Monday, 20 July 2015

Re: [wanabidii] SILAHA ZILIZOPORWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI SITAKISHARI ZAKAMATWA

Hili bomu wa kutusaida ni Mungu tu na la kufanya ni watu wote wa kila mahali watubu na kuacha maovu. 

Sent from Yahoo Mail on Android


From:"amour chamani" <abachamani@gmail.com>
Date:Mon, Jul 20, 2015 at 21:12
Subject:Re: [wanabidii] SILAHA ZILIZOPORWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI SITAKISHARI ZAKAMATWA

Msipate tabu na dini za hao watu. Kwani sikuhizi tunaangalia kila kitu hivyo?
Na Savimbi alikuwa dini gani.
Ushauri wangu ni hivi. Ni POLISI hawa hawa tulio walaumu wakati wa vurugu za Arusha na Iringa na Mabwepande lakini tukawapongeza walipopambana na waandamanaji misikitini Kariakoo.

Tutaona mengi mwaka wa uchaguzi huu.

Walewale.

On Jul 20, 2015 9:03 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Lazima ina maana iwe inakubalika au inakataliwa lakini ipo na ni bomu
--------------------------------------------
On Mon, 7/20/15, 'jozackys' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] SILAHA ZILIZOPORWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI SITAKISHARI ZAKAMATWA
 To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Monday, July 20, 2015, 8:47 PM

 Inatoa picha gani magaidi/majambazi
 hawa Kuwa wote ni waislamu?je uislamu una uhusiano na haya?
 Maana boko haram,Isis ni waislam inatisha.

  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 >Ninadhani askari wetu wameonyesha uwezo wao na kuwa
 wanaweza kuamua kutotaniwa.
 >Kile kikosi maalum inaonyesha ni mahili sana. Basi iko
 haja ya kutoa mafunzo hayo kwa askari wetu wote. Umahilim
 huo ungeonyeshwa kituoni huenda majambazi wangekuwa wanapita
 mbali na vituo hivyo. sasa hii ya askari wetu kufa ndio
 tunaona ushujaa wa  askari wetu nayo ina walakini. Ipo
 haja ya kuwafunza askari wetu kuwa more professional.
 >--------------------------------------------
 >On Mon, 7/20/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
 wrote:
 >
 > Subject: [wanabidii] SILAHA ZILIZOPORWA NA MAJAMBAZI
 KITUO CHA POLISI SITAKISHARI ZAKAMATWA
 > To: wanabidii@googlegroups.com
 > Date: Monday, July 20, 2015, 7:06 PM
 >
 > JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
 > WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
 > JESHI LA POLISI TANZANIA
 > PRESS RELEASE
 > 20/07/2015
 > SILAHA ZILIZOPORWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI
 SITAKISHARI
 > ZAKAMATWA,
 > KATIKA MAPAMBANO, MAJAMBAZI WATATU WAUAWA, WAWILI
 WAKAMATWA.
 > Oparesheni kali yakupambana na makosa mbalimbali ya
 uhalifu
 > wakutumia silaha za moto inaendelea jijini Dar es
 Salaam kwa
 > kushirikiana kwa karibu na mikoa jirani.
 > Katika tukio la hivi karibuni tarehe 12/07/2015 kundi
 la
 > majambazi waliokadiriwa kufikia 16 hadi 18 walivamia
 kituo
 > cha Polisi Sitakishari wakati wa usiku na kisababisha
 vifo
 > vya askari wanne na raia watatu pamoja na uporaji wa
 silaha
 > kadhaa na risasi.
 > Mara baada ya tukio hilo oparesheni kali ya usiku na
 mchana
 > kwa ushirikiano wa vikosi mbali mbali lianzishwa.
 > Matokeo ya oparesheni hiyo nikamaifuatavyo:
 > Mnamo tarehe 17/07/2015 zilipatikana taarifa
 zakuaminika
 > kwamba huko maeneo ya TOANGOMA mkoa wa kipolisi Temeke
 > kulikuwa na majambazi waliohusika kwenye tukio la
 > Sitakishari wakijiandaa kufanyatukio la uhalifu.
 > KikosiMaalum (TASK FORCE) kiliendaeneo la tukiona
 kuweka
 > mtego ilikuwanasa washukiwa.
 > Kutokana na taarifa zilizokuwepo askari wakikosi hicho
 > waliwasimamisha watu watano waliokuwa wamepakizana
 katika
 > pikipiki mbili lakini walikaidi kusimama na badala
 yake
 > mapambano makali ya kurushiana risasi yalianza.
 > Watuhumiwa watano walikamatwa na watatu kati yao
 walikuwa
 > wamejeruhiwa vibaya na hivyo walifariki dunia wakiwa
 njiani
 > kukimbizwa hospitali.
 > Majina ya waliofariki ni kama ifuatavyo:
 > ABBAS S/O HASHIM,
 > Mkazi wa mbagala.
 > YASINI,
 > Mkazi wa Kitunda Kivule.
 > SAID,
 > Mkazi Kitunda Kivule/Kijiji cha Mandimkongo Mkuranga.
 > Watuhumiwa wawili ambao ni
 > RAMADHANI S/O HAMIS ULATULE,Miaka 15, Mkazi wa kijiji
 cha
 > Mandimkongo Mkurangana
 > OMARY S/O OMARY AMOUR, Miaka 24, Mkazi wa Mbagala
 > Kimbangulile walipatikana na kuhojiwa.
 > Katika tukio hilo ilipatika na bunduki moja aina ya
 SMG
 > ambayo namba zake zilifutwa ikiwa na risasi 25.
 > Katika mwendelezo wa oparesheni hiyo kali, tarehe
 19/07/2015
 > zilipatikana habari zakuaminika kwamba silaha
 zilizoporwa
 > Sitakishari zimefichwa mkoa wa jirani wa Pwani katika
 sehemu
 > isiyofahamika vizuri korini.
 > Katika ufuatiliaji Kundi kubwa linaloundwa na vikosi
 > mbalimbali vya Polisi lilienda mkoa wa Pwani na
 kufanya
 > msako.
 > Mafanikio yaliyopatikana katika msako huo ni
 kamaifuatavyo:
 > Katika kijiji cha Mandimkongo kata ya BUPU, Wilaya ya
 > Mkuranga, Mkoa wa Pwani katikati ya msitu/vichaka baada
 ya
 > taarifa zakuaminika kikosi maalum kilifukuaardhinina
 katika
 > shimo hilo zilipatikana bunduki 15 ambapo kati ya hizo
 > Bunduki SABA (07) niainaya (SMG), bundiki SABA (7)
 niainaya
 > SAR, MAGAZINE MOJA YA SMG yenye risasi 28, na zote
 > zimetambuliwa kwamba ni silaha za kituo cha Polisi
 > Sitakishari zilizoporwatarehe 12/07/2015.
 > Katika shimo hilo lililofukuli wapiailipatikana silaha
 moja
 > aina ya the NORINKO ambayo inafanyiwa uchunguzi kujua
 wapi
 > ilipoibiwa.
 > Pia katika shimo hilohilo zilipatikana fedha taslim za
 > tanzania shilling MILLIONI MIA MOJA NA SABINI(TSHS:
 > 170,000,000/=)ambazo zilifungwa katika sanduku maalum.
 > Muhtasari wamafanikio nikama ifuatavyo:
 > Kukamatwa kwa watuhumiwa watano ambapo watatu
 walipoteza
 > maisha katika mapambano na polisi.
 > Kupatikana kwa silaha kumina sita ambapo kumi na nne
 kati ya
 > hizo ziliporwa katika tukio la Sitakishari na mbili ni
 za
 > majambazi.
 > Zimepatikana jumla ya risasi 53 ambapo risasi 28 niza
 kituo
 > cha Sitakishari na risasi 25 ni za majambazi.
 > Fedha taslimu za kitanzania shillingi million mia moja
 na
 > sabini (Tshs 170,000,000/=ambazozinachinguzwa.
 > WANAOTAFUTWA NA POLISI(WANTED PERSONS)
 > Oparesheni hii ni endelevu na kwamba bado inaendelea
 kwa
 > ukali uleule pamoja namafanikio yaliyotajwa.
 > Tunahitaji ushirikiano kutoka kwa wananchi na wadau
 > mbalimbali ilikutokomeza kundi hili la watu wachache
 ambalo
 > limegundulika kuwa na tabia yakuvamia vituo vya Polisi
 kuua
 > askari na kupora silaha, kupora katika taasisi za
 fedha,
 > kupora kwa kutumia pikipiki(bodaboda), n.k.
 > Katika harakati hizo wafuatao wanatafutwa na Jeshi la
 Polisi
 > haraka iwezekanavyo:
 > ABDULAZIZI S/O AHMAD
 > ABDULRASHID @ USTAADH
 > ABDULAZIZ anaishijijini Dar es Salaam –Kiongozi wa
 Kundi
 > SHABAN S/O MOHAMED MTUMBUKA @ AMIR SHABAN NDOBE
 > HANNAFI S/O JUMANNE KAPELA @ MKAMBA @ SHEIKH HANNAFI
 > HASSAN S/O HARUNA ISSA @ DR. SHUJAA
 > ZAHAQ S/O RASHID NGAI @ MTU MZIMA.
 > ABUBAKAR S/O NGINDO @ ABU MUHAMMAD
 > KHAMIS S/O RAMADHAN
 > USTAADH RASHID (Aliua wakati katukio la Sitakishari).
 > S.H. KOVA - CP.
 > KAMISHNA WA POLISI
 > KANDA MAALUM YA POLISI D'SALAAM
 >
 >
 >
 >
 > --
 >
 > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 >
 >  
 >
 > Kujiondoa Tuma Email kwenda
 >
 > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya
 > kudhibitisha ukishatuma
 >
 >  
 >
 > Disclaimer:
 >
 > Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
 > for any legal consequences of his or her postings, and
 hence
 > statements and facts must be presented responsibly.
 Your
 > continued membership signifies that you agree to this
 > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.
 >
 > ---
 >
 > You received this message because you are subscribed to
 the
 > Google Groups "Wanabidii" group.
 >
 > To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails
 > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 >
 > For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.
 >
 >
 >--
 >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 >
 >Kujiondoa Tuma Email kwenda
 >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 >
 >Disclaimer:
 >Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility for any legal consequences of his or her
 postings, and hence statements and facts must be presented
 responsibly. Your continued membership signifies that you
 agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
 and Guidelines.
 >---
 >You received this message because you are subscribed to
 the Google Groups "Wanabidii" group.
 >To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 >For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment