Wednesday, 25 July 2012

Re: [wanabidii] Wildebeest Migratio: Kenyans are big liars

  Ahasante sana Matinyi na Mboje kwa hili

Ndiyo maana tunasema WaTanzania tuamke tuongeze UZALENDO!!!. Sasa kama mfumo mzima wa nchi umekaaa hivyo hivyo unategemea nini?? Watu wengine wataendelea ku-take advantage of the situation, tusishangae!! Hayo ndiyo matokeo ya kusuasua na kutegemea kila kitu kitajiendesha bila kuonyesha uzalendo, kujituma, na kuwekeza kwa ajili ya vizazi vya Ki -Tanzania vijavyo. Kwanini  watalii (wazungu) wanakuja kwetu kuona wanyama?? Jibu........ .........???
   Tupo Hapo!!!
                      Idris Mussa 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment