I think it is a bit wishful thinking that Magufuli will have an easier time winning this election. There are still many imponderables and I for one will not be surprised if CCM under Magufuli loses this election.
em
Sent from my iPhone
> On Jul 29, 2015, at 5:28 AM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Mtalika.
> Hyu ndiye mgombea makini ambaye chama makini kilimuona hafai kuwa mgombea urais kupitia kwake. Tunakumbuka alivyotaka kuwabambikiza wana Monduli nani awe mbunge wao yeye 'atakapokuwa rais'. Naamini watu makini ndani ya Chadema akiwamo Dr. Slaa, Tundu lisu, Mnyika na wengine watakaa kimya wakisubiri uchaguzi uishe waanze kukijenga upya chama chao. Naamini wanaweza kupiga kampein za ubunge majimboni bila kumpigia Rais ikitokea akatangazwa huyo. lakini kingine ninachokitarajia ni Magufuli kukosa mpinzani wa Maana. Hii inawezekana kwa sababu nakumbuka kusikia kuwa Katiba ya Chadema inahitaji mtu kukaa miezi sita ili aweze kugombea uongozi wowote. Sasa hawa wanaohamia ikitokea mtu akaweka pingamizi likakubaliwa si hatari? Hata hivyo ushindi wa CCM juu ya CDM kama Lowasa anasimama ni dhahili
> --------------------------------------------
> On Wed, 7/29/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi
> To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, July 29, 2015, 10:22 AM
>
>
>
> Wadau Habari; jana
> ilikuwa siku ya kipekee sana kwa historia ya Tanzania ambayo
> tuliahidiwa na
> tuliisikia minong'ono mingi na tetesi za kila leo juu ya
> kuhama chama kwa
> aliyekuwa mgombea urais kwa tiket ya CCM ndugu, EL.
>
> Binafsi nampongeza
> kwa kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya maamuzi
> magumu; kama
> mtanzania nisiyefungamana na upande wowote nimestaajabishwa
> sana na mambo
> mawili makubwa.
>
>
> Mosi ni juu ya
> umiliki wake wa card ya CCM, EL inasemekana ana miliki card
> namba 15 ya
> Uwanachama ndani ya CCM, lakini siku ya jana alijivua
> uwanachama na kupewa
> rasmi card ya CDM, sasa bado najiuliza imekuaje kamanda huyu
> amejiondoa CCM na
> kwenda CDM lkn bado anamiliki card ya chama hicho? Maana
> jana sikuona akiirudisha
> card ya CCM ili ichanwe chanwe pale mbele ya macho
> yetu.
>
>
> Lakini kama hiyo
> haitoshi bado najiuliza inawezekanaje Kiongozi mkubwa kama
> yeye anathubutu
> kutoa majibu ya hasira mbele ya Taifa hili juu ya swali la
> msingi ambalo
> lilimchafua yeye na baadhi ya Viongozi wa wizara
> husika.
>
>
> Kwa kusema kwamba
> NANUKUU; "Nilipoitisha kikao cha "Government
> negotiation team"
> nikawauliza mbona nasikia huu mkataba una matatizo? mimi
> nina uzoefu wa kuvunja
> mikataba na huu tuuvunje! wakaomba ruhusa watoke nje kwa saa
> moja, baada ya
> hapo waliporudi wakasema wamepigiwa simu toka mamlaka ya juu
> mkataba usivunjwe
> "what else could I have done?" Mwisho wa KUNUKUU,
> Sasa najiuliza hapa
> inawezekanaje PM umeitisha kikao cha subordinates wako alafu
> anatokea wa
> kukuambia kuwa et nimewasiliana na wakuu wamekataa hilo,
> nani basi mwenye
> kupaswa kufanya consultation na Wakuu wenzake kati ya watu
> hawa wawili EL kama
> PM au Subordinates?
>
>
> Lakini pia napata
> shaka pale namna ambavyo swali la msingi lilivyojibiwa kwa
> kusema kwamba,
> NANUKUU; "Am sick of Richmond, mtu yoyote mwenye
> ushahidi wa mimi kuhusika
> na Richmond aende mahakamani, kama huna just shut up.
> Nilichukua uamuzi kwa
> niaba ya serikali.
>
> Nimeondoka
> madarakani miaka nane iliopita, mambo haya yameongezeka
> yamepungua, mikono yangu
> ni misafi na mtu mwenye ushahidi acha kupigapiga kelele,
> peleka
> mahakamani" mwisho wa KUNUKUU; Kwa uelewa wangu wa
> kawaida kabisa unyeti
> wa jambo hili haukutaka jibu la namna hii bali watanzania
> tungeridhishwa zaidi
> endapo tungepata majibu mazuri kwa kina na yenye
> kujitosheleza badala ya kuwa
> mkali kiasi ambacho inatuacha na maswali mengi kwamba ile ni
> namna ya kututisha
> na kutuziba midomo kama ambavyo ilitokea pale kwa wana
> habari wenzangu au ni
> nini hasa?
>
>
> Kama hii haitoshi
> bado najiuliza, Je na ile hoja ya Dr.Slaa kwamba ushahidi wa
> jambo hili anao na
> yupo tayari kwenda kuthibitisha mahakamani leo hii sisi
> watanzania tunaibebaje
> hii statement kuwa naye alikuwa anabwabwaja tu au namna
> gani?
>
> Lakini nathubutu
> kwenda mbali zaidi kwa kujiuliza Dr.Slaa na wenzake
> wanasimama vipi Jukwaani
> kumnadi kwa kumtakasa mtu huyu ambaye wao walikuwa
> wanachangia kumchafua?
>
> Mambo haya
> yananipa shida kuyapatia majibu basi nabaki kujiuliza bila
> mafanikio naombeni
> wadau mnisaidie kung'amua.
>
>
> "Majibu ya hasira kwa swali la
> Msingi"
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment