Sunday, 29 July 2012

Re: [wanabidii] NI "NYIMBO HII" AU "WIMBO HUU"

Wimbo huu

On 7/28/12, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
> Ndugu wanabidii, nilisoma elimu ya sekondari (1982-1988) na wakati huo
> tulikuwa tunatumia kitabu fulani cha Kiswahili (kilikuwa kimeandikwa:
> Kiswahili Sanifu) mtunzi wake nimemsahau (ila nadhani alikuwa Fr
> Kwera?). Kilikuwa kizuri sana na cover yake ya juu ilikuwa ya rangi ya
> njano. Kuna mtu anaweza kunisaidia naweza kukinunua wapi au kiko out
> of print?
>
> On 7/28/12, selemani swalehe <semkiwas@gmail.com> wrote:
>> Japo mi si mtaalam wa kiswahili lakini najua kuwa wimbo ni mmoja na
>> utasema wimbo huu,bali nyimbo ni nyingi na utasema nyimbo hizi
>>
>> 2012/7/28 Zephaniah Mugittu <zephymugittu@yahoo.co.uk>
>>
>>> WATAALAMU WA KISWAHILI TUSAIDIENI HILI
>>>
>>> Je lipi sawa?
>>>
>>> WIMBO HUU AU NYIMBO HII?? Maana huwa sina amani kabisa nisikiapo watu
>>> tena
>>> wenye ushawishi ktk jamii hasa watangazaji/wanahabari wakisema "nyimbo
>>> hii"
>>> badala ya "wimbo huu"
>>>
>>>
>>> **
>>>
>>> *Regards,*
>>>
>>> **
>>>
>>> *Mugittu, Zephaniah,*
>>>
>>> **
>>>
>>> **
>>>
>>> **
>>>
>>> **
>>>
>>> *Cell: +255 784 769 481*
>>>
>>> * *
>>>
>>> *No matter how high one is talented , business acumen still a necessity*
>>>
>>> *"Poverty is a result of attitude ..."*
>>>
>>> **
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment