Tuesday, 31 July 2012

Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI

Sheria mbaya ya magazeti ilitungwa mwaka 1976. Nyerere aliondoka madarakani 1985. Mchakato wa kuleta miswada mipya wa sheria za habari na vyombo vya habari ulifanyika wakati wa kipindi cha Rais Mkapa (rejea ripoti za HAKIELIMU, MISA na LHRC). Wanaharakati wakaiambia Serikali miswada haifai ikairekebishe na wakatoa rasimu mbadala ya miswada inayofaa (rejea miswada hiyo katika tovuti ya MEDIA COUNCIL n.k). Serikali ikaingia mitini na miswada yake. Katika chambuzi zote Serikali ya Nyerere inalaaniwa kwa sheria hiyo. Je, kulaani huko kumebadilisha sheria? Mwijage kumlaani kwako Nyerere ndio kutabadili sheria hiyo?
 
-------
My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.

Address: 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
Cellphone: US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
Skype: chambi100
Twitter: @Udadisi

From: Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, July 31, 2012 7:28 AM
Subject: RE: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI

Ndugu Matanda,
 
Ni hivi: tusiwe selective katika kulaani uovu. Ina maana gani kumlaani aliyeridhi uovu bila ya kulaani aliyeanzisha uovu huo. Kwa maana, hizi sheria zilijengeka kwenye mfumo wetu zaidi ya miaka 20 ya utawala wa Mwalimu Nyerere.
 
Je, uoni kuwa uovu ni sehemu ya utamaduni wa mfumo wetu wa kisiasa? Udikteta ukiondoka, haimaanishi kuwa huo ndio mwisho wa tabia za kidikteta katika jamii. Ndio maana, ninasema sheria za kidikteta hazipashwi kuanzishwa katika hatua ya mwanzo kwa sababu siyo rahisi kuziondoa hivi. Hilo ndilo ninalolizingumzia na wala siyo kutoyazungumzia maovu ya sasa.
 
LSM

Date: Tue, 31 Jul 2012 13:04:00 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
From: denis.matanda@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

LSM,
 
Sasa nimeanza kukuelewa. Kumbe tatizo sio kwamba haya yanatokea sasa, tatizo kubwa ni kuwa tusiyaseme kwa kuwa na zamani yalitokea? Nimekuelewa. Kwangu mimi makosa mawili hayafanyi sawa.
 
Mimi si mmoja wa wale wengi wasioamini kuwa Nyerere alifanya makosa na hasa kwenye mambo haya siku hizi tunayaita haki za binadamu na nafsi yangu hainisuti kuwa mbona kipindi kile sikusema, kwa maana tofauti na wewe; umri wangu wa miaka 6 wakati mwalimu anaondoka madarakani usingeniwezesha kukemea chochote hata kama ni kwa kufanya hivyo "kimoyomoyo"!
 
Rais wa sasa amekuwa na nafsi ya kubadilisha hizi sheria kandamizi  kwa namna anayoona inafaa. So far, ameona inafaa kuendelea kuziacha; so make your own conclusions kuona utofauti wake na watangulizi wake!!!!
2012/7/31 Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>
Ndugu Denis Matanda,
 
Kwanza, kama sheria hizo zilimfaa Mwalimu kwa miaka zaidi ya 20, aliyo kuwa madarakani, kwa nini Rais Kikwete afanye haraka kuzifuta. Si angelipenda naye zimfae kama zilivyomfaa Mwalimu Nyerere?
 
Pili, kama Mwalimu mwenyewe aliyezitunga, hakuzifuta alipoachia madaraka; na halaumiwi kwa kutofanya hivyo; kwa nini alaumiwe Rais wa Awamu ya 4? Si ni Mwalimu mwenyewe aliyetaka mfumo wa vyama vingi vianzishwe?
 
Tatu, kwa nini hatuwalaumu Marais Mwinyi na Mkapa kwa kutozifuta? Si Kamati ya Hon Justice Mr Nyalali ilipendekezwa zifutwe (wakati wa Mkapa)? Kama ziliwafaa hao, iweje na Rais Kikwete asipende kufuata mkumbo huo? 
 
Leo tunajua tunayoyajua, siyo kutokana na uhuru alioutoa Mwalimu kwa raia wake bali kwa sababu ya kuwepo walao uhuru wa magazeti, mitandao ya kijamii, wa kujieleza na vyama halali vya kisiasa. Yote haya yalikuwa mwiko (rudia mwiko) wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere.
 
Haya ni maswali tu na wala haimaanishi kuwa ninaunga mkono kitendo cha kulifungia gazeti la MwanaHALISI. Nikiovu. Ninakilaani kama nilivyolaani utawala wa Mwalimu ulipofanya vitendo vya namna hiyo.
 
LSM 

Date: Tue, 31 Jul 2012 01:46:44 -0700
From: chambi78@yahoo.com

Subject: Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
To: wanabidii@googlegroups.com

Denis, "Dear Leader" anahitaji muda zaidi, 1985-2012 ni muda mfupi sana kubadilisha maovu ya Nyerere!
 
-------
My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.

Address: 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
Cellphone: US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
Skype: chambi100
Twitter: @Udadisi

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, July 31, 2012 4:41 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI

LSM na Lwega,
 
Niambieni kilichoshindikana kwa "dear leader" kurekebisha hayo mapungufu ya huyo dikteta!!! Unahitaji miaka mingapi madarakani kufuta sheria moja kandamizi?

2012/7/31 Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>
Asante Ndugu Lwega,
 
Kuna kauli ya Mahatima Gandhi kwamba what happens in the future depends on what is done in the present. Inasikitisha kwamba katika kipindi hiki cha demokrasia tunarejea tena huko kwenye miaka ya sabini.
 
LSM 

> Date: Tue, 31 Jul 2012 07:30:52 +0000

> Subject: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
> From: petermakatu@yahoo.com
> To: bugabo18@hotmail.com; wanabidii@googlegroups.com

>
> Ndugu Mwijage,
>
> Siyo vizazi vijavyo tu. Wengine tunakuelewa. Tatizo letu ni kushindwa kusema ukweli. Nakumuka hata wakati fulani Mwalimu alikiri kwamba katiba yetu ilikuwa na baadhi ya vifungu ambavyo vilikuwa vya kidikteta. Watu wakacheka kama kawaida yao. Aliwahi kusema kwamba haki ya mtu kuchagua au kuchaguliwa ni ya kuzaliwanayo. Huwezi kumpoka. Ila wakati wake eti haki ile 'ILIFUGWA' Watu wakacheka. Ndiyo wasingecheka. Huu ni upofu wa hali ya juu. Mkulu si wa kulaumu sana kwa kuwepo na sheria hii. Ila tumkumbushe kuwa haifai na haikuwahi kuwa muafaka wakati wowote wa historia ya nchi yetu.
>
> Lwega.
>
> ----------
> Sent via Nokia Email
>
> ------Original message------
> From: Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, July 31, 2012 9:10:11 AM GMT+0200
> Subject: RE: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
>
>
> Siyo kweli kwamba mimi ninamchukia Mwalimu. Mimi ninauchukia udikteta. Hilo tu. Hata angelikuwa mzazi wangu, ningelimpinga kama angelikuwa dikteta. Kwa maana kwangu mimi, demokrasia ni value. Lakini siyo udikteta. Sikutegemei uuelewe msimamo wangu. Lakini vizazi vitakavyofuata vitalielewa hili (la udikteta kutokuwa value). Kwa sababu hiyo, siamini kwamba kiongozi wa kuchaguliwa na watu (mwanasiasa) angelipenda kuujenga udikteta kabla ya kujaribu kujenga demokrasia na kuipa fursa ikomae. Kaka Denis, tulifikaje hapa tulipo?!
>
> Date: Tue, 31 Jul 2012 09:25:16 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
> From: denis.matanda@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Duh!
> Hatred yako kwa mwalimu imekutia upofu kabisa kaka yangu!
> Hivi unaweza kweli kuthubutu kumlaumu Nyerere kwa makosa yaliyofanywa kwenye awamu ya 4 eti tu kwa kuwa sheria hizo zilitungwa enzi hizo? Huyu unayesema hana kosa amefanya nini kuzifutilia mbali sheria hizo kandamizi?
>
>
> Mchukie mwalimu jinsi unavyotaka ila usikubali chuki hiyo ikufanye uonekana unreasonable!!!!
>
> 2012/7/30 Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>
>
>
>
> Hivi tumesahau kwamba hii Newspaper Act (1976), ambayo imetumika kulifunga gazeti hili ilitungwa enzi hizo za utakatifu? Kwa nini hili hatulitaji? Why?
> Hivi hizi repressive laws zote na kijikatiba cha ajabu-ajabu ambacho kilimfanya Rais awe mungu mdogo wa Tanzania, kilitungwa lini? Na nani? Je, tunautendea haki uongozi wa Rais Kikwete kuushambulia namna hii wakati viongozi wengine waliomtangulia walipoitumia kiholela sheria hiyo hiyo tulikwenda kuwachezea msewe uwanja wa ndege? Tulidhani tunafanya nini? It's time we told a few home truths!
>
>
>
>
>
>
>
>
> > Date: Mon, 30 Jul 2012 21:01:47 +0100
> > From: ngupula@yahoo.co.uk
> > Subject: Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
>
> > To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
> >
> >
> >
> > Nchi ikiongozwa na mswahili,mcheza mdundiko...,mtu asiyejua haki na kweli,unategemea nini?Ni lazima ukweli uchukiwe na majungu ndio yapendwe...tutegemee tu maumuzi mabovu kuliko haya,...kweli isipokuwa ndani ya mtu,haiwezekani kweli hiyo ipatikane kwake.Unaweza ukanywa maji machafu ukaharisha na mganga akakuambia umerogwa ukaamini tu.Wapo watu leo hii waliopima na kukutwa na HIV na baadae wakaambiwa wamerogwa wakaamini.Mnashangaa nini kwa serikali ya Jk?ngupula
>
> >
> >
> > ------------------------------
> > On Mon, Jul 30, 2012 9:48 PM EEST frank John wrote:
> >
> > >Yona unatetea mpaka unakosea gazeti heeee! Umetumwa?
> > >Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>
> > >
> > >-----Original Message-----
> > >From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> > >Date: Mon, 30 Jul 2012 14:41:09
> > >To: <wanabidii@googlegroups.com>
>
> > >Subject: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
> > >
> > >
> > >Siungi mkono kufingiwa kwa Gazeti la mwananchi ila nimetoa maoni yangu
> > >kuhusu kile kilichofanywa na Gazeti la mwananchi kuingilia ubinafsi wa
>
> > >wengine .
> > >
> > >On Jul 30, 5:33 pm, Yona Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
> > >> Naona nikusahihishe Wikileaks ni tofauti na Mwanahalisi - Mwanahalisi
>
> > >> imeingilia mawasiliano ya mtu binafsi na kuya expose kwa wengine , suala
> > >> hili linafanana na jinsi gazeti la news of the world lilivyorekodi kwa siri
> > >> mawasiliano ya wengine na hata kuingilia na kusoma mawasiliano binafsi ya
>
> > >> wengine ambayo yanalindwa na sheria za nchi husika .
> > >>
> > >> Wikileaks wao wanachapisha vitu ambavyo vimehifadhiwa , ni sawa ni mtu
> > >> akuibie kitabu chako unachohifadhi printout za barua zako unazoandikiana na
>
> > >> wafanyakazi wenzako au watu unaofanya nao kazi .
> > >>
> > >> Kwa kuwa wewe ni mdau wa sekta hii ya mawasiliano nilitegemea uwe na
> > >> aproach tofauti kwenye suala hili uwe mkweli na muwazo matokeo yake nawe
>
> > >> umeingia kwenye hisia , aibu yako - siku utakuwa kitendo pale TCRA na
> > >> utaletewa malalamiko kama haya .
> > >>
> > >> Hili sio jambo dogo na rahisi kama mnavyodhani
> > >>
>
> > >> 2012/7/30 Samuel Sasali <samuel_sas...@yahoo.com>
> > >>
> > >>
> > >>
> > >>
> > >>
> > >>
>
> > >>
> > >> > Yona Kaka,
> > >>
> > >> > Kwani Serikali Wao Wamewafanya hicho unachokisema??Serikali imewahoji
> > >> > Mwanahalisi??Serikali imehoji Makampuni Ya Simu??Serikali Imehoji
>
> > >> > Watuhumiwa??Serikali Imemuhoji Ulimboka??
> > >>
> > >> > Au Serikali Ikifanya Makosa ni Sawa??? hivi Wikileaks walikuwa
> > >> > wanawasiliana na Wanasheria??
> > >>
>
> > >> > Serikali Ya Tanzania Isiyo na Haki dawa na Aisye Haki ni Kumuumbua kwa
> > >> > sheria hizi za Kikoloni zinazolinga uovu Wa Serikali.
> > >>
> > >> > Hata wangezuia Magazeti Mangapi Yona, Lakini Mungu sio Mwakipesile
>
> > >> > atafungua Njia nyingine ya kufichua uovu.
> > >>
> > >> > Kwanza Serikali Wangethibitisha Kwa Data sio kwa Maneno, Kisha
> > >> > Wangewaumbua Mwanahalisi ni Waongo,
>
> > >>
> > >> > Mtoto akikufichua uchi hadharani Kwani unafichama Kisha ndipo unamwadhibu,
> > >> > Kumwadhibu mtoto huku hujajisitiri ni Kutafuta Balaa.
> > >>
> > >> > Ni heri Usifiuate Taratibu Ukasema Kweli, Kuliko Ukafuata Taratibu Ukasema
>
> > >> > Uwongo.
> > >>
> > >> > Kama Sheria Zimevunjwa, Serikali Si Ina Mwanasheria Mkuu, Akafungue Kesi.
> > >>
> > >> > Samuel Sasali.
> > >> > Think Differently and Make a Difference
>
> > >> > ------------------------------
> > >> > *From:* Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> > >> > *To:* Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
> > >> > *Sent:* Monday, July 30, 2012 4:36 PM
> > >> > *Subject:* [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
> > >>
> > >> > Gazeti la mwanahalisi limefanya makosa mengi katika toleo lake la
>
> > >> > mwisho nitaandika hapa kwa ufupi .
> > >>
> > >> > 1 - KUTOA TAARIFA BINAFSI ZA MTU NA MAWASILIANO YAKE
> > >> > Hili ni kosa la kwanza kama gazeti limaweza kuchapisha mawasiliano ya
>
> > >> > mtu ambayo ni binafsi ambayo mwenye uwezo wa kuangalia mawasiliano
> > >> > hayo ni makampuni ya simu tu tena baadhi ya watendaji katika kampuni
> > >> > hizo na kama zinahitajika sehemu nyingine basi mwanasheria lazima
>
> > >> > ahusishwe .
> > >>
> > >> > 2 - HABARI YA UPANDE MMOJA
> > >> > Habari ile iko na upande mmoja hatujaonyeshwe kama Idara ya usalama wa
> > >> > taifa ilihojiwa au ikulu ilihojiwa na majibu yao yalikuwa nini hata
>
> > >> > mtuhumiwa namba moja mwenyewe hajahojiwa lakini taarifa zake binafsi
> > >> > zimechukuliwa .
> > >>
> > >> > Nadhani hili liwe funzo kwetu ili tuweze kuipa heshima tasnia ya
>
> > >> > habari na wapenda democrasia kwa ujumla .
> > >>
> > >> > On Jul 30, 4:25 pm, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>
> > >> > > On Jul 30, 4:24 pm, martin pius <malagil...@yahoo.co.uk> wrote:
> > >>
> > >> > > > Mi nadhani dawa ya moto sio kufunika na blanketi!
>
> > >>
> > >> > > > Hata hivyo wamechelewa sana kulifungia! Tayari message sent and
> > >> > Delivered
> > >>
> > >> > > > --- On Mon, 30/7/12, lesian mollel <aramakur...@yahoo.com> wrote:
>
> > >>
> > >> > > > From: lesian mollel <aramakur...@yahoo.com>
> > >> > > > Subject: Re: [wanabidii] BREAKING NEWS
>
> > >> > > > To: wanabidii@googlegroups.com
> > >> > > > Date: Monday, 30 July, 2012, 16:17
> > >>
> > >> > > > Duh, sasa balaa. Kwanini? Nani mwenye press release hy atupe tuione
>
> > >> > jamani!
> > >> > > > ------------------------------
> > >> > > > On Mon, Jul 30, 2012 8:41 AM EDT daniel stephen wrote:
> > >>
> > >> > > > >Serikali yafungia gazeti la* mwanahalisi* huu ni upuuzi mkubwa na
>
> > >> > > > >ukandamizaji wa hali ya juu!!!!!!
> > >>
> > >> > > > >--
> > >> > > > >Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
>
> > >> > > > >Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com<http://kaziwww.kazibongo.blogspot.com/>
>
> > >> > > > >Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com<http://pichawww.patahabari.blogspot.com/>
>
> > >>
> > >> > > > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >> > > > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>
> > >> > kudhibitisha ukishatuma
> > >>
> > >> > > > >Disclaimer:
> > >> > > > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > >> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>
> > >> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > >> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > >>
> > >> > > > --
>
> > >> > > > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> > >> > > > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>
> > >> > > > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> > >>
> > >> > > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> > >> > > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > >> > ukishatuma
> > >>
>
> > >> > > > Disclaimer:
> > >> > > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > >> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>
> > >> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > >> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > >>
> > >> > --
>
> > >> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> > >> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>
> > >> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> > >>
> > >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>
> > >> > ukishatuma
> > >>
> > >> > Disclaimer:
> > >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > >> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>
> > >> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > >> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> > >--
> > >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
>
> > >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
>
> > >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
>
> > >
> > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> > >
> > >Disclaimer:
> > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> > >
> > >--
> > >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> > >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>
> > >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> > >
> > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >wanabi
> >
> > --
>
> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>
> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >
> >
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>
> --
>
> Wasalaam
>
> Denis Matanda,
> Mine Supt,
> Nzega - Tanzania.
>
> " Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment