Saturday, 28 July 2012

Re: [wanabidii] SAHIHISHO : Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe Hajajiuzuru

Wakenya mara nyingi wanadhani ati wanaweza kuandika habari za Tanzania pasipo kuwashirikisha Watanzania.

Huu ni upuuzi na dharau mbaya sana
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 28 Jul 2012 03:46:35
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] SAHIHISHO : Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe Hajajiuzuru

Ndugu zangu ,

Katika Gazeti la The East African Namba 926 toleo la Julai 28 mpaka
Agasti 3 , 2012 ukurasa wa 2 kwenye sehemu ya FACES IN THE NEWS
wameandika kwamba waziri wa uchukuzi wa Tanzania amejiuzuru na kuweka
jina la Dr Harrison Mwakyembe pamoja na picha yake .

Habari hiyo sio ya kweli aliyejiuzuru ni Waziri wa Miundombinu na
Mawasiliano wa Zanzibar, mhe Hamad Masoud Hamad ambaye ni wa chama
cha wananchi CUF .

Inasikitisha kuona gazeti kama hili linaloheshimika kufanya kosa kama
hili tena linalotoka mara moja tu kwa wiki .

Waombe radhi katika toleo lao lijalo .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment