Saturday 28 July 2012

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko ] A S Kivamwo amepotea?

Lutinwa hizo mbesa kiduchu sana. Sie twaangalia baada kinachofuata kisoka baada ya kutwaa ubingwa. Sema ukweli..baada ya Kagame mnaeingia mashindano gani zaidi ya ligi ya kawaida imtu na hilo kombe lenu mtalisahau muanze kupigana ngumi. Unamkumbuka lakini mzee wenu yule kocha toka Uganda??..kakaaake Bassena wa Simba??....alitolewa mkuku kisa eti hana jipya...Yeboyebo bana!!??

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, July 28, 2012 7:01 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko ] A S Kivamwo amepotea?

Kivamwo,
sizitaki mbichi, wenzio tume-pocket $30,000, nyie mmechukua nini?
Sent from My Samsung Tab 10.1
On Jul 28, 2012 6:59 PM, "A S Kivamwo" <kivamwo@yahoo.com> wrote:

Mashaka..na mie nitofautiane na wewe....aaa wapi..kakombe hako mlochukua leo--kanaishia hapa hapa tu..
Sie tulipaeleka kombe kubwa Mbande..lile lile ndio litatutoa kimataifa...huku nyie mkikodoa macho huku mkiwa mshamtimua mzungu wenu..na manji wenu akiwa haivi tena na mzee akilimali...wee unacheza na akilimali yule mzee wa kakonko??!!

From: Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 28, 2012 6:44 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko ] A S Kivamwo amepotea?

A S Kivamwo.

Asante kujitokeza mtandaoni na kwa pongezi zako.

NITOFAUTIANE na wewe kuhusu hilo kombe la Kagame ambalo unaliita kakombe ka Kagame.

Hilo haliruhusiwi kupelekwa Mbagala kule Dar Live kama mlivyofanya Msimabazi, hilo lina hadhi ya Afrika Mashariki na Kati.

From: A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 28, 2012 6:38 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko ] A S Kivamwo amepotea?

Mashaka na Ngowi na yeboyebo wote

Mbona mie nipo tu jamaa zangu?...na mimi huyu huyu nilikiri kuwa yeboyebo (kwa sasa hivi) wamakaa vizuri kuutetea ubingwa wao ambao unaishia hapa hapa kwenye documents za Musonye. Ila hongereni kwa kujifariji na kajikombe hako kanakofadhiliwa na Mzee Kagame.

From: Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>; "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 28, 2012 6:15 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko ] A S Kivamwo amepotea?

Ngowi huko Kibisa ni wapi? Mara nyingi siku yenye tukio kubwa la kitaifa kama leo, huwa anakuwa Kakonko kule Kigoma. Labda kama kuna mwanachama mwenzetu aliyepo huko atajuze.

From: Deus Ngowi <deusngowi@yahoo.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 28, 2012 6:11 PM
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko ] A S Kivamwo amepotea?

Habari zisizothibitishwa zinasema amekwenda Kibisa. Sina hakika kama kuna uhusiano na Nyoka wa Kibisa.
 
From: Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>
To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 28, 2012 3:59 PM
Subject: [Mabadiliko ] A S Kivamwo amepotea?

Nimejitahidi kumtafuta A S Kivamwo kwenye simu zake hapatikani. Ni rafiki yangu wa karibu na sijui kapotelea wapi.

Kuna mwenye taarifa zake anisaidie?

Sasa hivi nipo Dar es Salaam mtaa wa Jangwani kwenye jengo la Yanga.
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
This years motto: 'WALK THE TALK'
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment