Maurice,
Ngoja nikupe mfano ili upime maana ya maneno hayo kwa kutumia muktadha:
1. Baba Tupiswa amemkana mtoto wake wa pili.
Ni hakika kwamba huwezi kusema: Baba Tupiswa amemkanusha mtoto wake wa pili.
2. Baba Tupiswa amekanusha kumuua mtoto wake wa tatu.
Lakini ni hakika kwamba unaweza kusema pia: Baba Tupiswa amekana kumuua mtoto wake wa tatu.
Sasa linganisha na mifano hii:
3. Baba Tupiswa amemkataa mtoto wake wa pili.
Hali kadhalika: Baba Tupiswa amemkana mtoto wake wa pili.
Ipime Na. 3 na Na. 1.
4. Baba Tupiswa amepinga madai kwamba amemuua mtoto wake wa tatu.
Hali kadhalika: Baba Tupiswa amekanusa madai kwamba amemuua mtoto wake wa tatu.
Ipime Na. 2 na Na. 4.
Vipi unaanza kupata picha fulani?
Matinyi.
Date: Sun, 29 Jul 2012 17:40:47 -0400
Subject: Fwd: ya: [PK] Re: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
From: mauricejoduor@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---------- Forwarded message ----------
From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
Date: 2012/7/29
Subject: Re: ya: [PK] Re: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
To: progressive-kenyans@googlegroups.com
Poleni sana. Narekebisha an earlier mail.
Otory,
Hapo wallahi nindokubaliana nawe. Kukana mashtaka kwangu mimi ni kwamba unaiambia mahakama kwamba uhalifu hukuutenda wewe. Lakini kukanusha mashtaka maanake ni kwamba kila upande umetoa ushahidi na mwishowe umefaulu kuyakanusha hayo mashtaka.
Mbona wataalamu wa lugha watanzania wasitusaidie hapa? Mbona nao wanatatizwa na swala hili dogo?
Courage,
Oduor Maurice Kakake Maria

2012/7/29 otory roselyn <otorybaby@yahoo.com>
Subira ni njema...Wa TZedi watayatatua hivi karibuni...To: progressive-kenyans@googlegroups.com
Cc: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, July 29, 2012 5:05 PM
Subject: Re: ya: [PK] Re: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
Otory,
Hapo wallahi nindokubaliana nawe. Kunana mashtaka kwangu mimi ni kwamba inaiambia mahakama kwamba uhalifu hukuutenda wewe. Lakini kukanusha mashtaka maanake no kwamba kila upande umetoa ushahidi na mwishowe umefaulu kyakanusha hayo mashtaka.
Mbona wataamu wa lugha watanzania wasitusaidie hapa? Mbona nao wanatatizwa na swala hili dogo?
Courage,
Oduor Maurice Kakake Maria2012/7/29 otory roselyn <otorybaby@yahoo.com>
--Ingawa miye si mtuma, naomba kusema ya kwamba -unkana mashtaka ikiwa hujalitenda jambo hilo!
From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Progressive Kenyans <progressive-kenyans@googlegroups.com>; wanakenya@googlegroups.com; young proffessionals <youngprofessionals_ke@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 28, 2012 2:35 PM
Subject: [PK] Re: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
Mino mwenye sijamanya. Sasa nipo gizani hata kushinda pale mwanzoni.
Kukana mashtaka na kukanusha mashtaka !!!! Tofauti ni nini?
Tuseme nimetuhimiwa na uhalifu ambao mwenyewe sikuutenda. Nimepelekwa mahakamani nikasema kwamba uhalifu huo sikuutenda miye. Hapo nimekana mashtaka ama nimekanusha mashtaka?
Mtume !!! Nisaidieni tafadhali.
Courage,
Oduor Maurice2012/7/28 Deus Ngowi <deusngowi@yahoo.com>
Unasema fulani amefariki dunia. Pia kufa inatumika kama ni kwenye ajali - waliokufa kwenye ajali hiyo ni watu wawili. majeruhi wanne walifikishwa hospitalini wiki iliyopita na mmoja akafariki dunia jana.
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, July 28, 2012 3:07 PM
Subject: Re: [wanabidii] Kiswahili Sanifu>> >Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Ndugu wanabidii, hata mimi naomba msaada kwa hili. Someone is dead and
you are the one supposed to inform relatives and friends. What will
you say! X amekufa au amefariki?
On 7/28/12, selemani swalehe <semkiwas@gmail.com> wrote:
> Kwangu mimi kukana mashtaka ni kukataa /kutokubali mashtaka unayoshtakiwa
> kwayo.
> Na kukanusha ni kufafanua kwa maelezo ni jinsi gani huhusiki na hayo
> mashtaka
>
>
> 2012/7/28 Fadhy Mtanga <fadhy613@yahoo.com>
>
>> Ahsanteni sana maana nimejifunza jambo kubwa leo katika lugha.
>>
>> lilian.ruga@yahoo.com wrote:
>>
>> >Matinyi neno Kubaka nalo je?
>> >Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>> >
>> >-----Original Message-----
>> >From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>> >Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> >Date: Fri, 27 Jul 2012 12:02:20
>> >To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> >Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> >Subject: RE: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
>> >
>> >
>> >
>> >Odour,
>> >
>> >Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili-Kiingereza ya TUKI, Toleo la Kwanza,
>> 2001: (-kana kutoka kukana; -kanusha kutoka kukanusha)
>> >-kana = deny, disown, renounce, decline, contradict, disclaim, negate
>> (Uk. 127).
>> >-kanusha = refute, deny, disprove, retract, negate (Uk. 128).
>> >
>> >Naomba tuchukue maneno mawili ambayo yamo kote kote, yaani deny na
>> negate, kisha tuangalie kwenye:
>> >Kamusi ya TUKI ya Kiingereza-Kiswahili, Toleo la Tatu, 2006, Uk. 222 &
>> >Deny = -kana, -kanusha (Uk. 222).
>> >Negate = -kana, -kanusha (Uk. 593).
>> >
>> >Nyongeza ya kisarufi na siyo ya kimsamiati/kiistilahi:
>> >Kitenzi "kana" ni cha kawaida (regular verb) wakati kitenzi "kanusha" ni
>> kitenzi sababishi (causative verb).
>> >Mfano wa kitenzi wa vitenzi hivi ni kama hivi:
>> >kula = kulisha
>> >kupita = kupitisha
>> >kucheka = kuchekesha
>> >kuweza = kuwezesha
>> >kujaa = kujaza
>> >kutembea = kutembeza
>> >kurudi = kurudisha
>> >kuamka = kuamsha
>> >
>> >Naomba umalizie majibu ya maswali yaliyobaki wewe mwenyewe kama zoezi la
>> nyumbani kwa sababu u mtaalamu pia.
>> >
>> >Matinyi.
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >Date: Fri, 27 Jul 2012 03:03:29 -0700
>> >From: pauliyai@yahoo.com
>> >Subject: Re: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
>> >To: wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >Oduor na wengine,
>> >Kwangu mimi kukana mashtaka ni kutokubali kuwa uliyafanya mambo
>> uliyoshitakiwa kwayo na kukanuasha mashtaka ni kupinga mashtaka kwa niaba
>> ya mtendaji au wengine kuwa mashtaka hayo si kweli. Katika kukana
>> mashtaka,
>> unakubali kuwa sheria ilivunjwa lakini si wewe uliyetenda uhalifu huo.
>> Katika kukanusha mashtaka, unapinga kuwa hakukuwa na uvunjaji wa sheria
>> au
>> uhalifu.
>> >shukrani.
>> >Paulo
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
>> >To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>> >Sent: Friday, July 27, 2012 4:13 PM
>> >Subject: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
>> >
>> >
>> >
>> >Enyi wataalamu wa Kiswahili. Ni ipi iliyosanifu?
>> >
>> >Kukana mashtaka; ama
>> >
>> >Kukanusha mashtaka ???????
>> >
>> >
>> >Courage,
>> >Oduor Maurice
>> >
>> >
>> >--
>> >Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>> >Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>> >
>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>> >
>> >Disclaimer:
>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >--
>> >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
*************************************************************************************************
PickUp Transport available ..Available for hire and tranport to anywhere in the country..Capacity is 1500 kgs.Contact us for efficient reliable service .0722409129/0734767649.

Furnished Apartment, Short/Long Stay in Nairobi? ELEGANT AND AFFORDABLE 2 Bedroom APARTMENT Available in Madaraka Estate. Minimum Stay is 4 Nights @5500pn, 1 Week @27500, 1 Month@90000 Long Stay@80000. Call 0725 531 269

TO ADVERTISE HERE: email: amosogal @ gmail.com

To subscribe:progressive-kenyans+subscribe@googlegroups.com:
Unsubscribe:progressive-kenyans+unsubscribe@googlegroups.com

0 comments:
Post a Comment