Tuesday 31 July 2012

[wanabidii] CHAGGA DAY MLICHEMSHA

 
Wadau walioandaa chagga day jumamosi iliyopita mlichemsha kwani mlichokuwa mnatangaza
na kilichokuwepo ni tofauti kabisa.
Baadhi ya vyakula mlivyokuwa mkisema vitakuwepo , havikuwepo na kama vilikuwepo vilikuwa vichache sana,
mfano mtu analeta hotpot moja ya kitawa atakula nani na ataacha nani? next time jipangeni vizuri na muwaconsult wazee wa kichaga
waliopo hapa mjini wawasaidie katika kupanga nini kinatakiwa na muziki gani na ngoma za kichaga ziwepo.
Milio andaa inaelekea ni Wachagga  waliokulia mjini.
Hongereni lakini next time mjipange hiyo ni changa moto.
 

0 comments:

Post a Comment