Tuesday 30 June 2015

Re: [wanabidii] Nilipokutana Na Dr Salim Ahmed Salim Kwenye 'Nyumbani Na Diaspora'..

Tanzania ingekuwa tofauti kama asingehujumiwa 2005 hata akaukosa urais. Kitendo hicho kilaaniwe kama inawezekana bila kuwalaani waliokifanya.
--------------------------------------------
On Tue, 6/23/15, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Nilipokutana Na Dr Salim Ahmed Salim Kwenye 'Nyumbani Na Diaspora'..
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Tuesday, June 23, 2015, 5:57 AM


Ndugu
zangu,Tangu
nikiwa kijana mdogo wa Sekondari nimekuwa na ndoto ya siku
moja kukutana na Dr Salim na kufanya nae mazungumzo ya kina
na ya ana kwa ana. Fursa hiyo niliipata majuzi hapa.Hakika, Dr Salim ni mmoja wa
Watanzania waliotufanya, enzi hizo tukiwa shuleni, tutembee
tukijivunia kuwa Nchi Yetu ni moja ya ' Mataifa
Makubwa' kwenye siasa za dunia. Ni kupitia watu wa aina
ya Dr Salim, Tanzania ilikuwa na sauti ya kusikilizwa
duniani.Na hakika, mazunguzo
niliyoyafanya na Dr Salim hivi karibuni ni moja ya
mazungumzo muhimu niliyopata kuyafanya ya kuweka kwenye
kumbukumbu. Ilikuwa ni kama mwanafunzi aliyekutana na
mwalimu aliyekuwa akimtungia maswali, na sasa mwalimu na
mwanafunzi wanatafsiri kwa pamoja maana ya majibu ya maswali
yale.Ndugu zangu,Naweza kabisa kumwelezea Dr Salim
kwa maneno manne; Kiongozi, Mzalendo, Mwanamapinduzi na
Shujaa.Ndio, ni Kiongozi
mzalendo, mwanamapinduzi na shujaa wa Afrika. Nyongeza
muhimu; ni mtetezi wa haki za wanyonge wa dunia. Aliyaanza
mapambano ya kuipigania Afrika na wanyonge wa duniani akiwa
na miaka 22 tu.Am hakika
amestahili kuwa na nishani ya utumishi uliotukuka si kwa
Tanzania tu, bali kwa bara zima la Afrika.Dr Salim alinisimulia mengi;
sikiliza kidogo hapa kwenye kipindi cha ' Nyumbani Na
Diaspora'
https://www.youtube.com/watch?v=QgbxA42ntt8




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment