Amour Chamani (Walewale)
Nafurahi kuona mchango wako maana siku nyingi sijakusikia. Kumbe yapo mambo ambayo yakiguswa lazima tukusikie. Inawezekana watuhumiwa wakawa na uelekeo wa kidini au isiwe aliyeuliza swali amehisi hilo baada ya kuona majina yote ni ya kiisilamu japo kwa kawaida majambazi ujipachika majina (pseudo names)ili waweze kutenda uhalifu bila kujulikana. Katika kufanya upelelezi lazima hilo la majina lifanyiwe kazi. Ni kosa kuihusisha dini ya kiisilamu na uhalifu kama huo bila data za kutosha au ushahidi. Majina kuwa ya kiisilamu haitoshi
On 01:31, Tue, Jul 21, 2015 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kwann wasubir hadi matukio yatokeeee
Lesian
'jozackys' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Inatoa picha gani magaidi/majambazi hawa Kuwa wote ni waislamu?je uislamu una uhusiano na haya? Maana boko haram,Isis ni waislam inatisha.
>
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>>Ninadhani askari wetu wameonyesha uwezo wao na kuwa wanaweza kuamua kutotaniwa.
>>Kile kikosi maalum inaonyesha ni mahili sana. Basi iko haja ya kutoa mafunzo hayo kwa askari wetu wote. Umahilim huo ungeonyeshwa kituoni huenda majambazi wangekuwa wanapita mbali na vituo hivyo. sasa hii ya askari wetu kufa ndio tunaona ushujaa wa askari wetu nayo ina walakini. Ipo haja ya kuwafunza askari wetu kuwa more professional.
>>--------------------------------------------
>>On Mon, 7/20/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
>>
>> Subject: [wanabidii] SILAHA ZILIZOPORWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI SITAKISHARI ZAKAMATWA
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Monday, July 20, 2015, 7:06 PM
>>
>> JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
>> WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
>> JESHI LA POLISI TANZANIA
>> PRESS RELEASE
>> 20/07/2015
>> SILAHA ZILIZOPORWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI SITAKISHARI
>> ZAKAMATWA,
>> KATIKA MAPAMBANO, MAJAMBAZI WATATU WAUAWA, WAWILI WAKAMATWA.
>> Oparesheni kali yakupambana na makosa mbalimbali ya uhalifu
>> wakutumia silaha za moto inaendelea jijini Dar es Salaam kwa
>> kushirikiana kwa karibu na mikoa jirani.
>> Katika tukio la hivi karibuni tarehe 12/07/2015 kundi la
>> majambazi waliokadiriwa kufikia 16 hadi 18 walivamia kituo
>> cha Polisi Sitakishari wakati wa usiku na kisababisha vifo
>> vya askari wanne na raia watatu pamoja na uporaji wa silaha
>> kadhaa na risasi.
>> Mara baada ya tukio hilo oparesheni kali ya usiku na mchana
>> kwa ushirikiano wa vikosi mbali mbali lianzishwa.
>> Matokeo ya oparesheni hiyo nikamaifuatavyo:
>> Mnamo tarehe 17/07/2015 zilipatikana taarifa zakuaminika
>> kwamba huko maeneo ya TOANGOMA mkoa wa kipolisi Temeke
>> kulikuwa na majambazi waliohusika kwenye tukio la
>> Sitakishari wakijiandaa kufanyatukio la uhalifu.
>> KikosiMaalum (TASK FORCE) kiliendaeneo la tukiona kuweka
>> mtego ilikuwanasa washukiwa.
>> Kutokana na taarifa zilizokuwepo askari wakikosi hicho
>> waliwasimamisha watu watano waliokuwa wamepakizana katika
>> pikipiki mbili lakini walikaidi kusimama na badala yake
>> mapambano makali ya kurushiana risasi yalianza.
>> Watuhumiwa watano walikamatwa na watatu kati yao walikuwa
>> wamejeruhiwa vibaya na hivyo walifariki dunia wakiwa njiani
>> kukimbizwa hospitali.
>> Majina ya waliofariki ni kama ifuatavyo:
>> ABBAS S/O HASHIM,
>> Mkazi wa mbagala.
>> YASINI,
>> Mkazi wa Kitunda Kivule.
>> SAID,
>> Mkazi Kitunda Kivule/Kijiji cha Mandimkongo Mkuranga.
>> Watuhumiwa wawili ambao ni
>> RAMADHANI S/O HAMIS ULATULE,Miaka 15, Mkazi wa kijiji cha
>> Mandimkongo Mkurangana
>> OMARY S/O OMARY AMOUR, Miaka 24, Mkazi wa Mbagala
>> Kimbangulile walipatikana na kuhojiwa.
>> Katika tukio hilo ilipatika na bunduki moja aina ya SMG
>> ambayo namba zake zilifutwa ikiwa na risasi 25.
>> Katika mwendelezo wa oparesheni hiyo kali, tarehe 19/07/2015
>> zilipatikana habari zakuaminika kwamba silaha zilizoporwa
>> Sitakishari zimefichwa mkoa wa jirani wa Pwani katika sehemu
>> isiyofahamika vizuri korini.
>> Katika ufuatiliaji Kundi kubwa linaloundwa na vikosi
>> mbalimbali vya Polisi lilienda mkoa wa Pwani na kufanya
>> msako.
>> Mafanikio yaliyopatikana katika msako huo ni kamaifuatavyo:
>> Katika kijiji cha Mandimkongo kata ya BUPU, Wilaya ya
>> Mkuranga, Mkoa wa Pwani katikati ya msitu/vichaka baada ya
>> taarifa zakuaminika kikosi maalum kilifukuaardhinina katika
>> shimo hilo zilipatikana bunduki 15 ambapo kati ya hizo
>> Bunduki SABA (07) niainaya (SMG), bundiki SABA (7) niainaya
>> SAR, MAGAZINE MOJA YA SMG yenye risasi 28, na zote
>> zimetambuliwa kwamba ni silaha za kituo cha Polisi
>> Sitakishari zilizoporwatarehe 12/07/2015.
>> Katika shimo hilo lililofukuli wapiailipatikana silaha moja
>> aina ya the NORINKO ambayo inafanyiwa uchunguzi kujua wapi
>> ilipoibiwa.
>> Pia katika shimo hilohilo zilipatikana fedha taslim za
>> tanzania shilling MILLIONI MIA MOJA NA SABINI(TSHS:
>> 170,000,000/=)ambazo zilifungwa katika sanduku maalum.
>> Muhtasari wamafanikio nikama ifuatavyo:
>> Kukamatwa kwa watuhumiwa watano ambapo watatu walipoteza
>> maisha katika mapambano na polisi.
>> Kupatikana kwa silaha kumina sita ambapo kumi na nne kati ya
>> hizo ziliporwa katika tukio la Sitakishari na mbili ni za
>> majambazi.
>> Zimepatikana jumla ya risasi 53 ambapo risasi 28 niza kituo
>> cha Sitakishari na risasi 25 ni za majambazi.
>> Fedha taslimu za kitanzania shillingi million mia moja na
>> sabini (Tshs 170,000,000/=ambazozinachinguzwa.
>> WANAOTAFUTWA NA POLISI(WANTED PERSONS)
>> Oparesheni hii ni endelevu na kwamba bado inaendelea kwa
>> ukali uleule pamoja namafanikio yaliyotajwa.
>> Tunahitaji ushirikiano kutoka kwa wananchi na wadau
>> mbalimbali ilikutokomeza kundi hili la watu wachache ambalo
>> limegundulika kuwa na tabia yakuvamia vituo vya Polisi kuua
>> askari na kupora silaha, kupora katika taasisi za fedha,
>> kupora kwa kutumia pikipiki(bodaboda), n.k.
>> Katika harakati hizo wafuatao wanatafutwa na Jeshi la Polisi
>> haraka iwezekanavyo:
>> ABDULAZIZI S/O AHMAD
>> ABDULRASHID @ USTAADH
>> ABDULAZIZ anaishijijini Dar es Salaam –Kiongozi wa Kundi
>> SHABAN S/O MOHAMED MTUMBUKA @ AMIR SHABAN NDOBE
>> HANNAFI S/O JUMANNE KAPELA @ MKAMBA @ SHEIKH HANNAFI
>> HASSAN S/O HARUNA ISSA @ DR. SHUJAA
>> ZAHAQ S/O RASHID NGAI @ MTU MZIMA.
>> ABUBAKAR S/O NGINDO @ ABU MUHAMMAD
>> KHAMIS S/O RAMADHAN
>> USTAADH RASHID (Aliua wakati katukio la Sitakishari).
>> S.H. KOVA - CP.
>> KAMISHNA WA POLISI
>> KANDA MAALUM YA POLISI D'SALAAM
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>> for any legal consequences of his or her postings, and hence
>> statements and facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you agree to this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are subscribed to the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment