Monday 30 July 2012

Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI

Nasisitiza,

"You can ban the people, liquidate an organization but revolution ideas shall never die"

I MISS MWANAHALISI!

--- On Mon, 30/7/12, Gululi Gululi <gululig@yahoo.com> wrote:

From: Gululi Gululi <gululig@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 30 July, 2012, 17:43


Mwaka 1974, pale mlimani, kulikuwa na jarida maarafu sana liloitwa "cheche" serikali iliwahi kulifungia kwa madai ya uchochezi. Katika toleo lake la mwisho lilisomeka hivi, "You can ban the people, liquited an organisation but revolution ideas shall never die".  Brovo mwanahisi mawazo yenu hayatakufa.
------------------------------
On Mon, Jul 30, 2012 7:16 AM PDT Samuel Sasali wrote:

>Yona Kaka,
>
>Kwani Serikali Wao Wamewafanya hicho unachokisema??Serikali imewahoji Mwanahalisi??Serikali imehoji Makampuni Ya Simu??Serikali Imehoji Watuhumiwa??Serikali Imemuhoji Ulimboka??
>
>Au Serikali Ikifanya Makosa ni Sawa??? hivi Wikileaks walikuwa wanawasiliana na Wanasheria??
>
>Serikali Ya Tanzania Isiyo na Haki dawa na Aisye Haki ni Kumuumbua kwa sheria hizi za Kikoloni zinazolinga uovu Wa Serikali.
>
>Hata wangezuia Magazeti Mangapi Yona, Lakini Mungu sio Mwakipesile atafungua Njia nyingine ya kufichua uovu.
>
>Kwanza Serikali Wangethibitisha Kwa Data sio kwa Maneno, Kisha Wangewaumbua Mwanahalisi ni Waongo,
>
>Mtoto akikufichua uchi hadharani Kwani unafichama Kisha ndipo unamwadhibu, Kumwadhibu mtoto huku hujajisitiri ni Kutafuta Balaa.
>
>Ni heri Usifiuate Taratibu Ukasema Kweli, Kuliko Ukafuata Taratibu Ukasema Uwongo.
>
>Kama Sheria Zimevunjwa, Serikali Si Ina Mwanasheria Mkuu, Akafungue Kesi.

>Samuel Sasali.
>
>Think Differently and Make a Difference
>
>
>________________________________
> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Monday, July 30, 2012 4:36 PM
>Subject: [wanabidii] Re: SERIKALI YAFUNGIA GAZETI LA MWANAHALISI
>
>Gazeti la mwanahalisi limefanya makosa mengi katika toleo lake la
>mwisho nitaandika hapa kwa ufupi .
>
>1 - KUTOA TAARIFA BINAFSI ZA MTU NA MAWASILIANO YAKE
>Hili ni kosa la kwanza kama gazeti limaweza kuchapisha mawasiliano ya
>mtu ambayo ni binafsi ambayo mwenye uwezo wa kuangalia mawasiliano
>hayo ni makampuni ya simu tu tena baadhi ya watendaji katika kampuni
>hizo na kama zinahitajika sehemu nyingine basi mwanasheria lazima
>ahusishwe .
>
>2 - HABARI YA UPANDE MMOJA
>Habari ile iko na upande mmoja hatujaonyeshwe kama Idara ya usalama wa
>taifa ilihojiwa au ikulu ilihojiwa na majibu yao yalikuwa nini hata
>mtuhumiwa namba moja mwenyewe hajahojiwa lakini taarifa zake binafsi
>zimechukuliwa .
>
>Nadhani hili liwe funzo kwetu ili tuweze kuipa heshima tasnia ya
>habari na wapenda democrasia kwa ujumla .
>
>On Jul 30, 4:25 pm, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>> On Jul 30, 4:24 pm, martin pius <malagil...@yahoo.co.uk> wrote:
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> > Mi nadhani dawa ya moto sio kufunika na blanketi!
>>
>> > Hata hivyo wamechelewa sana kulifungia! Tayari message sent and Delivered
>>
>> > --- On Mon, 30/7/12, lesian mollel <aramakur...@yahoo.com> wrote:
>>
>> > From: lesian mollel <aramakur...@yahoo.com>
>> > Subject: Re: [wanabidii] BREAKING NEWS
>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>> > Date: Monday, 30 July, 2012, 16:17
>>
>> > Duh, sasa balaa. Kwanini? Nani mwenye press release hy atupe tuione jamani!
>> > ------------------------------
>> >  On Mon, Jul 30, 2012 8:41 AM EDT daniel stephen wrote:
>>
>> >  >Serikali yafungia gazeti la* mwanahalisi* huu ni upuuzi mkubwa na
>> >  >ukandamizaji wa hali ya juu!!!!!!
>> >  >
>> >  >--
>> >  >Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
>> >  >Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>> >  >Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>> >  >
>> >  >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> >  >
>> >  >Disclaimer:
>> >  >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >  >
>> >  >
>>
>> > --
>> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>>
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment