Monday 30 July 2012

Re: [wanabidii] Re: TUKIO LA MHE TUNDU LISSU KUTAJA WATUHUMIWA WA RUSHWA

Mbona majina yenyewe hayo mepesi, hawa wanasiasa wnataka kuleta siasa na hapa, kunakauli zilitolewa kabla ya bajeti ya Nishati na madini kusomwa, kunata habari ziliandikwa, wote ukiwatafakari kwa kina unaona kabisa kuwepo kwa mazingira ya rushwa.

Watu walihitimisha kwamba watuhumiwa wameonewa hata kabla ya hata uchunguzi kufanyika kama ilivyopendekezwa na bodi, hawa wote wanapaswa kuchunguzwa.

Kamati sio mamlaka ya ajira ya TANESCO, lakini wabunge walijipa mamlaka hiyo wakidhihaki uamuzi wa mamlaka inayohusika, haya yote ni mazingira ya rushwa.

Lisu asilete siasa, kama ni suala la TANESCO na rushwa basi wabunge wa chama chake nao wamo, hawa ni binadamu na wanasiasa kama wale wa CCM na wala wasitupofushe hapa wakidhani tutashindwa kubaini ukweli.

Felix

2012/7/30 Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
Aliyehojiwa ndo anatangaza. hapo mnataka Lisu asemeje? kwamba
anahusika au hausiki? Lissu ni sehemu ya sekretarieti ya chadema?

On 30/07/2012, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
> Nafikiri hakuwa amepata taarifa ya Chama ndiyo maana akabisha sasa atakuwa
> amekuelewa
>
> 2012/7/30 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>
>> Soma hizi
>>
>> Kwa masaa 3 nimejieleza mbele ya sekretariat ya chama kuhusu tuhuma za
>> rushwa dhidi yangu. Niliomba kutaka kutoa maelezo kwa katibu Mkuu
>>
>> Nimetaka chama changu kufanya uchunguzi dhidi ya tuhuma hizi.
>>
>> Kesho Nitazungumza na waandishi wa Habari ofisi za Bunge Dar Es Salaam
>> kuanzia saa tano asubuhi. Kuendelea kukaa kimya ni silaha kwa adui.
>>
>> http://twitter.com/zittokabwe
>>
>> On Mon, Jul 30, 2012 at 5:48 PM, Ephata Nanyaro
>> <nanyaro04@gmail.com>wrote:
>>
>>> Yona
>>> Zito amehojiwa na chama chake kuhusu madai ya Rushwa?
>>>
>>> On 7/30/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>>> > Hakumtaja Mhe zitto kabwe ambaye ameshahojiwa na chama chake kwa
>>> > tuhuma
>>> > zinazohusiana na hongo .
>>> >
>>> > On Mon, Jul 30, 2012 at 5:27 PM, Peter Lwegasira
>>> > <petermakatu@yahoo.com>wrote:
>>> >
>>> >> Na wa vyama vingine ni wakina nani?
>>> >>
>>> >>   ------------------------------
>>> >> *From:* Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>> >> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>>> >> *Sent:* Monday, July 30, 2012 4:50 PM
>>> >> *Subject:* Re: [wanabidii] Re: TUKIO LA MHE TUNDU LISSU KUTAJA
>>> WATUHUMIWA
>>> >> WA RUSHWA
>>> >>
>>> >> > I.Munde Tambwe
>>> >> > 2.Sara msafiri
>>> >> > 3.Mwijage
>>> >> > 4.Nasir mbunge wa
>>> >> > korogwe
>>> >>
>>> >> 2012/7/30 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>>> >>
>>> >> NI kina nani hao?
>>> >>
>>> >> 2012/7/30 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>> >>
>>> >> Ni kweli hilo limetokea lakini ametaja wa chama kimoja .
>>> >>
>>> >> On Jul 30, 4:21 pm, vitalisy kisandu <vkisa...@yahoo.com> wrote:
>>> >> > Tundu lisu ataja
>>> >> > wabunge VINARA kwa kula  rushwa
>>> >> >
>>> >> > Mbunge wa singida mashariki
>>> >> > tundu lisu amefanya conference mjini dodoma leo mchana amewataja
>>> >> > wabunge
>>> >> >  wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
>>> >> > ...
>>> >> > I.Munde Tambwe
>>> >> > 2.Sara msafiri
>>> >> > 3.Mwijage
>>> >> > 4.Nasir mbunge wa
>>> >> > korogwe
>>> >> > Hii habari ina ukweli Wapendwa?.
>>> >>
>>> >> --
>>> >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>> >>
>>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> >> ukishatuma
>>> >>
>>> >> Disclaimer:
>>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> >> legal
>>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must
>>> >> be
>>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >>
>>> >>
>>> >>
>>> >>
>>> >>
>>> >> --
>>> >> Wasalaam
>>> >>
>>> >> Denis Matanda,
>>> >> Mine Supt,
>>> >> Nzega - Tanzania.
>>> >>
>>> >> *" Low aim, not failure, is a crime"*

>>> > --
>>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>> >
>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> > ukishatuma
>>> >
>>> > Disclaimer:
>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be
>>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to
>>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >
>>> >
>>> >
>>>
>>>
>>> --
>>> Ephata Nanyaro
>>> P.o.box 15359
>>> Arusha
>>> +255 754 834152
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>  --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>
>
> --
> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
=RSM=

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment