Friday, 27 July 2012

Re: [wanabidii] TANGAZO LA KAZI UTUMISHI

Tangazo hili kwa mfano limetoka pia kwenye Gazeti la Daily News na tovuti ya serikali ya masuala ya ajira na wengi wanajua tovuti hiyo na gazeti hilo .

Kuhusu mfumo huu unaotumika naona ni vizuri tunatakiwa kuwajua waajiriwa wetu kwa kupata taarifa zao mbalimbali kwa ajili ya maslahi yao na kwa nchi kwa ujumla , hapo kabla hakukuwa na njia rahisi ya kupata taarifa za waajiriwa mbalimbali nchini kwa njia ya click ambayo inaweza kuwa accessible  toka sehemu mbalimbali duniani .

Kuhusu feedback , pia soma magazeti hilo na mengine ya serikali na angalia tovuti ya ajira mara kwa mara huwa wanaandika majina ya wale waliochaguliwa kwa ajili ya usaili na wale walioshida usaili na hata kupangiwa vituo vya kazi .

2012/7/27 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
Juda,

Kinachofanyika ni usanii tu ndg yangu, unatangaza nafasi za wahudumu kwenye internet, wangapi wenye access hiyo vijijini, matokeo yake wahudumu nawatendaji wa vijiji mikoani ati wanatoka Dar!!

Nina wasi wasi sana na centralization ya ajira, lazima kuna ajenda ya siri!

Felix

2012/7/27 Juda Semali <jsemali2002@yahoo.co.uk>
Hi all,

Mh. Yona, ninapata taabu sana kuamini kinachotangazwa na serekali kwa wananchi wake kama kweli wamenuia kupata watu wasomi, watendaji, waadilifu na wenye uwezo wa kubadili mashirika yetu.

Mfano, kuna kazi zilitangazwa tangu June mwanzoni lakini hadi leo walioomba ninaowafahamu hawajaitwa, wala shortlisting haijatoka.

Kinachonitia hofu ni centralization ya recruitment, jambo linaloongeza mianya ya rushwa na vimemo vya wakubwa.

Naomba unisaidie kujua uwazi uliopo kwenye zoezi zima la ajira serekalini na kutokuwepo kwa political influence kuajiri watoto wa fulani kwenye idara fulani

Rgds
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Date: Fri, 27 Jul 2012 13:10:14 +0300
Subject: [wanabidii] TANGAZO LA KAZI UTUMISHI

TANGAZO LA KAZI UTUMISHI

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment