Tukizidisha makelele tutawachanganya
wazee wetu, tutulie kwanza.

2015-07-26 22:51 GMT+03:00
'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mtalika.
Una mapenzi ya kupitiliza kwa CCM.
kwani ni lazima UKAWA kuweka mgombea? Usituchoshe na
ngonjera zako.
WSent from Samsung
Mobile

-------- Original message
--------
From: 'mpombe mtalika' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

Date: 
To: ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

Subject: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI
HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU
 
Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi tangu chama
tawala
kutangaza mgombea wake wa Urais, Mh. John Pombe Magufuli.

Hapo nyuma UKAWA walisikika wakitamba kuwa wanamsubiri
kwa
umakini mkubwa mgombea wa CCM, ili wajipange
kumsambaratisha. Baada ya uteuzi
wa mgombea wa CCM, UKAWA ni kama wameingia kizunguzungu na
kigugumizi, maana
mahesabu yao yamegota vibaya.

Kinachoonejana dhahiri ni kwamba uhai wa UKAWA unapewa
uhalali tu na makosa ya
chama tawala. Chama tawala kinapo weka mambo yao safi na kwa
umakini, UKAWA
wanaishiwa hoja na uhalali wa kisiasa, kwa vile wao wenyewe
hawana unifying
ideology, apart from being reactionary!

Tunachoshudia hivi sasa katika UKAWA, kushindwa vibaya
kukubaliana juu ya
mgombea wao urais ni kiekelezo tosha kuwa UKAWA ni utapeli
wa kisiasa kati ya
mambumbumbu wanao wania urais.

Hawajui nni awawakilishe na hawajui huko wanaenda kufanya
nini.Hii ni hatari kubwa!

Watu wanaonadiwa na mamluki wa kibiashara inaelekea
watainunua UKAWA wakati
wowote ule na ni kwa nia moja tu, kukamata dili zote za dola
ili wanufaike
kiuchumi. Lakini wananchi makini wanaendekea
kugutuka.

Tunajua kuwa hata wapinzani ni watanzania na huko kuna
watu
makini kitaifa.

Simpigii debe Dr Skaa lakini haingii akilini Dr Slaa
kumtangaza Lowassa kuwa
fisadi, halafu kula matapishi yake bila maelezo na
kumkaribisha fisadi huyo
huyo kukipigia debe chama chao.

Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani makini utakao
sahihisha kama sio
kupiku chama tawala.Kwa ujinga huu wa kukumbatia ufisadi
ulio temwa na chama
tawala, UKAWA unawakaribisha kina Rosta na Karamaga and co.
iliwagawane rasilmali
za nchi hii.

Mungu bariki, mpaka hivi sasa ndani ya UKAWA ni mtafaruku wa
kukaribia
kusambaratika kwani hawajui wanaenda Ikulu kufanya nini na
kwa madhumuni gani
kwa mwananchi wa kawaida.

Sumu haionjwi

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment