Duh!
Hatred yako kwa mwalimu imekutia upofu kabisa kaka yangu!
Hivi unaweza kweli kuthubutu kumlaumu Nyerere kwa makosa yaliyofanywa kwenye awamu ya 4 eti tu kwa kuwa sheria hizo zilitungwa enzi hizo? Huyu unayesema hana kosa amefanya nini kuzifutilia mbali sheria hizo kandamizi?
Mchukie mwalimu jinsi unavyotaka ila usikubali chuki hiyo ikufanye uonekana unreasonable!!!!
2012/7/30 Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>
Hivi tumesahau kwamba hii Newspaper Act (1976), ambayo imetumika kulifunga gazeti hili ilitungwa enzi hizo za utakatifu? Kwa nini hili hatulitaji? Why?
Hivi hizi repressive laws zote na kijikatiba cha ajabu-ajabu ambacho kilimfanya Rais awe mungu mdogo wa Tanzania, kilitungwa lini? Na nani? Je, tunautendea haki uongozi wa Rais Kikwete kuushambulia namna hii wakati viongozi wengine waliomtangulia walipoitumia kiholela sheria hiyo hiyo tulikwenda kuwachezea msewe uwanja wa ndege? Tulidhani tunafanya nini? It's time we told a few home truths!
> Date: Mon, 30 Jul 2012 21:01:47 +0100
> From: ngupula@yahoo.co.uk
> Subject: Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Nchi ikiongozwa na mswahili,mcheza mdundiko...,mtu asiyejua haki na kweli,unategemea nini?Ni lazima ukweli uchukiwe na majungu ndio yapendwe...tutegemee tu maumuzi mabovu kuliko haya,...kweli isipokuwa ndani ya mtu,haiwezekani kweli hiyo ipatikane kwake.Unaweza ukanywa maji machafu ukaharisha na mganga akakuambia umerogwa ukaamini tu.Wapo watu leo hii waliopima na kukutwa na HIV na baadae wakaambiwa wamerogwa wakaamini.Mnashangaa nini kwa serikali ya Jk?ngupula
>
>
> ------------------------------
> On Mon, Jul 30, 2012 9:48 PM EEST frank John wrote:
>
> >Yona unatetea mpaka unakosea gazeti heeee! Umetumwa?
> >Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
> >
> >-----Original Message-----
> >From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> >Date: Mon, 30 Jul 2012 14:41:09
> >To: <wanabidii@googlegroups.com>
> >Subject: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
> >
> >
> >Siungi mkono kufingiwa kwa Gazeti la mwananchi ila nimetoa maoni yangu
> >kuhusu kile kilichofanywa na Gazeti la mwananchi kuingilia ubinafsi wa
> >wengine .
> >
> >On Jul 30, 5:33 pm, Yona Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
> >> Naona nikusahihishe Wikileaks ni tofauti na Mwanahalisi - Mwanahalisi
> >> imeingilia mawasiliano ya mtu binafsi na kuya expose kwa wengine , suala
> >> hili linafanana na jinsi gazeti la news of the world lilivyorekodi kwa siri
> >> mawasiliano ya wengine na hata kuingilia na kusoma mawasiliano binafsi ya
> >> wengine ambayo yanalindwa na sheria za nchi husika .
> >>
> >> Wikileaks wao wanachapisha vitu ambavyo vimehifadhiwa , ni sawa ni mtu
> >> akuibie kitabu chako unachohifadhi printout za barua zako unazoandikiana na
> >> wafanyakazi wenzako au watu unaofanya nao kazi .
> >>
> >> Kwa kuwa wewe ni mdau wa sekta hii ya mawasiliano nilitegemea uwe na
> >> aproach tofauti kwenye suala hili uwe mkweli na muwazo matokeo yake nawe
> >> umeingia kwenye hisia , aibu yako - siku utakuwa kitendo pale TCRA na
> >> utaletewa malalamiko kama haya .
> >>
> >> Hili sio jambo dogo na rahisi kama mnavyodhani
> >>
> >> 2012/7/30 Samuel Sasali <samuel_sas...@yahoo.com>
> >>
> >>
> >>
> >>
> >>
> >>
> >>
> >> > Yona Kaka,
> >>
> >> > Kwani Serikali Wao Wamewafanya hicho unachokisema??Serikali imewahoji
> >> > Mwanahalisi??Serikali imehoji Makampuni Ya Simu??Serikali Imehoji
> >> > Watuhumiwa??Serikali Imemuhoji Ulimboka??
> >>
> >> > Au Serikali Ikifanya Makosa ni Sawa??? hivi Wikileaks walikuwa
> >> > wanawasiliana na Wanasheria??
> >>
> >> > Serikali Ya Tanzania Isiyo na Haki dawa na Aisye Haki ni Kumuumbua kwa
> >> > sheria hizi za Kikoloni zinazolinga uovu Wa Serikali.
> >>
> >> > Hata wangezuia Magazeti Mangapi Yona, Lakini Mungu sio Mwakipesile
> >> > atafungua Njia nyingine ya kufichua uovu.
> >>
> >> > Kwanza Serikali Wangethibitisha Kwa Data sio kwa Maneno, Kisha
> >> > Wangewaumbua Mwanahalisi ni Waongo,
> >>
> >> > Mtoto akikufichua uchi hadharani Kwani unafichama Kisha ndipo unamwadhibu,
> >> > Kumwadhibu mtoto huku hujajisitiri ni Kutafuta Balaa.
> >>
> >> > Ni heri Usifiuate Taratibu Ukasema Kweli, Kuliko Ukafuata Taratibu Ukasema
> >> > Uwongo.
> >>
> >> > Kama Sheria Zimevunjwa, Serikali Si Ina Mwanasheria Mkuu, Akafungue Kesi.
> >>
> >> > Samuel Sasali.
> >> > Think Differently and Make a Difference
> >> > ------------------------------
> >> > *From:* Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> >> > *To:* Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >> > *Sent:* Monday, July 30, 2012 4:36 PM
> >> > *Subject:* [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
> >>
> >> > Gazeti la mwanahalisi limefanya makosa mengi katika toleo lake la
> >> > mwisho nitaandika hapa kwa ufupi .
> >>
> >> > 1 - KUTOA TAARIFA BINAFSI ZA MTU NA MAWASILIANO YAKE
> >> > Hili ni kosa la kwanza kama gazeti limaweza kuchapisha mawasiliano ya
> >> > mtu ambayo ni binafsi ambayo mwenye uwezo wa kuangalia mawasiliano
> >> > hayo ni makampuni ya simu tu tena baadhi ya watendaji katika kampuni
> >> > hizo na kama zinahitajika sehemu nyingine basi mwanasheria lazima
> >> > ahusishwe .
> >>
> >> > 2 - HABARI YA UPANDE MMOJA
> >> > Habari ile iko na upande mmoja hatujaonyeshwe kama Idara ya usalama wa
> >> > taifa ilihojiwa au ikulu ilihojiwa na majibu yao yalikuwa nini hata
> >> > mtuhumiwa namba moja mwenyewe hajahojiwa lakini taarifa zake binafsi
> >> > zimechukuliwa .
> >>
> >> > Nadhani hili liwe funzo kwetu ili tuweze kuipa heshima tasnia ya
> >> > habari na wapenda democrasia kwa ujumla .
> >>
> >> > On Jul 30, 4:25 pm, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
> >> > > On Jul 30, 4:24 pm, martin pius <malagil...@yahoo.co.uk> wrote:
> >>
> >> > > > Mi nadhani dawa ya moto sio kufunika na blanketi!
> >>
> >> > > > Hata hivyo wamechelewa sana kulifungia! Tayari message sent and
> >> > Delivered
> >>
> >> > > > --- On Mon, 30/7/12, lesian mollel <aramakur...@yahoo.com> wrote:
> >>
> >> > > > From: lesian mollel <aramakur...@yahoo.com>
> >> > > > Subject: Re: [wanabidii] BREAKING NEWS
> >> > > > To: wanabidii@googlegroups.com
> >> > > > Date: Monday, 30 July, 2012, 16:17
> >>
> >> > > > Duh, sasa balaa. Kwanini? Nani mwenye press release hy atupe tuione
> >> > jamani!
> >> > > > ------------------------------
> >> > > > On Mon, Jul 30, 2012 8:41 AM EDT daniel stephen wrote:
> >>
> >> > > > >Serikali yafungia gazeti la* mwanahalisi* huu ni upuuzi mkubwa na
> >> > > > >ukandamizaji wa hali ya juu!!!!!!
> >>
> >> > > > >--
> >> > > > >Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> >> > > > >Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com<http://kaziwww.kazibongo.blogspot.com/>
> >> > > > >Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com<http://pichawww.patahabari.blogspot.com/>
> >>
> >> > > > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > > > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> >> > kudhibitisha ukishatuma
> >>
> >> > > > >Disclaimer:
> >> > > > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>
> >> > > > --
> >> > > > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> >> > > > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >> > > > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> >>
> >> > > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> > ukishatuma
> >>
> >> > > > Disclaimer:
> >> > > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>
> >> > --
> >> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> >> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> >>
> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> > ukishatuma
> >>
> >> > Disclaimer:
> >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> >> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> >> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>
> >> > --
> >> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> >> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> >>
> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> > ukishatuma
> >>
> >> > Disclaimer:
> >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> >> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> >> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >--
> >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >--
> >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabi
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Wasalaam
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
" Low aim, not failure, is a crime"
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment