Tuesday 30 June 2015

Re: [wanabidii] Boss Mkuu wa Usalama wa Taifa Rwanda Emanuel Karenzi Karake Akamatwa London

Huyu anasali dini gani ya wahutu au watutsi? kwa jinsi mambo yalivyosukwa itakuwa ni hatua kubwa kumshitaki mtusi kwa mauaji ya 1994. Wameshitakiwa wahutu tu japo iko wazi kuwa wote waliuana?
--------------------------------------------
On Tue, 6/23/15, Buberwa Jackob <buberwajackob@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Boss Mkuu wa Usalama wa Taifa Rwanda Emanuel Karenzi Karake Akamatwa London
To: "Buberwa Jackob" <buberwajackob@gmail.com>
Date: Tuesday, June 23, 2015, 11:48 PM

MKUU WA USALAMA WA
TAIFA WA RWANDA AKAMATWA UINGEREZA !

London,Uingereza,
Mkuu wa usalama wa taifa wa nchi ya Rwanda Major Gen.Emanuel
Karenzi Karake amekamatwa na wanausalama katika uwanja wa
ndege wa Heathrow nchini Uingereza mwishoni mwa wiki
iliyopita,kwa kutuhuma za mauaji ya kivita mwaka 1994 na
baada ya mwaka huo pia.Major Gen.Karenzi Karake aliwekwa
kizuwizini na baadaye  kufikishwa katika mahakama ya
Westminister,amri ya kukamatwa kwa mkuu huyo
wa idara ya ujasusi (NISS) ya Rwanda kunatokana na ombi la
mahakama ya nchi ya Spain ambayo imeorodhesha watu wapatao
40 kuhusika na makosa ya kivita nchini Rwanda ,mashataka
yalifunguliwa 2008 kufuatia uchunguzi uliofanywa na kikosi
cha mahaka ya spain kinachoongozwa na Andreu Melles
.
Mkurugenzi mkuu
huyo wa usalama wa taifa wa Rwanda Bw.Karenzi Karake mwenye
umri wa miaka 54 bado yupo kiziwizini na anatagemea
kupandishwa Kizimbani tena siku ya
Alhamisi.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment