Tuesday 31 July 2012

Fw: Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI

Kulifungia gazeti la Mwanahalisi hakutoi nafuu kwa watawala mafisadi bali ni kuonesha ubabe tu.

Ukitaka mawasiliano yako  binafsi yawe salama yaani yasiingiliwe basi nawe uwe msalama. yaani mawasiliano yako yawe halali. . MIMI SIONI UBAYA WA KUMTAJA ALIYEWASILIANA NA DR. ULIMBOKA MUDA MFUPI KABLA YA KUTEKWA. MIMI MILIDHANI POLISI WAMEPATA PA KUANZIA UPELELEZI KUMBE YAWEZEKANA ALIYETAJWA HAWAWEZI KUMHOJI KWA SABABU........

SIKU MOJA NILIMWAMBIA MTOTO WANGU ANILETEE KIFAA CHA KUTUNZIA SUKARI LAKINI YEYE AKANIJIBU KUWA HAJALAMBA SUKARI NI MDOGO WAKE. SASA KUMTAJA RAMA KUWA ANAFANYA KAZI IDARA YA USALAMA WA TAIFA KUNATOA HAKI GANI IDARA KUANZISHA UTETEZI WAKATI RAMA ANAWEZA KUFANYA KITENDO HICHO BILA YA KUTUMWA NA IDARA-KWA NINI HAKUJITETEA MWENYEWE? KWENYE UTETEZI HUO WALA IDARA HAIJAMKANA KUWA MFANYAKAZI NA WALA HAIJAKANA KUTOMTUMA KAMA KWELI ALIFANYA KITENDO HICHO.

ALIYEFUNGA GAZETI AMEFANYA HIVYO KWA MASLAHI YA NANI? WATANZANIA, RAMA, IDARA YA USALAMA WA VIONGOZI, AU YEYE BINAFSI?

KUNGEKUWA NA UTAWALA BORA TANZANIA MHARIRI NA MMILIKI WA MWANAHALISI WASINGEFUNGIWA KWA MAMLAKA YA MTU, HISIA NA MASLAHI YAKE BALI KUPELEKWA MAHAKAMANI ILI KUTHIBITISHA UONGO

HIVI KATI YA KUMTAJA RAMA NA KUMTEKA DR. ULIMBOKA KIPI NI UVUNJIFU WA AMANI?

KWA HIYO PROF. MUHONGO ALIYEWATAJA WEZI WA UMEME AKINA MCH. RWAKATARE TUMFANYEJE?

KUMBE KULINDA MASLAHI YA TAIFA NI KUFICHA WAALIFU......SAWA

SASA TANZANIA HAINA TOFAUTI NA SYRIA  WAAMBIE WAFUNGE MTANDAO HUU BASI TUONE






--- On Mon, 7/30/12, Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com> wrote:

From: Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, July 30, 2012, 9:27 AM

Yona, hakuna mawasiliano binafsi katika kutenda uovu dhidi ya watu
wengine. Unadhani ukichapisha mawasiliano ya simu za majambazi namna
ya kuvamia benki kwa mfano, utakamatwa na mtu? Haki binafsi inaisha
pale unapoingilia haki za wengine kama kina Ulimboka

On 30/07/2012, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Naona nikusahihishe Wikileaks ni tofauti na Mwanahalisi - Mwanahalisi
> imeingilia mawasiliano ya mtu binafsi na kuya expose kwa wengine , suala
> hili linafanana na jinsi gazeti la news of the world lilivyorekodi kwa siri
> mawasiliano ya wengine na hata kuingilia na kusoma mawasiliano binafsi ya
> wengine ambayo yanalindwa na sheria za nchi husika .
>
> Wikileaks wao wanachapisha vitu ambavyo vimehifadhiwa , ni sawa ni mtu
> akuibie kitabu chako unachohifadhi printout za barua zako unazoandikiana na
> wafanyakazi wenzako au watu unaofanya nao kazi .
>
> Kwa kuwa wewe ni mdau wa sekta hii ya mawasiliano nilitegemea uwe na
> aproach tofauti kwenye suala hili uwe mkweli na muwazo matokeo yake nawe
> umeingia kwenye hisia , aibu yako - siku utakuwa kitendo pale TCRA na
> utaletewa malalamiko kama haya .
>
> Hili sio jambo dogo na rahisi kama mnavyodhani
>
> 2012/7/30 Samuel Sasali <samuel_sasali@yahoo.com>
>
>> Yona Kaka,
>>
>> Kwani Serikali Wao Wamewafanya hicho unachokisema??Serikali imewahoji
>> Mwanahalisi??Serikali imehoji Makampuni Ya Simu??Serikali Imehoji
>> Watuhumiwa??Serikali Imemuhoji Ulimboka??
>>
>> Au Serikali Ikifanya Makosa ni Sawa??? hivi Wikileaks walikuwa
>> wanawasiliana na Wanasheria??
>>
>> Serikali Ya Tanzania Isiyo na Haki dawa na Aisye Haki ni Kumuumbua kwa
>> sheria hizi za Kikoloni zinazolinga uovu Wa Serikali.
>>
>> Hata wangezuia Magazeti Mangapi Yona, Lakini Mungu sio Mwakipesile
>> atafungua Njia nyingine ya kufichua uovu.
>>
>> Kwanza Serikali Wangethibitisha Kwa Data sio kwa Maneno, Kisha
>> Wangewaumbua Mwanahalisi ni Waongo,
>>
>> Mtoto akikufichua uchi hadharani Kwani unafichama Kisha ndipo
>> unamwadhibu,
>> Kumwadhibu mtoto huku hujajisitiri ni Kutafuta Balaa.
>>
>> Ni heri Usifiuate Taratibu Ukasema Kweli, Kuliko Ukafuata Taratibu
>> Ukasema
>> Uwongo.
>>
>> Kama Sheria Zimevunjwa, Serikali Si Ina Mwanasheria Mkuu, Akafungue Kesi.
>>
>> Samuel Sasali.
>> Think Differently and Make a Difference
>>   ------------------------------
>> *From:* Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>> *To:* Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>> *Sent:* Monday, July 30, 2012 4:36 PM
>> *Subject:* [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
>>
>> Gazeti la mwanahalisi limefanya makosa mengi katika toleo lake la
>> mwisho nitaandika hapa kwa ufupi .
>>
>> 1 - KUTOA TAARIFA BINAFSI ZA MTU NA MAWASILIANO YAKE
>> Hili ni kosa la kwanza kama gazeti limaweza kuchapisha mawasiliano ya
>> mtu ambayo ni binafsi ambayo mwenye uwezo wa kuangalia mawasiliano
>> hayo ni makampuni ya simu tu tena baadhi ya watendaji katika kampuni
>> hizo na kama zinahitajika sehemu nyingine basi mwanasheria lazima
>> ahusishwe .
>>
>> 2 - HABARI YA UPANDE MMOJA
>> Habari ile iko na upande mmoja hatujaonyeshwe kama Idara ya usalama wa
>> taifa ilihojiwa au ikulu ilihojiwa na majibu yao yalikuwa nini hata
>> mtuhumiwa namba moja mwenyewe hajahojiwa lakini taarifa zake binafsi
>> zimechukuliwa .
>>
>> Nadhani hili liwe funzo kwetu ili tuweze kuipa heshima tasnia ya
>> habari na wapenda democrasia kwa ujumla .
>>
>> On Jul 30, 4:25 pm, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>> > On Jul 30, 4:24 pm, martin pius <malagil...@yahoo.co.uk> wrote:
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> > > Mi nadhani dawa ya moto sio kufunika na blanketi!
>> >
>> > > Hata hivyo wamechelewa sana kulifungia! Tayari message sent and
>> Delivered
>> >
>> > > --- On Mon, 30/7/12, lesian mollel <aramakur...@yahoo.com> wrote:
>> >
>> > > From: lesian mollel <aramakur...@yahoo.com>
>> > > Subject: Re: [wanabidii] BREAKING NEWS
>> > > To: wanabidii@googlegroups.com
>> > > Date: Monday, 30 July, 2012, 16:17
>> >
>> > > Duh, sasa balaa. Kwanini? Nani mwenye press release hy atupe tuione
>> jamani!
>> > > ------------------------------
>> > >  On Mon, Jul 30, 2012 8:41 AM EDT daniel stephen wrote:
>> >
>> > >  >Serikali yafungia gazeti la* mwanahalisi* huu ni upuuzi mkubwa na
>> > >  >ukandamizaji wa hali ya juu!!!!!!
>> > >  >
>> > >  >--
>> > >  >Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
>> > >  >Pata nafasi mpya za
>> > > Kaziwww.kazibongo.blogspot.com<http://kaziwww.kazibongo.blogspot.com/>
>> > >  >Blogu ya Habari na
>> > > Pichawww.patahabari.blogspot.com<http://pichawww.patahabari.blogspot.com/>
>> > >  >
>> > >  >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > >  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>> > >  >
>> > >  >Disclaimer:
>> > >  >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>> > > any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > >  >
>> > >  >
>> >
>> > > --
>> > > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
>> > > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>> > > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>> >
>> > > Disclaimer:
>> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>>   --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>


--
=RSM=

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment