Sunday 28 June 2015

[wanabidii] WADAU WA MODEWJI BLOG WAJUMUIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 7 YA MTANDAO HUO NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA

Habari za asubuhi tena, Msaada tutani tafadhali

Pokea CODES hapa chini.

Mdau wa modewjiblog, Ray the hustler (kushoto) aliyeambatana ndugu zake kutembelea banda la Modewjiblog katika picha ya pamoja na Mwandishi wa habari mwandamizi wa mtandao wa Modewjiblog, Andrew Chale.

Na Modewjiblog team

Shamra shamra za miaka Saba za mtandao wa habari nchini wa  Modewji blog  tayari zimeanza kurindima ndani ya banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyoanza  jana kwenye mabanda ya SabaSaba katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere,  barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

Wadau  mbalimbali wanaoperuzi mtandao wa modewji blog wamekuwa wakimiminika kujionea  utendaji wa kazi zinazofanywa na mtandao huu pamoja na kupata picha za pamoja ikiwemo 'selfie' ambazo zinakuwa zinarushwa moja kwa moja katika blog  na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo facebook, twitter na Instagram.

Pia wadu na watu mbalimbali wanakaribishwa  kutoa maoni yao namna ya kuboresha zaidi huduma zetu.

Hata hivyo,  kwa mujibu wa  Meneja mwendeshaji  Mkuu  wa modewji blog, Zainul Mzige aliweza kutoa punguzo maalum la hofa kwa watu mbalimbali kujitokeza kutangaza na mo dewji blog katika msimu huu wa maonyesho ya Saba saba.

Punguzo hilo ni maalum na litadumu kwa muda wote wa kipindi cha Saba Saba pekee.

Kwa matangazo na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa barua pepe : info@modewjiblog.com au zainul@modewjiblog.com

Afisa Masoko wa taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha, (UTT-PID), Kilave Atenaka (katikati) pamoja na Afisa kutoka taasisi hiyo Beatrice Ngode waki-show love na T-shirts za modewjiblog  walizokabidhiwa walipotembelea banda la modewjiblog na kujionea shughuli mbalimbali za utendaji kazi wa mtandao huo katika shamra shamra za kusheherekea miaka 7 mtandao huo tangu ulipoanzishwa. Kulia ni Mwandishi wa mwandamizi wa modewjiblog, Andrew Chale.

Mdau wa Modewjiblog, Bw. Geofrey Tupper (kushoto) akipokea fulana kutoka kwa Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa modewjiblog, Andrew Chale mara baada ya kutembelea banda lao katika maonyesho ya saba saba yaliyoanza kutimua vumbi jana jijini Dar es Salaam.

Mbunifu wa mavazi nchini Ally Rehmtulah (wa pili kushoto) akipata picha ya kumbukumbu na team ya modewjiblog pamoja na mdau wa kampuni ya vifaa vya ki-elektoniki ya LG katika aliptembelea letu katika banda la maonyesho ya saba saba yalioanza kutimu vumbi jana jijini Dar es Salaam.

Maafisa wa tasisi ya  UTT-PID waki-show love na kofia pamoja na T-shirts za modewjiblog mara baada ta kutembelea banda hilo kwenye maonyesho ya saba saba.

KAWAIDA

IMG_5219

DSC_0582

IMG_5195

Mdau wa Modewjiblog, Bw. Geofrey Tupper (kushoto) akipokea fulana kutoka kwa Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa modewjiblog, Andrew Chale mara baada ya kutembelea banda lao katika maonyesho ya saba saba yaliyoanza kutimua vumbi jana jijini Dar es Salaam.

IMG_5204

Mbunifu wa mavazi nchini Ally Rehmtulah (wa pili kushoto) akipata picha ya kumbukumbu na team ya modewjiblog pamoja na mdau wa kampuni ya vifaa vya ki-elektoniki ya LG katika aliptembelea letu katika banda la maonyesho ya saba saba yalioanza kutimu vumbi jana jijini Dar es Salaam.

DSC_0579

Maafisa wa tasisi ya  UTT-PID waki-show love na kofia pamoja na T-shirts za modewjiblog mara baada ta kutembelea banda hilo kwenye maonyesho ya saba saba.

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment