Tuesday 30 June 2015

Re: [wanabidii] ANGUKO LA MWAKA HUU NI LA CHADEMA

Fakhi you! for sure you are funny!

On Tuesday, June 23, 2015 7:33 AM, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Binafsi sidhani kama Act wataiangusha chadema isipokuwa chadema itajiangusha yenyewe kwa kutikubali demokrasia ya kweli na uwazi ndani ya chama.
Pamoja na kuacha maigizo kama ya mtangaza na mmoja. Tuliona maigizo ya cdm kwa wale wazee wa kigoma waliokuja kumshawishi mwenyekiti.
Maigizo hayo hayana tofauti na huyo mtia nia ccm kwa hali ilivyo huyo mtia nia muda si mrefu atajutia maigizo yake.
On Jun 22, 2015 3:17 PM, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:
Yasambaratike tu mapuuzi hayo
On Jun 22, 2015 1:29 PM, "mngonge franco" <mngonge@gmail.com> wrote:
Kale katafsiri ka jina la huyo bwana (Fakhi) katika kimombo ndo hivyo tena kanamruhusu

2015-06-22 1:23 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
Fakhi nashukuru kwa kutufahamisha kuwa nia ya ACT ni kusambaratisha mabwabwa CHADEMA then mkimaliza mtafanya kazi gani maana mko kama malaya asie na kituo.
Sie tusio na vyama itakuwaje au hamtuhitaji japo tuko wengi kuliko wafuasi wa vyama.
Sasa ndugu Fakhi maneno ya kipumbavu usituletee humu ungeweza kuandika kwa busara tu
On Jun 21, 2015 2:14 PM, "Fakhi Karume" <fkarume@gmail.com> wrote:
ANGUKO LA MWAKA HUU NI LA CHADEMA
Mdahalo ulikuwa wa viongozi wakuu wote wa vyama vya upinzani na sio watia nia wa nafasi ya urais.
Mh. James Francis Mbatia Zitto Kabwe na Makaidi hawa wote ni watia nia kwa nafasi ya ubunge lakini wote walikuja kama viongozi wa vyama vyao.
Iweje nyinyi mnao subiria skendo itoke ndio mnajua kuzungumza hamkuweza kufika kwenye mdahalo. Lakini wala sishangai kwa hilo kwa sababu chama lenu la CHADEMA linaongozwa na mpiga disco.
Kiongozi wa juu wa CHADEMA hasiye na CV. Yaan mpaka sasa elimu yake haijulikani kuwa alisomea nini mpaka Julius S. Mtatiro alishindwa kupata wasifu wa kiongozi wenu ili lingekuwa ni CCM au vyama vingine ingekuwa skendo.
CHADEMA ni chama ambacho kinaishi kwa tetesi, umbea, wizi, usuda na mambo mengine yanayo fanana na hayo. Ndio maana nikasema anguko la mwaka huu sio la CCM ni la CHADEMA.
Mbadala wa CHADEMA ni ACT Tanzania na vyama vingine vinavyo unda UKAWA. Mgombea wa urais wa UKAWA najua atakuwa Prof. Lipumba kwa sababu CV yake inajulikana na kila mtanzania.
ACT TANZANIA limekuja kusambaratisha mabwabwa wa CHADEMA. Na endeleeni hivyo hivyo kukimbia midahalo
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment