Fadhili;
Pole sana kwa usumbufu uliojitokeza baada ya miimi kuhakikishiwa kabisa na DeoKaji Makomba reporter wa BBC kanda ya Ziwa na hata kunihakikishia kwa kunisikilizisha sehemu ya taarifa yetu aliyokuwa amekwisha ituma London Jumatatu kwamba ingetoka jioni yake. Ukweli ni kwamba nilifanya juhudi kubwa sana kuwa na mawasiliano naye kwa siku ile nzima ya Jumatatu ili lile tamko letu la Ijumaa iliyopita litoke kwani lilikuwa na ujumbe mzito sana wa kuifanya Serikali yetu isiyi sikivu iweweseke lakini suddenly hata mimi nilikuwa shocked kukaa kwenye redio jioni ile bila kusikia hata sehemu fupi ya TAMKO LETU.
Ukweli ni kwamba pale pale nikiwa pembeni ya Redio niliwasiliana na DeoKaji makomba wa BBC na kumlaumu kuwa kumbe hata BBC nao wameshanunuliwa na Mafisadi kama vyombo vyetu vya habari vya humu Nchini kama Star TV, ITV na TBC? Deo alijieleza sana hata kwa sms ambazo hadi sasa ninazo katika simu yangu na hatimaye kufikia kunihakikishia kuwa habari ile ingeweza kurushwa asubuhi ya Jumanne lakini napo ilikuwa ni UONGO.
Fadhili hadi hapo unaweza ukapata picha na kugundua kwamba, tayari Mkono wa Mafisadi umeshaingia hadi kwenye vyombo vya Kimataifa kwa kuwa nia ya Serikali katika jambo hili ni MBAYA sana, kwa maana hiyo ushauri wangu ni kuendelea kuwabana hawa Mafisadi waachie haki yetu mara moja na katika hili hatutakiwi kurudi nyuma hadi pale haki yetu itakapopatikana kwani hata WASWAHILI WALISEMA, `MCHUZI WA MBWEHA UNANYWEWA UKIWA BADO WA MOTO’
Mapambano Daima hadi kieleweke.
Rogers
From: Lihinda, Fadhili
Sent: 01 August 2012 07:09
To: Ruhega, Rogers; Igeje, Cleven; Furaha Robert; Sabai, Thomas; Aloyce, Shigela; Luhanga, Mussa; Karashani, Ignas; Najumo Kipepe; Lugata, Shija; Sheda, Ferdinand; Deogratias Haule; Joseph, Danny; Babile, Peter; Kalondwa, Eric; Kitaja, Abel; Dr. Kiva Mvungi; Mabula, Regina; Amani, Francis; Fega, Bernard; 'wanabidii@googlegroups.com'; Mhina, Salma; 'Katulanda Frederick'; Hillal, Zeyana; Mchau, Hanson; Lugata, Shija; Salamba, Linus; Samweli, Lucas; Mwazembe, George; Gombo, Ikingo; Iyobe, Kubeja; Joseph, David; Mugire, Joseph; Omary, Mwadawa; Deogratias Haule
Subject: RE: Tamko la ijumaa la Wafanyakazi kususia Sensa linatoka BBC leo saa 12:30 Jioni
Ndugu Mbunge wa Geita (mimi bado naamini we ndo ulishinda, ila akatangazwa bwana cha Pombe), mbona hii kitu mi sikuisikia? Au labda wameenda hewani leo asubuhi?
From: Ruhega, Rogers
Sent: Monday, July 30, 2012 4:11 PM
To: Igeje, Cleven; Furaha Robert; Sabai, Thomas; Aloyce, Shigela; Luhanga, Mussa; Karashani, Ignas; Najumo Kipepe; Lugata, Shija; Sheda, Ferdinand; Lihinda, Fadhili; Deogratias Haule; Joseph, Danny; Babile, Peter; Kalondwa, Eric; Kitaja, Abel; Dr. Kiva Mvungi; Mabula, Regina; Amani, Francis; Fega, Bernard; wanabidii@googlegroups.com; Mhina, Salma; Katulanda Frederick; Hillal, Zeyana; Mchau, Hanson; Lugata, Shija; Salamba, Linus; Samweli, Lucas; Mwazembe, George; Gombo, Ikingo; Iyobe, Kubeja; Joseph, David; Mugire, Joseph; Omary, Mwadawa; Deogratias Haule
Subject: RE: Tamko la ijumaa la Wafanyakazi kususia Sensa linatoka BBC leo saa 12:30 Jioni
Wadau;
Kwa habari za uhakika kutoka kwa DeoKaji Makomba wa BBC, amenihakikishia kuwa Tamko la wafanyakazi wa GGML na Mashirika binafsi inatoka leo saa 12:30 jioni, hivyo wafahamishe wafanyakazi wenzako na jamaa wenye maslahi na Mapambano haya asikilize jioni ili kujenga molari wa jambo hili.
Wenu katika Mapambano dhidi ya dhuluma hii ya Serikali kwa Sisi masikini.
Rogers
From: Igeje, Cleven
Sent: 30 July 2012 15:23
To: Furaha Robert; Sabai, Thomas; Aloyce, Shigela; Luhanga, Mussa; Ruhega, Rogers; Karashani, Ignas; Najumo Kipepe; Lugata, Shija; Sheda, Ferdinand; Lihinda, Fadhili; Deogratias Haule; Joseph, Danny; Babile, Peter; Ruhega, Rogers
Subject: RE: Utata wa malipo kwa mke wa Mudhihiri
Tujipange kuhamasisha watu tulio karibu nao wakapige kura 2015
From: Furaha Robert
Sent: Monday, July 30, 2012 3:00 PM
To: Sabai, Thomas; Aloyce, Shigela; Luhanga, Mussa; Ruhega, Rogers; Karashani, Ignas; Najumo Kipepe; Lugata, Shija; Sheda, Ferdinand; Lihinda, Fadhili; Deogratias Haule; Igeje, Cleven; Joseph, Danny; Babile, Peter; Ruhega, Rogers
Subject: RE: Utata wa malipo kwa mke wa Mudhihiri
Jipangeni sasa…
From: Sabai, Thomas
Sent: Monday, July 30, 2012 2:59 PM
To: Furaha Robert; Aloyce, Shigela; Luhanga, Mussa; Ruhega, Rogers; Karashani, Ignas; Najumo Kipepe; Lugata, Shija; Sheda, Ferdinand; Lihinda, Fadhili; Deogratias Haule; Igeje, Cleven; Joseph, Danny; Babile, Peter; Ruhega, Rogers
Subject: RE: Utata wa malipo kwa mke wa Mudhihiri
Tumekusoma Furaha,
Kwa kweli wakati tunaipigia kelele hii sheria mbovu ni vyema pia tukawapigia kelele walio njuma ya hiyo sheria. Mkurugenzi Mkuu wa SSRA na wa wakurugenzi wakuu wa NSSF na PPF. Inaonekana kuna ufisadi mkubwa unaendelea ndani ya mifuko hiyo.
From: Furaha Robert
Sent: Monday, July 30, 2012 2:37 PM
To: Aloyce, Shigela; Luhanga, Mussa; Ruhega, Rogers; Karashani, Ignas; Najumo Kipepe; Lugata, Shija; Sheda, Ferdinand; Lihinda, Fadhili; Deogratias Haule; Igeje, Cleven; Joseph, Danny; Babile, Peter; Sabai, Thomas; Ruhega, Rogers
Subject: Utata wa malipo kwa mke wa Mudhihiri
Mbunge wa zamani wa jimbo la mchinga ndg Mudhihiri ambae kwa sasa ni mjumbe wa bodi ya korosho Tanzania, amekuwa akipokea malipo ya matunzo kwa ajili ya ulemavu wake wa mkono uliokatika mwaka 2008.
Malipo haya yamekuwa yakipokelewa na mke wake ili kumtunza kwa ajili ya kufanikisha majukumu yake kama mjumbe wa bodi.
Suala hili limeibua utata wa hali ya juu kwani yameibuka maswali mengi ilhali hakuna jawabu hata moja.
Ni sheria au kanuni gani zimetumika kuidhinisha malipo haya kwa mke wa Mudhihiri kisa ni mlemavu?
Ni majukumu gani mazito yanayohitaji kugharamiwa matunzo na serikali?
Malipo ya aina hii yanafanyika kwa wafanyakazi wa kada zote walio na ulemavu wa viungo au hili lamuhusu Mudhihiri peke yake.
Mudhihiri alivunjika mkono tangu 2008 akiwa mbunge,je bunge nalo lilikuwa linamlipa mke wake posho ya kumtunza mume wake?
Mudhihiri kwa sasa ni mjumbe wa bodi ya NSSF, kutakuwa na usalama huko?
Nge nge ngeeeeeeeeee,tafakari.
Sasa napata picha kwanini mfuko hauna pesa ya kulipa mafao.
From: Aloyce, Shigela
Sent: Monday, July 30, 2012 1:02 PM
To: Luhanga, Mussa; Ruhega, Rogers; Karashani, Ignas; Najumo Kipepe; Lugata, Shija; Sheda, Ferdinand; Lihinda, Fadhili; Deogratias Haule; Igeje, Cleven; Joseph, Danny; Babile, Peter; Sabai, Thomas; Ruhega, Rogers
Cc: Furaha Robert
Subject: FW:
Wadau,
Mdau Furaha Robert kanitumia maoni ya wenzetu wa Nzega kuhusiana na mchakato wa madai ya mabadiliko ya sheria hii kandamizi ya mifuko ya pension. Tafadhali yapitieni ili tuweze kuyaweka pamoja kama yetu sote. Pia, nashauri kuwa tuwashirikishe katika suala hili la kuenda “next” level ya madai yetu kama yalivyoanza kuonyeshwa na wadau wenzetu, mfano e-mail ya Mh. Sabai, Katibu wetu wa Tawi. Kwa kuunganisha nguvu ya migodi yote na sekta mbalimbali zilizoathirika na mabadiliko haya ya sheria hii, tutaweza, sio tu kupata mabdiliko ya kipengere kilichopigiwa kelele sana, bali sheria nzima maana karibu yooote, ni kandamizi sana.
Hata Idd Amini Dada alipovamia Kagera, tulimfukuza mpaka kwenye nchi yake mwenyewe, hivyo vuguvugu hili liende mbali zaidi kuhakikisha tunaipigia sheria yote ili wanasiasa wasijinufaishe peke yao tena kwa kodi zetu wenyewe.
From: Furaha Robert
Sent: 30 July 2012 11:39
To: Aloyce, Shigela
Subject:
Furaha Robert Condition Monitoring Tel: +255 28 252 0500 Ext: 5087 Short Code: 1579 Fax:+255282520502 Email: furaha.robert@geitagold.com ``Impossible is nothing!`` Think before you print. | |
| |
0 comments:
Post a Comment