Saturday, 28 July 2012

Re: [wanabidii] Kiswahili Sanifu

Kwangu mimi kukana mashtaka ni kukataa /kutokubali mashtaka unayoshtakiwa kwayo. 
Na kukanusha ni kufafanua kwa maelezo ni jinsi gani huhusiki na hayo mashtaka
 
2012/7/28 Fadhy Mtanga <fadhy613@yahoo.com>
Ahsanteni sana maana nimejifunza jambo kubwa leo katika lugha.

lilian.ruga@yahoo.com wrote:

>Matinyi neno Kubaka nalo je?
>Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
>-----Original Message-----
>From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Fri, 27 Jul 2012 12:02:20
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: RE: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
>
>
>
>Odour,
>
>Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili-Kiingereza ya TUKI, Toleo la Kwanza, 2001: (-kana kutoka kukana; -kanusha kutoka kukanusha)
>-kana = deny, disown, renounce, decline, contradict, disclaim, negate (Uk. 127).
>-kanusha = refute, deny, disprove, retract, negate (Uk. 128).
>
>Naomba tuchukue maneno mawili ambayo yamo kote kote, yaani deny na negate, kisha tuangalie kwenye:
>Kamusi ya TUKI ya Kiingereza-Kiswahili, Toleo la Tatu, 2006, Uk. 222 &
>Deny = -kana, -kanusha (Uk. 222).
>Negate = -kana, -kanusha (Uk. 593).
>
>Nyongeza ya kisarufi na siyo ya kimsamiati/kiistilahi:
>Kitenzi "kana" ni cha kawaida (regular verb) wakati kitenzi "kanusha" ni kitenzi sababishi (causative verb).
>Mfano wa kitenzi wa vitenzi hivi ni kama hivi:
>kula = kulisha
>kupita = kupitisha
>kucheka = kuchekesha
>kuweza = kuwezesha
>kujaa = kujaza
>kutembea = kutembeza
>kurudi = kurudisha
>kuamka = kuamsha
>
>Naomba umalizie majibu ya maswali yaliyobaki wewe mwenyewe kama zoezi la nyumbani kwa sababu u mtaalamu pia.
>
>Matinyi.
>
>
>
>
>
>Date: Fri, 27 Jul 2012 03:03:29 -0700
>From: pauliyai@yahoo.com
>Subject: Re: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
>To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>Oduor na wengine,
>Kwangu mimi kukana mashtaka ni kutokubali kuwa uliyafanya mambo uliyoshitakiwa kwayo na kukanuasha mashtaka ni kupinga mashtaka kwa niaba ya mtendaji au wengine kuwa mashtaka hayo si kweli. Katika kukana mashtaka, unakubali kuwa sheria ilivunjwa lakini si wewe uliyetenda uhalifu huo. Katika kukanusha mashtaka, unapinga kuwa hakukuwa na uvunjaji wa sheria au uhalifu.
>shukrani.
>Paulo
>
>
>
>
>
>
>
>From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
>To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Friday, July 27, 2012 4:13 PM
>Subject: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
>
>
>
>Enyi wataalamu wa Kiswahili. Ni ipi iliyosanifu?
>
>Kukana mashtaka;      ama
>
>Kukanusha mashtaka   ???????
>
>
>Courage,
>Oduor Maurice
>
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment