Tuesday 30 June 2015

Re: [wanabidii] LG YATOA PUNGUZO KABAMBE LA BEI YA BIDHAA ZAKE KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI NA SABASABA

Mnavyojitangaza ingeendana na ulipaji kodi halisi, ningewapongeza.

2015-07-01 6:36 GMT+03:00 zainul mzige <zainul.mzige21@gmail.com>:
Habari za asubuhi,

Msaada tutani, kama utapenda kuitumia ila nisikukwaze kama utaona haifai...Boss wangu yuko humu ndani na sisi ni mawakala rasmi wa bidhaa hiyo.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group, Bi. Fatema Dewji-Jaffer akipokea taarifa ya shughuli mbalimbali zinazoendelea kwenye maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa maarufu kama "Sabasaba" kwa mmoja wa maafisa wa kampuni ya bidhaa za LG Tanzania ambapo kampuni ya Mohammed Enterprises Limited Tanzania (MeTL) ndio msambazaji rasmi wa bidhaa hiyo nchini kabla ya hafla fupi ya uzinduzi wa friji mpya ya LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia na Coral Irish".

Mmoja wa wakurugenzi wa LG toka Korea, Bw. Billy Kim (Kulia) akizindua rasmi friji mpya ya LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia na Coral Irish" katika banda la LG ndani ya viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa maarufu kama "Sabasaba" anayeshuhudia (kushoto) ni Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer.

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG Tanzania, Bi. Elizabeth Morris (katikati) akifafanua zaidi kwa waandishi wa habari hawapo pichani aina mpya ya friji ya LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia na Coral Irish" wakati wa uzinduzi wa bidhaa hiyo mpya, katika viwanja vya maonyesho ya biashara ya kimataifa maarufu kama "Sabasaba". Kulia ni Mkurugenzi wa LG, Mohan Kumar na mmoja wa wakurugenzi wakuu wa LG toka Korea Bw. Billy Kim pamoja na Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer (wa pili kushoto).

Na Modewjiblog team

Kampuni ya LG Tanzania imetangaza ofa kabambe ya punguzo la bei za bidhaa zake, itakayodumu katika kipindi chote cha maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba ikiwa ni kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Meneja mwandamizi wa LG, Bw. Kim Taehoon amesema wateja watakaonunua bidhaa za LG katika kipindi hiki cha Ramadhani na Sabasaba watafurahia punguzo la bei la hadi asilimia 15, pamoja na ofa nyingine za kuvutia zikiwemo zawadi za bure.

Bw. Kim pia ametumia fursa hiyo kuitambulisha friji mpya za LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia" na "Coral Irish" kwa mara ya kwanza kabisa katika soko la Tanzania na kuthibitisha kuwa kampuni ya Mohammed Enterprises Limited Tanzania (MeTL) kuwa msambazaji rasmi wa bidhaa hiyo nchini.

Amesema friji hizo zina nafasi kubwa na nyingi za kuhifadhia vyakula, uwezo wa kuzuia bakteria na hivyo kutunza vyakula katika hali ya usalama wa kiafya.

Friji hizo zina makabati yaliyojengewa kwa ndani katika milango yake, ambapo aina hiyo ya milango huja pamoja na kioo imara.

Amesema friji hizo zinatumia teknolojia mpya ya LG "Smart Inverter Compressor" ambayo ina uwezo wa kupunguza matumizi ya umeme hadi asilimia 36.

Bw. Kim amewashauri watanzania kuchangamkia fursa ya bidhaa hizo mpya zilizoingia sokoni na kuwahakikishia kuwa watastaajabishwa na ubora na uwezo wa friji hizo,

Amesema kuwa Friji hizo pia zitapatikana katika maduka mengine yote yanayouza vifaa vya kielektroniki jijini Dar es Salaam.

Ameongeza kuwa katika kipindi hiki cha mfungo mtukufu wa Ramadhani, watu wengi hutunza vyakula vyao kwenye friji na ni hulka ya wengi kuamka usiku kwa ajili ya kupata Daku, hivyo bidhaa hii itakuwa na manufaa sana kwao, kwani ina uwezo wakulinda dhidi ya unyevunyevu na pia kutunza chakula katika hali ya usalama.

Ofa hizi zitadumu kipindi chote za mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja na Sabasaba, hii ni katika kuwapa wateja wa LG muda wa kutosha kujipatia bidhaa za LG zenye punguzo la bei

Bw. Kim Taehoon amesisitiza kuwa kampuni ya LG Electronics daima inaendelea kuboresha mfumo wa teknolojia ili kuleta bidhaa zenye ubora na muonekano yakinifu, ili kufikia viwango vya matumizi ya kimataifa.

Amesema toka kuanzishwa kwake mwaka 1958, LG inaendelea kuzalisha bidhaa zinazoendana na mahitaji ya wateja wake na uingizwaji wa bidhaa hii mpya sokoni ni muendelezo wa matoleo ya teknolojia, ambayo yanatengenezwa na kuboreshwa kulingana na matakwa na mahitaji ya wateja.

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) ubora wa kompresa za friji za kampuni ya LG ambazo ni imara na zinahimili hali ya hewa ya mazingira yoyote wakati wa uzinduzi wa bidhaa hiyo mpya katika viwanja vya maonyesho vya sabasaba.

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) bidhaa nyingine za LG ambazo zipo kwenye ofa ya punguzo la bei la asilimia 15 katika msimu huu wa sabasaba na Ramadhani ndani ya banda la MeTL Group.

Waandishi wa habari wakiangali moja ubora wa TV za LG kwa kutumia miwani ya 3D inapoivaa inakuonyesha uhalisia wa picha unayoitaza kwa ukaribu zaidi wakati uzinduzi wa moja ya bidhaa za LG katika banda la kampuni ya MeTL Group kwenye maonyesho ya sabasaba yanayoendelea kutimua vumbi jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer akimkabidhi zawadi kutoka MeTL, Mkurugenzi wa kampuni ya LG toka Korea, Bw. Billy Kim mara baada ya uzinduzi huo katika banda la MeTL Group.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer akiendelea na zoezi la kukabidhi zawadi kwa maafisa wa kampuni ya LG Tanzania.

Meneja wa LG tawi la Nkurumah, Bw. Yasin Lodhi akizungumza na waandishi wa habari ambapo ametumia fursa hiyo kuwakaribisha watanzania kutembelea banda la LG na kununua bidhaa mbalimbali zenye ubora wa hali juu na zipo katika punguzo la bei la asilimia 15 ya kila bidhaa katika kipindi hichi cha sabasaba na mwezi huu wa Ramadhani.

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo. Wa tatu kulia ni Meneja wa LG tawi la Nkurumah, Bw. Yasin Lodhi.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya LG Tanzania na MeTL Group wanaotoa huduma kwenye cha maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea kutimua vumbi  viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere,  barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

KAWAIDA

IMG_5470

2

IMG_5552

IMG_5580

5

IMG_5657

IMG_5663

IMG_5610

IMG_5618

IMG_5647

IMG_5620

IMG_5468

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Read More :- "Re: [wanabidii] LG YATOA PUNGUZO KABAMBE LA BEI YA BIDHAA ZAKE KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI NA SABASABA"

[wanabidii] Afrique - Changement climatique : Séminaire conjoint sur les défis du changement climatique, les réponses et financements pour accompagner l'atténuation et l'adaptation des économies - Les enjeux de la COP 21

Si vous ne pouvez pas lire ce message, cliquez ici.

Le contenu APO peut être reproduit sans autorisation.

COMMUNIQUE

Séminaire conjoint sur les défis du changement climatique, les réponses et financements pour accompagner l’atténuation et l’adaptation des économies - Les enjeux de la COP 21

La presse nationale et internationale est invitée à la cérémonie officielle d’ouverture ce mercredi 1er juillet 2015 à 9h au King Fahd palace

DAKAR, Sénégal, 1er juillet 2015/ -- Le Sénégal accueille une conférence conjointe portant sur le changement climatique, le mercredi 01 juillet 2015 au King Fahd palace à partir de 09 heures.

Logo: http://www.photos.apo-opa.com/plog-content/images/apo/logos/cese.png

Photo:  http://www.photos.apo-opa.com/index.php?level=picture&id=2259 (Aminata Tall, présidente du Conseil Economique, Social et Environnemental du Sénégal (CESE), et présidente en exercice de l’Union des Conseils Economiques et Sociaux et Institutions Similaires d’Afrique (UCESA)

La rencontre va réunir les représentants des Conseils Economiques Et Sociaux des pays d’Afrique et francophones avec comme thème principal : les défis du changement climatique, les réponses et financements pour accompagner l’atténuation et l’adaptation des économies : les enjeux de la cop21.

L’ouverture officielle sera présidée par le premier ministre Monsieur Mohamed Boune Abdallah Dione en présence de Madame Aminata Tall présidente en exercice de l’Union des Conseils Economiques et Sociaux et Institutions Similaires d’Afrique (UCESA) (http://www.ces.sn), le président du Conseil Economique, Social et Environnemental de France représentant le pays qui va accueillir la COP21, le ministre délègue chargé de l’environnement du Maroc, représentant du pays qui devra accueillir la COP22.

La presse nationale et internationale est invitée à la cérémonie officielle d’ouverture ce mercredi 1er juillet 2015 à 9h au King Fahd palace.

Distribué par APO (African Press Organization) pour le Conseil Economique, Social et Environnemental du Sénégal (CESE).

Contacts

Tel : +221 33 829 63 63

Email : senegalcese@gmail.com

Facebook : http://www.apo.af/sp3Mpb

SOURCE

Conseil Economique, Social et Environnemental du Sénégal (CESE)

Safe Sender Instructions

DESINSCRIPTION

Privacy Policy - Subscribe

Distributed by :

APO (African Press Organization)

2nd, 3rd and 4th floor

Voie du Chariot 3

1003 Lausanne – Switzerland

Tel : +41 22 534 96 97

Skype: apo-opa

E-mail: switzerland (at) apo-opa.org

www.apo-opa.com

Read More :- "[wanabidii] Afrique - Changement climatique : Séminaire conjoint sur les défis du changement climatique, les réponses et financements pour accompagner l'atténuation et l'adaptation des économies - Les enjeux de la COP 21"

[wanabidii] LG YATOA PUNGUZO KABAMBE LA BEI YA BIDHAA ZAKE KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI NA SABASABA

Habari za asubuhi,

Msaada tutani, kama utapenda kuitumia ila nisikukwaze kama utaona haifai...Boss wangu yuko humu ndani na sisi ni mawakala rasmi wa bidhaa hiyo.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group, Bi. Fatema Dewji-Jaffer akipokea taarifa ya shughuli mbalimbali zinazoendelea kwenye maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa maarufu kama "Sabasaba" kwa mmoja wa maafisa wa kampuni ya bidhaa za LG Tanzania ambapo kampuni ya Mohammed Enterprises Limited Tanzania (MeTL) ndio msambazaji rasmi wa bidhaa hiyo nchini kabla ya hafla fupi ya uzinduzi wa friji mpya ya LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia na Coral Irish".

Mmoja wa wakurugenzi wa LG toka Korea, Bw. Billy Kim (Kulia) akizindua rasmi friji mpya ya LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia na Coral Irish" katika banda la LG ndani ya viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa maarufu kama "Sabasaba" anayeshuhudia (kushoto) ni Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer.

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG Tanzania, Bi. Elizabeth Morris (katikati) akifafanua zaidi kwa waandishi wa habari hawapo pichani aina mpya ya friji ya LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia na Coral Irish" wakati wa uzinduzi wa bidhaa hiyo mpya, katika viwanja vya maonyesho ya biashara ya kimataifa maarufu kama "Sabasaba". Kulia ni Mkurugenzi wa LG, Mohan Kumar na mmoja wa wakurugenzi wakuu wa LG toka Korea Bw. Billy Kim pamoja na Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer (wa pili kushoto).

Na Modewjiblog team

Kampuni ya LG Tanzania imetangaza ofa kabambe ya punguzo la bei za bidhaa zake, itakayodumu katika kipindi chote cha maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba ikiwa ni kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Meneja mwandamizi wa LG, Bw. Kim Taehoon amesema wateja watakaonunua bidhaa za LG katika kipindi hiki cha Ramadhani na Sabasaba watafurahia punguzo la bei la hadi asilimia 15, pamoja na ofa nyingine za kuvutia zikiwemo zawadi za bure.

Bw. Kim pia ametumia fursa hiyo kuitambulisha friji mpya za LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia" na "Coral Irish" kwa mara ya kwanza kabisa katika soko la Tanzania na kuthibitisha kuwa kampuni ya Mohammed Enterprises Limited Tanzania (MeTL) kuwa msambazaji rasmi wa bidhaa hiyo nchini.

Amesema friji hizo zina nafasi kubwa na nyingi za kuhifadhia vyakula, uwezo wa kuzuia bakteria na hivyo kutunza vyakula katika hali ya usalama wa kiafya.

Friji hizo zina makabati yaliyojengewa kwa ndani katika milango yake, ambapo aina hiyo ya milango huja pamoja na kioo imara.

Amesema friji hizo zinatumia teknolojia mpya ya LG "Smart Inverter Compressor" ambayo ina uwezo wa kupunguza matumizi ya umeme hadi asilimia 36.

Bw. Kim amewashauri watanzania kuchangamkia fursa ya bidhaa hizo mpya zilizoingia sokoni na kuwahakikishia kuwa watastaajabishwa na ubora na uwezo wa friji hizo,

Amesema kuwa Friji hizo pia zitapatikana katika maduka mengine yote yanayouza vifaa vya kielektroniki jijini Dar es Salaam.

Ameongeza kuwa katika kipindi hiki cha mfungo mtukufu wa Ramadhani, watu wengi hutunza vyakula vyao kwenye friji na ni hulka ya wengi kuamka usiku kwa ajili ya kupata Daku, hivyo bidhaa hii itakuwa na manufaa sana kwao, kwani ina uwezo wakulinda dhidi ya unyevunyevu na pia kutunza chakula katika hali ya usalama.

Ofa hizi zitadumu kipindi chote za mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja na Sabasaba, hii ni katika kuwapa wateja wa LG muda wa kutosha kujipatia bidhaa za LG zenye punguzo la bei

Bw. Kim Taehoon amesisitiza kuwa kampuni ya LG Electronics daima inaendelea kuboresha mfumo wa teknolojia ili kuleta bidhaa zenye ubora na muonekano yakinifu, ili kufikia viwango vya matumizi ya kimataifa.

Amesema toka kuanzishwa kwake mwaka 1958, LG inaendelea kuzalisha bidhaa zinazoendana na mahitaji ya wateja wake na uingizwaji wa bidhaa hii mpya sokoni ni muendelezo wa matoleo ya teknolojia, ambayo yanatengenezwa na kuboreshwa kulingana na matakwa na mahitaji ya wateja.

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) ubora wa kompresa za friji za kampuni ya LG ambazo ni imara na zinahimili hali ya hewa ya mazingira yoyote wakati wa uzinduzi wa bidhaa hiyo mpya katika viwanja vya maonyesho vya sabasaba.

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) bidhaa nyingine za LG ambazo zipo kwenye ofa ya punguzo la bei la asilimia 15 katika msimu huu wa sabasaba na Ramadhani ndani ya banda la MeTL Group.

Waandishi wa habari wakiangali moja ubora wa TV za LG kwa kutumia miwani ya 3D inapoivaa inakuonyesha uhalisia wa picha unayoitaza kwa ukaribu zaidi wakati uzinduzi wa moja ya bidhaa za LG katika banda la kampuni ya MeTL Group kwenye maonyesho ya sabasaba yanayoendelea kutimua vumbi jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer akimkabidhi zawadi kutoka MeTL, Mkurugenzi wa kampuni ya LG toka Korea, Bw. Billy Kim mara baada ya uzinduzi huo katika banda la MeTL Group.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer akiendelea na zoezi la kukabidhi zawadi kwa maafisa wa kampuni ya LG Tanzania.

Meneja wa LG tawi la Nkurumah, Bw. Yasin Lodhi akizungumza na waandishi wa habari ambapo ametumia fursa hiyo kuwakaribisha watanzania kutembelea banda la LG na kununua bidhaa mbalimbali zenye ubora wa hali juu na zipo katika punguzo la bei la asilimia 15 ya kila bidhaa katika kipindi hichi cha sabasaba na mwezi huu wa Ramadhani.

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo. Wa tatu kulia ni Meneja wa LG tawi la Nkurumah, Bw. Yasin Lodhi.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya LG Tanzania na MeTL Group wanaotoa huduma kwenye cha maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea kutimua vumbi  viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere,  barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

KAWAIDA

IMG_5470

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group, Bi. Fatema Dewji-Jaffer akipokea taarifa ya shughuli mbalimbali zinazoendelea kwenye maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa maarufu kama "Sabasaba" kwa mmoja wa maafisa wa kampuni ya bidhaa za LG Tanzania ambapo kampuni ya Mohammed Enterprises Limited Tanzania (MeTL) ndio msambazaji rasmi wa bidhaa hiyo nchini kabla ya hafla fupi ya uzinduzi wa friji mpya ya LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia na Coral Irish".

2

Mmoja wa wakurugenzi wa LG toka Korea, Bw. Billy Kim (Kulia) akizindua rasmi friji mpya ya LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia na Coral Irish" katika banda la LG ndani ya viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa maarufu kama "Sabasaba" anayeshuhudia (kushoto) ni Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer.

IMG_5552

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG Tanzania, Bi. Elizabeth Morris (katikati) akifafanua zaidi kwa waandishi wa habari hawapo pichani aina mpya ya friji ya LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia na Coral Irish" wakati wa uzinduzi wa bidhaa hiyo mpya, katika viwanja vya maonyesho ya biashara ya kimataifa maarufu kama "Sabasaba". Kulia ni Mkurugenzi wa LG, Mohan Kumar na mmoja wa wakurugenzi wakuu wa LG toka Korea Bw. Billy Kim pamoja na Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer (wa pili kushoto).

Na Modewjiblog team

Kampuni ya LG Tanzania imetangaza ofa kabambe ya punguzo la bei za bidhaa zake, itakayodumu katika kipindi chote cha maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba ikiwa ni kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Meneja mwandamizi wa LG, Bw. Kim Taehoon amesema wateja watakaonunua bidhaa za LG katika kipindi hiki cha Ramadhani na Sabasaba watafurahia punguzo la bei la hadi asilimia 15, pamoja na ofa nyingine za kuvutia zikiwemo zawadi za bure.

Bw. Kim pia ametumia fursa hiyo kuitambulisha friji mpya za LG yenye milango pacha aina ya "Velvet Gardenia" na "Coral Irish" kwa mara ya kwanza kabisa katika soko la Tanzania na kuthibitisha kuwa kampuni ya Mohammed Enterprises Limited Tanzania (MeTL) kuwa msambazaji rasmi wa bidhaa hiyo nchini.

Amesema friji hizo zina nafasi kubwa na nyingi za kuhifadhia vyakula, uwezo wa kuzuia bakteria na hivyo kutunza vyakula katika hali ya usalama wa kiafya.

Friji hizo zina makabati yaliyojengewa kwa ndani katika milango yake, ambapo aina hiyo ya milango huja pamoja na kioo imara.

Amesema friji hizo zinatumia teknolojia mpya ya LG "Smart Inverter Compressor" ambayo ina uwezo wa kupunguza matumizi ya umeme hadi asilimia 36.

Bw. Kim amewashauri watanzania kuchangamkia fursa ya bidhaa hizo mpya zilizoingia sokoni na kuwahakikishia kuwa watastaajabishwa na ubora na uwezo wa friji hizo,

Amesema kuwa Friji hizo pia zitapatikana katika maduka mengine yote yanayouza vifaa vya kielektroniki jijini Dar es Salaam.

Ameongeza kuwa katika kipindi hiki cha mfungo mtukufu wa Ramadhani, watu wengi hutunza vyakula vyao kwenye friji na ni hulka ya wengi kuamka usiku kwa ajili ya kupata Daku, hivyo bidhaa hii itakuwa na manufaa sana kwao, kwani ina uwezo wakulinda dhidi ya unyevunyevu na pia kutunza chakula katika hali ya usalama.

Ofa hizi zitadumu kipindi chote za mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja na Sabasaba, hii ni katika kuwapa wateja wa LG muda wa kutosha kujipatia bidhaa za LG zenye punguzo la bei

Bw. Kim Taehoon amesisitiza kuwa kampuni ya LG Electronics daima inaendelea kuboresha mfumo wa teknolojia ili kuleta bidhaa zenye ubora na muonekano yakinifu, ili kufikia viwango vya matumizi ya kimataifa.

Amesema toka kuanzishwa kwake mwaka 1958, LG inaendelea kuzalisha bidhaa zinazoendana na mahitaji ya wateja wake na uingizwaji wa bidhaa hii mpya sokoni ni muendelezo wa matoleo ya teknolojia, ambayo yanatengenezwa na kuboreshwa kulingana na matakwa na mahitaji ya wateja.

IMG_5580

5

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) ubora wa kompresa za friji za kampuni ya LG ambazo ni imara na zinahimili hali ya hewa ya mazingira yoyote wakati wa uzinduzi wa bidhaa hiyo mpya katika viwanja vya maonyesho vya sabasaba.

IMG_5657

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) bidhaa nyingine za LG ambazo zipo kwenye ofa ya punguzo la bei la asilimia 15 katika msimu huu wa sabasaba na Ramadhani ndani ya banda la MeTL Group.

IMG_5663

Waandishi wa habari wakiangali moja ubora wa TV za LG kwa kutumia miwani ya 3D inapoivaa inakuonyesha uhalisia wa picha unayoitaza kwa ukaribu zaidi wakati uzinduzi wa moja ya bidhaa za LG katika banda la kampuni ya MeTL Group kwenye maonyesho ya sabasaba yanayoendelea kutimua vumbi jijini Dar es Salaam.

IMG_5610

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer akimkabidhi zawadi kutoka MeTL, Mkurugenzi wa kampuni ya LG toka Korea, Bw. Billy Kim mara baada ya uzinduzi huo katika banda la MeTL Group.

IMG_5618

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group ambao ni mawakala pekee wa usambazaji wa bidhaa za kampuni ya LG, Fatema Dewji-Jaffer akiendelea na zoezi la kukabidhi zawadi kwa maafisa wa kampuni ya LG Tanzania.

IMG_5647

Meneja wa LG tawi la Nkurumah, Bw. Yasin Lodhi akizungumza na waandishi wa habari ambapo ametumia fursa hiyo kuwakaribisha watanzania kutembelea banda la LG na kununua bidhaa mbalimbali zenye ubora wa hali juu na zipo katika punguzo la bei la asilimia 15 ya kila bidhaa katika kipindi hichi cha sabasaba na mwezi huu wa Ramadhani.

IMG_5620

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo. Wa tatu kulia ni Meneja wa LG tawi la Nkurumah, Bw. Yasin Lodhi.

IMG_5468

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya LG Tanzania na MeTL Group wanaotoa huduma kwenye cha maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea kutimua vumbi  viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere,  barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Read More :- "[wanabidii] LG YATOA PUNGUZO KABAMBE LA BEI YA BIDHAA ZAKE KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI NA SABASABA"