Novat,
Hawa watu wanacheza na HISIA za wafanyakazi juu ya mafao yao, mfanyakazi amekuwa mtu wa kunyonywa na kumwacha mifupa mitupu..PAYE yake inatumika sivyostahili na sasa mfuko wake wa jamii unataka kuporwa kwa sheria kandamizi. Je hiyo mifuko ya jamii ilipita kukusanya maoni, mapendekezo na ushauri kwa hiyo sheria ya marekebisho ya hifadhi za jamii?
Napata shaka kuwa sasa SSRA inatumika kufanikisha jambo fulani kwa serikali na si kumtetea mwanachama wa hii mifuko,
kuna ajenda ilio jificha hapa.
Date: Tue, 31 Jul 2012 13:24:04 -0700
From: shivyawata@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] FW: TAARIFA KWA UMAA-SSRA
To: wanabidii@googlegroups.com
From: Boniface Sabanaya <bonnyluv84@hotmail.com>
To: wanabidii Tanzania <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, July 31, 2012 4:02 PM
Subject: [wanabidii] FW: TAARIFA KWA UMAA-SSRA
Sorry nimeipa kichwa cha habari
From: bonnyluv84@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii]
Date: Tue, 31 Jul 2012 15:58:43 +0300
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Hapa Hasomeshwi mtu, iweje sasahivi mamlaka ndiyo inaona kutimiza malengo ya mifuko. Isingekuwa na shida iwapo wadau wangehusishwa na yakawepo maafikiano au la yakapokelewa maoni.
Subirini majira, mlango mlioingilia ndiyo mtakotokea (hata Biblia imesema).
Niulize, hivi Watanzania siku hizi hatuna utu, hatuna uzalendo, hatujali vilio vya wenzetu. Kelele zao ni nyimbo za kuburudisha. Malalamiko ya tabaka la chini ndiyo faraja ya watawala, viongozi na wenye nyadhifa katika mamlaka nyingi!??!!! Mi nitaaadharishe kama wengine walivyowahi kufanya kuwa tuzidisha mrudiko wa kuni za tanuru, tunamwaga mafuta juu yake, siku moja moto utakuja kulipuka.
Mungu asituepushie.
Novat
From: Boniface Sabanaya <bonnyluv84@hotmail.com>
To: wanabidii Tanzania <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, July 31, 2012 4:02 PM
Subject: [wanabidii] FW: TAARIFA KWA UMAA-SSRA
Sorry nimeipa kichwa cha habari
From: bonnyluv84@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii]
Date: Tue, 31 Jul 2012 15:58:43 +0300
Wanabidii hawa SSRA mbona wanatuchanganya, juzi walitoa kile, leo wanatoa hiki. Pili taarifa haina tarehe, aliyetia sahini ana wadhifa hupi ndani ya hicho kitengo na jina lake ni lipi..
-Sasa anasema hii taarifa haiwahusu GEPF, PPF, NSSF, LAPF na wale wanachama waliojitoa kabla ya tarehe 20-07-2012.
Hikimaanisha kuwa mifuko mingine iliyo baki kama NHIF na PSPF ndio walengwa wa hii taarifa hispokuwa tu wanachama wa hiyo mifuko mwili waliojitoa kabla tarehe 20-07-2012.
Hawa SSRA wanadhamira njema kweli?au kuna kitu kimejificha?
Tafadhali wanabidii tujadili hili.
mwananchi wa kawaida.
-Sasa anasema hii taarifa haiwahusu GEPF, PPF, NSSF, LAPF na wale wanachama waliojitoa kabla ya tarehe 20-07-2012.
Hikimaanisha kuwa mifuko mingine iliyo baki kama NHIF na PSPF ndio walengwa wa hii taarifa hispokuwa tu wanachama wa hiyo mifuko mwili waliojitoa kabla tarehe 20-07-2012.
Hawa SSRA wanadhamira njema kweli?au kuna kitu kimejificha?
Tafadhali wanabidii tujadili hili.
mwananchi wa kawaida.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment